Padre Dkt. Kitima: Aliyemuua Kibao tunamlaani, amefanya kosa baya, ni chukizo kwa Mungu

Padre Dkt. Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), ametoa kauli nzito akisema kuwa viongozi wa dini lazima waonyeshe wazi kwamba aliyehusika katika mauaji ya Ally Mohamed Kibao amefanya kosa kubwa na ni laana kwa Mwenyezi Mungu.

Pia, Soma: Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Akizungumza kuhusu tukio hilo, Padre Kitima alisisitiza kuwa, "Aliyemuua Kibao amefanya kosa baya na ni laana kwa Mwenyezi Mungu. Kama viongozi wa dini, lazima tuseme hili. Tunalaani vikali vitendo vya uhalifu kama hivi."

Aliongeza, "Unafikiri watoto wa Mzee Kibao, aliyeuawa kinyama, wataonana vema na wale wanaohisiwa? Hii imejenga chuki kubwa kati ya familia na jamii. Tunapiga vita, tuna laani, na tunahitaji aliyemuua Kibao atubu kwa Mungu wake au achukuliwe hatua na sheria."

Padre Kitima alisisitiza kuwa, kama viongozi wa dini, ni jukumu lao kutoa ujumbe wa haki na amani, na kuonya dhidi ya vitendo vya kinyama vinavyovuruga jamii na kuleta machafuko.
Soma:
Tutashuhudia mengi sana NDIO MAANA NAWAAMBIA WATANZANIA WOTE TULIOJIANDIKISHA TWENDE TUKAPIGE KURA,TENA TUKAPIGE KURA KWA FURAHA,ALAFU WAO SI WAMEZOEA KUIBA NA KUJAZA MAJINA FEKI MPAKA NA YA MAREHEMU NA WANAFUNZI SISI TUMWAMBIE MUNGU ATUJALIE VIONGOZI WEMA TUNAOWACHAGUA SISI KWA HAKI YA KIKATIBA.BAADA YA HAPO TUMWACHIE MUNGU YY ANAJUA KULIKO SISI.
 
UKo sawa kiongozi wa kiroho wafanye maombi kubadili hali hiyo sio kuvimba macho kama sisi wenye dhambi nyingi
Imeandikwa,
Mk. 2:17
Yesu aliposikia aliwaambia, wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi; sikuja kuwaita wenye haki bali wenye dhambi.

ni muhimu kumshukuru Mungu kwa Kila jambo 🐒
 
Tutashuhudia mengi sana NDIO MAANA NAWAAMBIA WATANZANIA WOTE TULIOJIANDIKISHA TWENDE TUKAPIGE KURA,TENA TUKAPIGE KURA KWA FURAHA,ALAFU WAO SI WAMEZOEA KUIBA NA KUJAZA MAJINA FEKI MPAKA NA YA MAREHEMU NA WANAFUNZI SISI TUMWAMBIE MUNGU ATUJALIE VIONGOZI WEMA TUNAOWACHAGUA SISI KWA HAKI YA KIKATIBA.BAADA YA HAPO TUMWACHIE MUNGU YY ANAJUA KULIKO SISI.
kwani mmejiandikisha my friends ladies and gentlemen?🤣

kumbe mliosusa kujiandikisha ili kutokee matokeo ya muujiza?🤣
 
Padre Dkt. Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), ametoa kauli nzito akisema kuwa viongozi wa dini lazima waonyeshe wazi kwamba aliyehusika katika mauaji ya Ally Mohamed Kibao amefanya kosa kubwa na ni laana kwa Mwenyezi Mungu.

Pia, Soma: Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Akizungumza kuhusu tukio hilo, Padre Kitima alisisitiza kuwa, "Aliyemuua Kibao amefanya kosa baya na ni laana kwa Mwenyezi Mungu. Kama viongozi wa dini, lazima tuseme hili. Tunalaani vikali vitendo vya uhalifu kama hivi."

Aliongeza, "Unafikiri watoto wa Mzee Kibao, aliyeuawa kinyama, wataonana vema na wale wanaohisiwa? Hii imejenga chuki kubwa kati ya familia na jamii. Tunapiga vita, tuna laani, na tunahitaji aliyemuua Kibao atubu kwa Mungu wake au achukuliwe hatua na sheria."

Padre Kitima alisisitiza kuwa, kama viongozi wa dini, ni jukumu lao kutoa ujumbe wa haki na amani, na kuonya dhidi ya vitendo vya kinyama vinavyovuruga jamii na kuleta machafuko.
Soma:
Mungu akubariki sana padri kitima.. ila kuwa makini watakuandalia skendo ya kukuchafua kwa kashfa mbaya.
 
