Ngoja aunguze Figo arudi kwaoSimba wamchunge Jean Charles Aouhor ni mlevi mno, tena yeye anapenda pombe kali kama Konyagi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja aunguze Figo arudi kwaoSimba wamchunge Jean Charles Aouhor ni mlevi mno, tena yeye anapenda pombe kali kama Konyagi
Mkuuuu hawa walikuwa wanabebwa na mshezni Sao gamondiUlevi ni maisha binafsi sawa Ila haukuwa sawa Kwa Pacome kukesha lemente bar pale Masaki na timu ikiwa na mchezo wa Kimataifa dhidi ya Al Hilal
Pacome na Baleke wamekuwa maarufu kwenye Ma bar ya Masaki, Mikocheni na Oystabay, na kutuachia maswali sisi mashabiki wa Yanga hawa vijana wana Fanya mazoezi saa ngapi kujiandaa na michezo ya ligi
Kabla ya mechi ya Al Hilal, Pacome akiwa Lemente Bar aliibiwa simu na dollar 5000, hii ni mbaya Kwa mchezaji professional
Tulitegemea wachezaji wa Kimataifa wawe darasa Kwa vijana wetu wadogo Kwa maisha ya kiuna michezo wao wanaishia bar na kucheza kama hawali chakula na uchovu
Lakini hawa vijana wapo kama hawajui kilichowaleta kujiingiza kwenye Ma bar na makofia Yao wakificha sura zao ila sisi wakachero tumekuwa tukiwaona
Pacome huambatana na Baleke, Aziz ki na Jean Charles Aouhor wa Simba ambaye ni mlevi wa pombe kali hadi mdomo wake umechubuka
Management ya Yanga acheni kuwapa uhuru wachezaji wa Kimataifa ambao mnawalipa mishahara mkubwa na wao wakiwapa kiwango kibovu kwasababu ya uchovu wa mikesha ya 🍺 bar
Eng Hersi Fanya kitu
Yanga bingwa
MKUUUUlevi ni maisha binafsi sawa Ila haukuwa sawa Kwa Pacome kukesha lemente bar pale Masaki na timu ikiwa na mchezo wa Kimataifa dhidi ya Al Hilal
Pacome na Baleke wamekuwa maarufu kwenye Ma bar ya Masaki, Mikocheni na Oystabay, na kutuachia maswali sisi mashabiki wa Yanga hawa vijana wana Fanya mazoezi saa ngapi kujiandaa na michezo ya ligi
Kabla ya mechi ya Al Hilal, Pacome akiwa Lemente Bar aliibiwa simu na dollar 5000, hii ni mbaya Kwa mchezaji professional
Tulitegemea wachezaji wa Kimataifa wawe darasa Kwa vijana wetu wadogo Kwa maisha ya kiuna michezo wao wanaishia bar na kucheza kama hawali chakula na uchovu
Lakini hawa vijana wapo kama hawajui kilichowaleta kujiingiza kwenye Ma bar na makofia Yao wakificha sura zao ila sisi wakachero tumekuwa tukiwaona
Pacome huambatana na Baleke, Aziz ki na Jean Charles Aouhor wa Simba ambaye ni mlevi wa pombe kali hadi mdomo wake umechubuka
Management ya Yanga acheni kuwapa uhuru wachezaji wa Kimataifa ambao mnawalipa mishahara mkubwa na wao wakiwapa kiwango kibovu kwasababu ya uchovu wa mikesha ya 🍺 bar
Eng Hersi Fanya kitu
Yanga bingwa
Hadii kaweee tena bar za malaya wachafuuHuyo Aziz ki anafika hadi Tabata kulewa
Ronaldo aliwajibu waandishi anatomba mara 1 kwa miezi 3 watu hawakuamini woii endeleen na ujinga wenuMaisha ya mcheza soka (professional footballer) ni maisha yanayotakiwa kuwa ya nidhamu ya hali ya juu sana.. Hasa kwenye mambo makubwa matata
1. Vyakula
2. Vilevi
3. Wanawake
Professional footballer yoyote akiendekeza hata kimoja tu kati ya hivyo AMEKWISHA!
Yuko wapi Aziz Ki leo hii
Tukisema sisi tunaonekana wanafiki eti tunaongopaMkuuuu hawa walikuwa wanabebwa na mshezni Sao gamondi
Wanakaa bar pamojaa pub pamoja club pamoja
Sijui engn kama alikuwa hajui hili na kwasi mwambie nae.....kuna wanyasa wanawalinda wanaishi maeneo yetuu yaan wanaingia na mademu wakoo njwii mechi siku 2 zijazoooo
Nodhamuu imejshaaa yangaa mkuu engn kawaachia sanaaa
Watanuna mbumbumbu"Waiter shusha Bapa mbili, Balimi, na Mo energy ya kuchanganyia nyagi, Huko Bunju sipaelewi kabisa wananiita zee la mikwaju, kufunga hadi penalty"
View attachment 3167468
we kweli zuzubyasni dola 5000 aende nazo baaUlevi ni maisha binafsi sawa Ila haukuwa sawa Kwa Pacome kukesha lemente bar pale Masaki na timu ikiwa na mchezo wa Kimataifa dhidi ya Al Hilal