PostGE2025 Padre Kitima: Hatuko salama, watu wanatekwa, wanapotezwa, wanauawa, Vijana wamechoka

PostGE2025 Padre Kitima: Hatuko salama, watu wanatekwa, wanapotezwa, wanauawa, Vijana wamechoka

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
"Tusikatae ukweli kwamba vijana waliandamana kwa sababu gani? wanasema sababu ya kwanza ukiuliza vijana wanasema hatuko salama watu wanatekwa, watu wanapotezwa, watu wanauawa, ni zoezi lina zaidi ya miaka miwili hilo linaendelea vijana wamechoka kuvumilia"

"Demokrasia, haina maaana tena kufanya uchaguzi kwasababu utagombea hutapitishwa, wakala hatapitishwa, na sisi tulifanya kikao hapa tukawashauri serikali tarehe 30 mwezi wa nne usiku wake ambapo waliamua kuniua mimi, ndiyo tulipitisha yale maazimio na uzuri yamekabidhiwa serikalini mwezi wa nane tarehe 27. Pamoja na kwamba ilikuwa tuyakabidhi siku iliyofuata wakataka kuniua Mungu bariki nikapona, najua naweza nikauawa leo baada ya taarifa hii."
​

Tulisema haya yasipozingatiwa nchi haitakaa salama tunaelekea pabaya. Tuliongea taifa linaelekea pabaya tulishaona, lakini kupuuza viongozi wa dini ni hatari sana kwa sababu viongozi wa dini hawana maslahi binafsi kwenye taarifa zinazohusu uhai wa mtu.

Kwahiyo kusema watu wamenunuliwa si kweli, kuna matatizo yanayoendelea ya msingi ya nchi ambayo hayajashughulikiwa, watu wanatekwa, wanapotezwa, wanauawa."

Padre Charles Kitima, Katibu mkuu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 01, 2025.
​

Haya siyo matatizo ya vijana,haya ni kisingizio tu, akina kitima Wana sababu zao
Akili za chooni na mavi kunuka, kwa hiyo vijana wanafurahia kutekwa, kitima ndio alietuma watu wauawe , kitima ndie aliemteka mdude , kitima ndie aliyeiba uchaguzi, kitima ndie aliemuua Ali kibao, kitima ndie aliyeweka ukoo wake wote ikulu?...mavi wewe
 
Mavi mama yako, kitima na walevi wenzake wakimtumia kondoo wao lisu ndiye aliyewashawishi vijana wao kufanya vurugu
Ndiyo maana kwenye uapisho wa rais wakatuaminisha waliouawa wako mbinguni, maana wamepigana vita vitakatifu vya msalaba
 
Mavi ni ****** wa baba yako mwenye ulemavu wa akili na mama yako mwenye uchi mchafu..kwa upumbavu wao wametuletea zao la shahawa zao chafu kama wewe..takataka kabisa
 
Back
Top Bottom