Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
utafute ikiwa hujaelewa ๐Itakuwa underwear yako imeshonewa na kitambaaa Cha bendera ya ccm sio bure ,huo uchochezi uko wap sasa๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utafute ikiwa hujaelewa ๐Itakuwa underwear yako imeshonewa na kitambaaa Cha bendera ya ccm sio bure ,huo uchochezi uko wap sasa๐๐๐๐
Ni kwa Neema na Baraka za Mungu tumezaliwa. Tumekua na kuendelea kuishi mpaka hivi tulivyo ni kwa upendo wa Mungu tu.Itakuwa ni sawa na kumuelimisha juha km unachokisema huwezi kutoa reference yoyote..sasa umetoka kwenye huruma ya Mungu umeenda kwenye Neema na Baraka ya Mungu..unafahamu hata maana ya maneno haya au unajitamkia tu..! soma kisa cha muuaji wa kwanza Kaini na vile Mungu alisema nae kwa habari ya kitendo alichofanya.
Unahaha mnoanae mbwelambwela ni Fr.Kitima na chadema gentleman๐
kwani Muumba ni kaka yako ndio nibabaike na wewe.๐คฃ
Mwenyezi Mungu ni wa wote wa mchao. Mshukuru Mungu kwa kila Jambo.
Wauaji mnamvumilia KitimaFr kitima tunamvumilia kumsikiliza ili tupate namna ya kumjibu na kumpuuza ingawa wengi wameanza kukwepa humilia zake za siasa za kulalamikia kila kitu bila kutoa suluhisho ๐
hakuna kubabaika gentleman,Unahaha mno
Punguza tlaah tlaah

hakuna haja ya kubabaika na aliepotoshwa huku na akijaribu kupotoshaWauaji mnamvumilia Kitima

Kwa kuwa kanisa limekemea basi uhalali haupo kisa muuaji mkuu ni muislam.Padre Kitima yuko sahihi kabisa, mauaji hayo yamesababisha chuki kubwa sana kati ya Wananchi wa kawaida ambao ni wapenda haki dhidi ya Serikali na CCM, hususani kuibuka kwa chuki kati ya raia dhidi ya Jeshi la Polisi na TISS ambao kwenye mkasa huu wanashukiwa Moja kwa Moja kuhusika na mauaji hayo ya kinyama.
Kabisa Lina wajibu wa kukemea uovu mbaya kama huo.
Je, wewe binafsi ungejisikiaje endapo kama huyo mzee aliyeuawa kwenye mkasa huu angekuwa baba yako mzazi?
Wewe na manyang'au wenzio ndo mnadhani anahumilia ujinga.Fr kitima tunamvumilia kumsikiliza ili tupate namna ya kumjibu na kumpuuza ingawa wengi wameanza kukwepa humilia zake za siasa za kulalamikia kila kitu bila kutoa suluhisho [emoji205]
Iwe fake ila ndo ukweli wenyewe.We jamaa inaonekana ni mwepesi sana kulishwa fake news.
Padre Dkt. Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), ametoa kauli nzito akisema kuwa viongozi wa dini lazima waonyeshe wazi kwamba aliyehusika katika mauaji ya Ally Mohamed Kibao amefanya kosa kubwa na ni laana kwa Mwenyezi Mungu.
Pia, Soma: Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Akizungumza kuhusu tukio hilo, Padre Kitima alisisitiza kuwa, "Aliyemuua Kibao amefanya kosa baya na ni laana kwa Mwenyezi Mungu. Kama viongozi wa dini, lazima tuseme hili. Tunalaani vikali vitendo vya uhalifu kama hivi."
Aliongeza, "Unafikiri watoto wa Mzee Kibao, aliyeuawa kinyama, wataonana vema na wale wanaohisiwa? Hii imejenga chuki kubwa kati ya familia na jamii. Tunapiga vita, tuna laani, na tunahitaji aliyemuua Kibao atubu kwa Mungu wake au achukuliwe hatua na sheria."