Wewe na manyang'au wenzio ndo mnadhani anahumilia ujinga.
Kitima syo size yako.
Size yako ni Baltasar[emoji846][emoji846][emoji846][emoji846]
Fr.Kitima au wewe awe saizi yangu au saizi yako kivipi kwa mfano gentleman? 🤣

hakuna haja ya mihemko wala ghadhabu kwenye mambo ya kuambiwa ukweli 🐒
 
Padre Dkt. Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), ametoa kauli nzito akisema kuwa viongozi wa dini lazima waonyeshe wazi kwamba aliyehusika katika mauaji ya Ally Mohamed Kibao amefanya kosa kubwa na ni laana kwa Mwenyezi Mungu.

Pia, Soma: Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Akizungumza kuhusu tukio hilo, Padre Kitima alisisitiza kuwa, "Aliyemuua Kibao amefanya kosa baya na ni laana kwa Mwenyezi Mungu. Kama viongozi wa dini, lazima tuseme hili. Tunalaani vikali vitendo vya uhalifu kama hivi."

Aliongeza, "Unafikiri watoto wa Mzee Kibao, aliyeuawa kinyama, wataonana vema na wale wanaohisiwa? Hii imejenga chuki kubwa kati ya familia na jamii. Tunapiga vita, tuna laani, na tunahitaji aliyemuua Kibao atubu kwa Mungu wake au achukuliwe hatua na sheria."

Padre Kitima alisisitiza kuwa, kama viongozi wa dini, ni jukumu lao kutoa ujumbe wa haki na amani, na kuonya dhidi ya vitendo vya kinyama vinavyovuruga jamii na kuleta machafuko.
Soma:
Hivi pengo mbona huwa hatoi kauli kama hizi.. yeye kazi yake ni kumuwekea bashite mikono daily
 
Ni pamoja na kulaan ufedhuri ule na kisasi kiwe juu ya wote waliohusika.
suala la kama hakuhusika ama alihusika ni Mungu ndie pekee anaejua. Binadamu tunaongozwa na hisia zaidi.

Ni huruma ya Mungu pekee ndio ahueni ya muuaji yeyote yule 🐒
 
Ni pamoja na kulaan ufedhuri ule na kisasi kiwe juu ya wote waliohusika.
ni jukumu la viongozi wa dini kuwaombea waamini wao Neema na Baraka za upatanisho kwa Mungu licha ya makosa yao.

Laana ni kwa wasio amini.

Infact,
Laana ni suala la kisiasa lisilo na athari zozote 🐒
 
Hawa Wakatoliki mimi hunipa shida moja tu...
Wakati wa Magufuli hawakuwahi kuongea hivi. Chuki hizi ni za kidini..

Hii si sawa kabisa..kabisaa.
Huu ni UNAA...na lolote baya liwakute.
Sasa chuki ya kidini hapo ipo wapi.
Maana hspo anaetetewa ni aliyeuwawa Muislamu
Wewe ni mjinga na mpumbavu usiejitambua
 
sasa Fr.Kitima anafundisha au anapiga mayowe tu kama wengine walivykua wakipayukapayuka ili waonewe huruma?

Infact,
waaamini wengi wanamvumilia tu kumskiliza ili hatimae wamjibu kwa ufasaha baadae, but kanisa katoliki huwa halipayukipayuki kama afanyavyo Fr.Kitima.

Ni muhimu zaidi kufanya upatanisho na Mungu mwenyewe, ikiwa unahitaji huruma yake kwa makosa, uliyotenda kuliko kudanganyana na huyo kiongozi wa dini mpiga siasa kwenye mimbari za kanisa [emoji205]
Kwa taarifa yako tu huwezi kushindana na kitima.

Wewe ndo mpuuzi usiyemuelewa
 
Wewe lazima utakuwa punguani!!

Walioandika waraka mkali kabisa wa kwaresma, wakilaani matukio ya utekaji na kushambuliwa Lisu, wakiituhumu moja kwa moja Serikali ya Magufuli walikuwa ni washia?
Ukweli unaujua Ila umejaa UNAA...mwanaume unakuwa MNAA...huwezi kuwa na familia

Hayo mawaraka yalikuwa Ni maadhimio tu ya mikutano yao.. hakuna mtu alikuja in person akafungua mdomo wake kipindi Cha Magu... Zaidi ya kumshika kichwa. Na kumuombea..
 
Kama kanisa inafaa kuiombea Neema na Baraka za Mungu familia ya Mzee Kibao..

Lakin zaid sana kumuombea huruma ya Mungu muuaji wa Mzee Kibao.

Mengine nadhani sio wajibu wa kanisa bali inaweza kua uchochezi zaidi 🐒
Bira achochee ili jamii iwachukie maccm
 
Kwa taarifa yako tu huwezi kushindana na kitima.

Wewe ndo mpuuzi usiyemuelewa
pamoja na mihemko, makasiriko, chuki yako na yake kanisani..

hakuna mtu ana haja ya kushindana nawe au nae.

Hata kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa hakuna ushindani wowote,sembuse kanisani na fr kitima?🐒
 
Back
Top Bottom