Pacome na Baleke acheni tabia ya ulevi, mnaigharimu Yanga Kwa kiwango kibovu

Kwa kuangalia tu kiwango cha mchezaji mmoja mmoja wa Yanga, unagundua mapema kuna kitu hakiko sawa.
Mtu kama Prince Dube anaonekana ameshikiliwa na moja ya lishangazi la mjini! Maana hata stamina tu kama mchezaji siku hizi, hana! Ukimkuta uwanjani, yeye ni kuruka ruka tu na kuanguka hovyo.
 
Ila uwongo dhambi bongo uliendekeza mademu umekwisha iwe mwanasoka au mtu anaejitafuta
Hii nchi kuna mademu wakali wengi sana wa kila shape ukishatambulishwa bar za masaki umekwisha!
Sembuse wacheza mpira ambao nyapu zenyewe wanapewa bure mana wadada shobo ni nyingi
Wafanye tu kujenga ili wazisasambue vizuri mana tukiachana na ivory coast hao waburkinabe /mali maisha yenyewe kwao hawana

View: https://youtu.be/nm9nTtqIwyI?si=3MExFu_YXhg7PJBU
 
Ila uwongo dhambi bongo uliendekeza mademu umekwisha iwe mwanasoka au mtu anaejitafuta
Hii nchi kuna mademu wakali wengi sana wa kila shape ukishatambulishwa bar za masaki umekwisha!
Sembuse wacheza mpira ambao nyapu zenyewe wanapewa bure mana wadada shobo ni nyingi
Wafanye tu kujenga ili wazisasambue vizuri mana tukiachana na ivory coast hao waburkinabe /mali maisha yenyewe kwao hawana
Mimi Bora nifilisike.😅😅
 
Kama kale ka bwana mdogo ka AHOUA nako ni kalevi soon atashindwa soka la bongo, kwanza HAKAJUI mpira, kiwango chake si cha timukama simba ni AVERAGE player.
Afadhali na wewe umeona.sie tukisema tunaelekezwa kutazama takwimu,wachezaji wenzake Che Malone na Ngoma kwa nyakati tofauti wameoneshwa wakimfokea kwa kuleta utoto wake uwanjani wakati wenzake wanavuja jasho
 
Ni mchezaji wa kawaida saana, sio skills, vision wala nini humo mote hakuna kitu, ni aibu simba kuwa na mchezaji kama yule eti ndio PLAYMAKER.
 
Usiwastue waache hivo
 
Ulevi ni maisha binafsi sawa Ila haukuwa sawa Kwa Pacome kukesha Clemente bar pale Masaki na timu ikiwa na mchezo wa Kimataifa dhidi ya Al Hilal

Pacome na Baleke wamekuwa maarufu kwenye Ma bar ya Masaki, Mikocheni na Oystabay, na kutuachia maswali sisi mashabiki wa Yanga hawa vijana wana Fanya mazoezi saa ngapi kujiandaa na michezo ya ligi

Kabla ya mechi ya Al Hilal, Pacome akiwa Lemente Bar aliibiwa simu na dollar 5000, hii ni mbaya Kwa mchezaji professional

Tulitegemea wachezaji wa Kimataifa wawe darasa Kwa vijana wetu wadogo Kwa maisha ya kiuna michezo wao wanaishia bar na kucheza kama hawali chakula na uchovu

Lakini hawa vijana wapo kama hawajui kilichowaleta kujiingiza kwenye Ma bar na makofia Yao wakificha sura zao ila sisi wakachero tumekuwa tukiwaona

Pacome huambatana na Baleke, Aziz ki na Jean Charles Aouhor wa Simba ambaye ni mlevi wa pombe kali hadi mdomo wake umechubuka

Management ya Yanga acheni kuwapa uhuru wachezaji wa Kimataifa ambao mnawalipa mishahara mkubwa na wao wakiwapa o kibovu kwasababu ya uchovu wa mikesha ya 🍺 bar

Eng Hersi Fanya kitu

Yanga bingwa
Hebu mtoe huyo kijana Charles Aouhor katika hiyo list ya walevi wako ndugu.
 
Ulevi ni maisha binafsi sawa Ila haukuwa sawa Kwa Pacome kukesha lemente bar pale Masaki na timu ikiwa na mchezo wa Kimataifa dhidi ya Al Hilal

Pacome na Baleke wamekuwa maarufu kwenye Ma bar ya Masaki, Mikocheni na Oystabay, na kutuachia maswali sisi mashabiki wa Yanga hawa vijana wana Fanya mazoezi saa ngapi kujiandaa na michezo ya ligi

Kabla ya mechi ya Al Hilal, Pacome akiwa Lemente Bar aliibiwa simu na dollar 5000, hii ni mbaya Kwa mchezaji professional

Tulitegemea wachezaji wa Kimataifa wawe darasa Kwa vijana wetu wadogo Kwa maisha ya kiuna michezo wao wanaishia bar na kucheza kama hawali chakula na uchovu

Lakini hawa vijana wapo kama hawajui kilichowaleta kujiingiza kwenye Ma bar na makofia Yao wakificha sura zao ila sisi wakachero tumekuwa tukiwaona

Pacome huambatana na Baleke, Aziz ki na Jean Charles Aouhor wa Simba ambaye ni mlevi wa pombe kali hadi mdomo wake umechubuka

Management ya Yanga acheni kuwapa uhuru wachezaji wa Kimataifa ambao mnawalipa mishahara mkubwa na wao wakiwapa kiwango kibovu kwasababu ya uchovu wa mikesha ya 🍺 bar

Eng Hersi Fanya kitu

Yanga bingwa
Sindano FC ni tabia yao ulevi, mkumbuke yule mlevi aliyeondoka Okrah, alimuachia huzuni sana Mkude maana walikuwa wanalala hadi mtaroni wakishalewa
 
Tulia kolo
 
Kama analewa na anacheza vizuri kama mechi ya jana ya Namungo ni bora aendelee kulewa
 
Back
Top Bottom