Pacoume Zouzou vs Mpanzu — Sasa basi, maana Pacoume ni bora kuliko Mpanzu

Pacoume Zouzou vs Mpanzu — Sasa basi, maana Pacoume ni bora kuliko Mpanzu

Pacome anajua boli ana uwezo sana na stamina anayo hata mafanikio ya Key pasi nyingi ni kutoka kwa Pacome kwa skill ya Mpira ajatofautiana na Chama tatizo la chama anataka kucheza mpira wa bila kugusana ila anachungulia vizuri sana nani ampe pasi sahihi ili afunge naona Chama nae ataongezewa mkataba mfupi kutokana na umri wake amalizie soka hapo daslm.
 
shughuli ilikua ngumu sana hata kaka yangu Mshana Jr na GENTAMYCINE wanalijua hilo na muhasibu wa mchongo OKW BOBAN SUNZU wameamua kuisusia timu yao
Walibeba bango la hatuchezi kumbe walikua wanafurahia kuikwepa Yanga ilipotangazwa kuwa gemu ipo wakapunguza hata idadi ya kuongeza nyuzi zao kwa siku naona sasa hivi wamejikita kwenye nyuzi za wachukua fomu za uchaguzi..
 
Sasa hivi wamepoa sana
 
Back
Top Bottom