PostGE2025 Padre Kitima: Hatuko salama, watu wanatekwa, wanapotezwa, wanauawa, Vijana wamechoka

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hatuna idadi kamili, lakini ni wengi
Na hao kadhaa waliotekwa wanafanya vijana waliobaki kuogopa kutoa maoni yao pale wanapoona serikali inakosea. Kule kukosa amani kwa hofu ya kutekwa kama hao wengine walivyotekwa ndio sababu kwa nini vijana wanataka hii tabia ife ili wawe huru kukosoa serikali bila hofu
Wengi ndiyo namba gani!?.. unaona mlivyo waongo
 
Ni wengi na unajua hilo. Mfano Soka alivyotekwa au yule jamaa wa Mbeya aliyechoma picha ya Rais
Hata akitekwa mmoja na kupotezwa kwa kukosoa serikali bado inaleta hofu kwa watu ambao wanakosoa serikali
Vijana wamechoka kuishi na hiyo hofu
 
Wawili ndiyo wengi kiasi cha kuanzisha vurugu?
 
Vurugu zimetokea sio kwa sababu moja tu ya kutekwa vijana wawili, bali na kuteka watu wengine ambao si vijana, akina Polepole, Ally Kibao nk
Kuna thread hapa ina barua kutoka EU, wametaja watu wengi sana waliotekwa kisa kukosoa serikali. Sijakariri majina yao ndio maana ila ni wengi sana

Na ww unadhani hao wawili sio watu au? Kwa nini unatetea mauaji?
 
Polepole alirudi lini toka Cuba?.. polepole alikua miongoni mwa wahamasishaji vurugu so kukamatwa(kama kweli) hawezi kuwa sababu ya vurugu
 
Nini kifanyike kuwasaidia vijana wanaoishi kwa hofu ya kutekwa endapo watakosoa serikali?
 
Waendelee kutukana serikali
Unabadilisha maneno, nimesema kukosoa sio "kutukana"
Narudia swali langu "Nini kifanyike kusaidia vijana wanaoishi kwa hofu ya kutekwa pale wanapokosoa serikali?"

Tunajenga taifa moja na sasahivi Rais anataka maridhiano, moja ya issue za kutatua ni hili la hofu ya kutekwa so ningependa kusikia maoni yako kuhusu hili, tunafanyaje kuweka hii hali shwari?
 
Nyie mnaowajibu hao mbogamboga mnapoteza muda hao dawa ni kuwalima ignore tu
 
Unabadilisha maneno, nimesema kukosoa sio "kutukana"
Narudia swali langu "Nini kifanyike kusaidia vijana wanaoishi kwa hofu ya kutekwa pale wanapokosoa serikali?"

Tunajenga taifa moja na sasahivi Rais anataka maridhiano, moja ya issue za kutatua ni hili la hofu ya kutekwa so ningependa kusikia maoni yako kuhusu hili, tunafanyaje kuweka hii hali shwari?
Mi nimeona watukanaji tu sijaona wakosoaji, ukisema watu serikalini hawana akili Wana tope,utaumia tu,watu hawawezi vumilia ngumi na panga wanalo mkononi
 
Ila hii ajenda ya kuua polisi sijawahi kuielewa kabisa. Kwani mna uhakika gani kila polisi ni muuaji?
Kwani hujaona video zinaonyesha polisi wakiua raia kwa kuwapiga risasi?

Zitafute ziko mitandaoni zimejaa, au unataka uhakika upi sasa?
 
Back
Top Bottom