Padre Kitima alisisitiza kuwa, kama viongozi wa dini, ni jukumu lao kutoa ujumbe wa haki na amani, na kuonya dhidi ya vitendo vya kinyama vinavyovuruga jamii na kuleta machafuko.
Soma:
- Familia ya Mzee Ali Kibao yatuma ujumbe kwa Rais Samia, yaomba uchunguzi wa wazi pamoja na kutoa kauli kali dhidi ya wahusika wa utekaji na mauaji
- CHADEMA: Mzee Ali Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo
- John Mnyika aitwa Polisi kwa uchunguzi mauaji ya Ally Mohamed Kibao
kiukweli huyu Father Kitima ni Katibu Mkuu wa TEC mwanaharakati๏ผkauli hii ni ramli chonganoshi๏ผ Wakristu hawaruhusiwi kuhukumu na kulaani Tuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani!Padre Dkt. Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), ametoa kauli nzito akisema kuwa viongozi wa dini lazima waonyeshe wazi kwamba aliyehusika katika mauaji ya Ally Mohamed Kibao amefanya kosa kubwa na ni laana kwa Mwenyezi Mungu.
Pia, Soma: Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Akizungumza kuhusu tukio hilo, Padre Kitima alisisitiza kuwa, "Aliyemuua Kibao amefanya kosa baya na ni laana kwa Mwenyezi Mungu. Kama viongozi wa dini, lazima tuseme hili. Tunalaani vikali vitendo vya uhalifu kama hivi."
Aliongeza, "Unafikiri watoto wa Mzee Kibao, aliyeuawa kinyama, wataonana vema na wale wanaohisiwa? Hii imejenga chuki kubwa kati ya familia na jamii. Tunapiga vita, tuna laani, na tunahitaji aliyemuua Kibao atubu kwa Mungu wake au achukuliwe hatua na sheria."
Padre Kitima alisisitiza kuwa, kama viongozi wa dini, ni jukumu lao kutoa ujumbe wa haki na amani, na kuonya dhidi ya vitendo vya kinyama vinavyovuruga jamii na kuleta machafuko.
Soma:
- Familia ya Mzee Ali Kibao yatuma ujumbe kwa Rais Samia, yaomba uchunguzi wa wazi pamoja na kutoa kauli kali dhidi ya wahusika wa utekaji na mauaji
- CHADEMA: Mzee Ali Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo
- John Mnyika aitwa Polisi kwa uchunguzi mauaji ya Ally Mohamed Kibao
Hawa Wakatoliki mimi hunipa shida moja tu...Padre Dkt. Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), ametoa kauli nzito akisema kuwa viongozi wa dini lazima waonyeshe wazi kwamba aliyehusika katika mauaji ya Ally Mohamed Kibao amefanya kosa kubwa na ni laana kwa Mwenyezi Mungu.
Pia, Soma: Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Akizungumza kuhusu tukio hilo, Padre Kitima alisisitiza kuwa, "Aliyemuua Kibao amefanya kosa baya na ni laana kwa Mwenyezi Mungu. Kama viongozi wa dini, lazima tuseme hili. Tunalaani vikali vitendo vya uhalifu kama hivi."
Aliongeza, "Unafikiri watoto wa Mzee Kibao, aliyeuawa kinyama, wataonana vema na wale wanaohisiwa? Hii imejenga chuki kubwa kati ya familia na jamii. Tunapiga vita, tuna laani, na tunahitaji aliyemuua Kibao atubu kwa Mungu wake au achukuliwe hatua na sheria."
Padre Kitima alisisitiza kuwa, kama viongozi wa dini, ni jukumu lao kutoa ujumbe wa haki na amani, na kuonya dhidi ya vitendo vya kinyama vinavyovuruga jamii na kuleta machafuko.
