Padre Dkt. Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), ametoa kauli nzito akisema kuwa viongozi wa dini lazima waonyeshe wazi kwamba aliyehusika katika mauaji ya Ally Mohamed Kibao amefanya kosa kubwa na ni laana kwa Mwenyezi Mungu.
Akizungumza kuhusu tukio hilo, Padre Kitima alisisitiza kuwa, "Aliyemuua Kibao amefanya kosa baya na ni laana kwa Mwenyezi Mungu. Kama viongozi wa dini, lazima tuseme hili. Tunalaani vikali vitendo vya uhalifu kama hivi."
Aliongeza, "Unafikiri watoto wa Mzee Kibao, aliyeuawa kinyama, wataonana vema na wale wanaohisiwa? Hii imejenga chuki kubwa kati ya familia na jamii. Tunapiga vita, tuna laani, na tunahitaji aliyemuua Kibao atubu kwa Mungu wake au achukuliwe hatua na sheria."
Padre Kitima alisisitiza kuwa, kama viongozi wa dini, ni jukumu lao kutoa ujumbe wa haki na amani, na kuonya dhidi ya vitendo vya kinyama vinavyovuruga jamii na kuleta machafuko.

..ahueni ipi??? Yuda iskariote alipata ahueni, au kwenda kuzimu kwako ndio ahueni! labda km ni hivyo uko sawa kulingana na unavyofahamu, lkn hiyo si ahueni! ahueni ni kuungama na kutubu kwa Mungu na kwa wanadamu hasa kwa familia ya Mzee Kibao!
Kanisa Katoliki kwa sasa ndiye msemaji pekee wa Wanyonge, ndugu zetu wa imani zingine tuungane na kanisa Katoliki kulaani ukatili unaoendelea kwa sasa nchini!
adre Dkt. Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), ametoa kauli nzito akisema kuwa viongozi wa dini lazima waonyeshe wazi kwamba aliyehusika katika mauaji ya Ally Mohamed Kibao amefanya kosa kubwa na ni laana kwa Mwenyezi Mungu.
Hahahaa nimecheka kwanza hiyo haiwezekani hata kidogo ndugu mfumo wa kanisa Katoriki ni wa kimafia hujapata ona ,waone vile vile wale Vatican ina sikio kila jumba kubwa lolote mpaka Iran wakikaa kupanga tu washajua , labda tu yaratibiwe kigaidi gaidi lakini kupitia wasiojulikana uongo
Padre Dkt. Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), ametoa kauli nzito akisema kuwa viongozi wa dini lazima waonyeshe wazi kwamba aliyehusika katika mauaji ya Ally Mohamed Kibao amefanya kosa kubwa na ni laana kwa Mwenyezi Mungu.
Akizungumza kuhusu tukio hilo, Padre Kitima alisisitiza kuwa, "Aliyemuua Kibao amefanya kosa baya na ni laana kwa Mwenyezi Mungu. Kama viongozi wa dini, lazima tuseme hili. Tunalaani vikali vitendo vya uhalifu kama hivi."
Aliongeza, "Unafikiri watoto wa Mzee Kibao, aliyeuawa kinyama, wataonana vema na wale wanaohisiwa? Hii imejenga chuki kubwa kati ya familia na jamii. Tunapiga vita, tuna laani, na tunahitaji aliyemuua Kibao atubu kwa Mungu wake au achukuliwe hatua na sheria."
Padre Kitima alisisitiza kuwa, kama viongozi wa dini, ni jukumu lao kutoa ujumbe wa haki na amani, na kuonya dhidi ya vitendo vya kinyama vinavyovuruga jamii na kuleta machafuko.
Padre Kitima yuko sahihi kabisa, mauaji hayo yamesababisha chuki kubwa sana kati ya Wananchi wa kawaida ambao ni wapenda haki dhidi ya Serikali na CCM, hususani kuibuka kwa chuki kati ya raia dhidi ya Jeshi la Polisi na TISS ambao kwenye mkasa huu wanashukiwa Moja kwa Moja kuhusika na mauaji hayo ya kinyama.
Kabisa Lina wajibu wa kukemea uovu mbaya kama huo.
Je, wewe binafsi ungejisikiaje endapo kama huyo mzee aliyeuawa kwenye mkasa huu angekuwa baba yako mzazi?