Soma:
- Familia ya Mzee Ali Kibao yatuma ujumbe kwa Rais Samia, yaomba uchunguzi wa wazi pamoja na kutoa kauli kali dhidi ya wahusika wa utekaji na mauaji
- CHADEMA: Mzee Ali Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo
- John Mnyika aitwa Polisi kwa uchunguzi mauaji ya Ally Mohamed Kibao
UKo sawa kiongozi wa kiroho wafanye maombi kubadili hali hiyo sio kuvimba macho kama sisi wenye dhambi nyingiKama kanisa inafaa kuiombea Neema na Baraka za Mungu familia ya Mzee Kibao..
Lakin zaid sana kumuombea huruma ya Mungu muuaji wa Mzee Kibao.
Mengine nadhani sio wajibu wa kanisa bali inaweza kua uchochezi zaidi ๐
Hakuna uchochezi hata kidogo. Kazi ya viongozi wa Kanisa siyo kuwaombea waovu bali kuwafundisha wanadamu ni mambo gani ni chukizo kwa Mungu. Wale wanaotubu na kuomba msamaha wa dhati, watumishi wa Mungu huwafanyia ibada ya upatanisho.Kama kanisa inafaa kuiombea Neema na Baraka za Mungu familia ya Mzee Kibao..
Lakin zaid sana kumuombea huruma ya Mungu muuaji wa Mzee Kibao.
Mengine nadhani sio wajibu wa kanisa bali inaweza kua uchochezi zaidi ๐
Hawa Wakatoliki mimi hunipa shida moja tu...
Wakati wa Magufuli hawakuwahi kuongea hivi. Chuki hizi ni za kidini..
Hii si sawa kabisa..kabisaa.
Huu ni UNAA...na lolote baya liwakute.
Mashetani wanaamini eti hakuna Mungu kwenye Siasa ! ๐ณ๐Padre Dkt. Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), ametoa kauli nzito akisema kuwa viongozi wa dini lazima waonyeshe wazi kwamba aliyehusika katika mauaji ya Ally Mohamed Kibao amefanya kosa kubwa na ni laana kwa Mwenyezi Mungu.
Pia, Soma: Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Akizungumza kuhusu tukio hilo, Padre Kitima alisisitiza kuwa, "Aliyemuua Kibao amefanya kosa baya na ni laana kwa Mwenyezi Mungu. Kama viongozi wa dini, lazima tuseme hili. Tunalaani vikali vitendo vya uhalifu kama hivi."
Aliongeza, "Unafikiri watoto wa Mzee Kibao, aliyeuawa kinyama, wataonana vema na wale wanaohisiwa? Hii imejenga chuki kubwa kati ya familia na jamii. Tunapiga vita, tuna laani, na tunahitaji aliyemuua Kibao atubu kwa Mungu wake au achukuliwe hatua na sheria."
Padre Kitima alisisitiza kuwa, kama viongozi wa dini, ni jukumu lao kutoa ujumbe wa haki na amani, na kuonya dhidi ya vitendo vya kinyama vinavyovuruga jamii na kuleta machafuko.
Soma:
- Familia ya Mzee Ali Kibao yatuma ujumbe kwa Rais Samia, yaomba uchunguzi wa wazi pamoja na kutoa kauli kali dhidi ya wahusika wa utekaji na mauaji
- CHADEMA: Mzee Ali Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo
- John Mnyika aitwa Polisi kwa uchunguzi mauaji ya Ally Mohamed Kibao
sasa Fr.Kitima anafundisha au anapiga mayowe tu kama wengine walivykua wakipayukapayuka ili waonewe huruma?Hakuna uchochezi hata kidogo. Kazi ya viongozi wa Kanisa siyo kuwaombea waovu bali kuwafundisha wanadamu ni mambo gani ni chukizo kwa Mungu. Wale wanaotubu na kuomba msamaha wa dhati, watumishi wa Mungu huwafanyia ibada ya upatanisho.
Kazi ya viongozi wa dini ni kufundisha, kuonya na kupatanisha. Msamaha siku zote upo kwa anayeomba msamaha. Waliomwua Kibao wameomva msamaha? Waliowateka wanaomkosoa Rais wameomva msamaha? Mbona wanaendeleza tu uovu wao? Hujasikia wanavyoharibu mchakato wa uchaguzi?