PostGE2025 Padre Kitima: Hatuko salama, watu wanatekwa, wanapotezwa, wanauawa, Vijana wamechoka

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Walisema: siku ya nyani kufa ikifika, miti yote huteleza.

Safari hii watawala wetu wameshangaza sana. Sijui ni ni kuhamanika (to panic) au ni kiburi na jeuri tu (impunity)?

Yaani wameonyesha kukosa akili na busara kukubwa sana. Kwanza, wametengeneza matokeo ya uchaguzi ya kufikirika kabisa. Idadi za waliojiandikisha waliopiga kura na kura za ushindi hazina uhalisia wowote katika nchi hii. Hazistahili hata kuchambuliwa. Ni kama kujadili ushirikina. Dunia nzima watu wanacheka tu.

Pili, wamefanya massacre (mauaji ya halaiki) kwa kutumia silaha za kivita kwa raia ambao hawana uwezo wa mapambano ya kivita. Hawakutarajia kupigwa risasi at point blank bila sababu yoyote kiasi kile. Tena wengine wakiwa kwenye maeneo ya makazi yao, biashara na ajira au njiani wakiwahi kurejea nyumbani.

Maafa yamewakuta wananchi wa dini zote, makabila yote, wanachama na wafuasi wa vyama vyote vya siasa, n.k. Nimedokezwa hata baadhi ya machawa wa CCM wameathirika! Hawakujisumbua hata kutafuta namna ya kutenganisha wafuasi wao na wengineo.

Sijui kama viongozi na makada wa CHADEMA hawajui kwamba mkono wa Mungu ulikuwa nao. Wangekuwa huru kuendekeza harakati zao, wote wangekuwa ulimwengu mwingine. Hata miili yao isingeonekana kama B. Saanane.
Wamepanda mbegu ya NRNE, wananchi wameitikia na kuufikisha ujumbe kwa gharama ya kutisha. Wawaheshimu sana Watanzania. Usaliti hautakubalika kabisa hasa nyakati hizi.
 
Siyo shida ya vijana hiyo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
SHIDA YA VIJANA NI NINI?? ( kuna kitu nataka ku conclude hapa)
 
😂😂😂😂😂😂😂😂
Ok, kAMA KIJANA HANA UHAKIKA NA UHAI WAKE UNATAKAJE AWAZE MAMBO YA AJIRA? KWA ULICHOANDIKA HAPO UNAAMAANISHA WANAOTEKWA NA KUUWAWA NI WAZEE TUU.

OK KWAHIYO KWAKUA KIJANA SHIDA YAKE NI AJIRA NI RUHUSA VIJANA WAENDELEE KUTEKWA.

AISEE NGOJA NIKULIME BLOCK UNA UBONGO WA MENDE
 
Hii inakuja Leo December 1.
Maana yake ni kuhamasisha vijana wa hovyo kuingia barabarani kufanya vurugu Tena...tukisema kanisa linachochea mnasena ni udini.

Kauli kama hizi zilikuwepo kabla ya Ile Oct 29 na Leo Tena zinatoka kauli tata huko makanisani kwenu.

Mnapotaka nchi hii ifike sio pazuri KABISA....tunamuomba Mwenyezimungu aepushe haya mabalaa.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂
Ok, kAMA KIJANA HANA UHAKIKA NA UHAI WAKE UNATAKAJE AWAZE MAMBO YA AJIRA? KWA ULICHOANDIKA HAPO UNAAMAANISHA WANAOTEKWA NA KUUWAWA NI WAZEE TUU.

OK KWAHIYO KWAKUA KIJANA SHIDA YAKE NI AJIRA NI RUHUSA VIJANA WAENDELEE KUTEKWA.

AISEE NGOJA NIKULIME BLOCK UNA UBONGO WA MENDE
Pumba tupu
Ukiniblok ntaumwa!!?
 
Walisema: siku ya nyani kufa ikifika, miti yote huteleza.

Safari hii watawala wetu wameshangaza sana. Sijui ni ni kuhamanika (to panic) au ni kiburi na jeuri tu (impunity)?

Yaani wameonyesha kukosa akili na busara kukubwa sana. Kwanza, wametengeneza matokeo ya uchaguzi ya kufikirika kabisa. Idadi za waliojiandikisha waliopiga kura na kura za ushindi hazina uhalisia wowote katika nchi hii. Hazistahili hata kuchambuliwa. Ni kama kujadili ushirikina. Dunia nzima watu wanacheka tu.

Pili, wamefanya massacre (mauaji ya halaiki) kwa kutumia silaha za kivita kwa raia ambao hawana uwezo wa mapambano ya kivita. Hawakutarajia kupigwa risasi at point blank bila sababu yoyote kiasi kile. Tena wengine wakiwa kwenye maeneo ya makazi yao, biashara na ajira au njiani wakiwahi kurejea nyumbani.

Maafa yamewakuta wananchi wa dini zote, makabila yote, wanachama na wafuasi wa vyama vyote vya siasa, n.k. Nimedokezwa hata baadhi ya machawa wa CCM wameathirika! Hawakujisumbua hata kutafuta namna ya kutenganisha wafuasi wao na wengineo.

Sijui kama viongozi na makada wa CHADEMA hawajui kwamba mkono wa Mungu ulikuwa nao. Wangekuwa huru kuendekeza harakati zao, wote wangekuwa ulimwengu mwingine. Hata miili yao isingeonekana kama B. Saanane.
Wamepanda mbegu ya NRNE, wananchi wameitikia na kuufikisha ujumbe kwa gharama ya kutisha. Wawaheshimu sana Watanzania. Usaliti hautakubalika kabisa hasa nyakati hizi.
Bado wakaendeleza makosa makubwa zaidi, Mosi kuzika/kupoteza maiti. Hamna namna ukaua watu kwa wingi then ghafla maiti hazionekani.Hili limewafanya hata kutoa idadi washindwe.

Pili, kuendelea kuua hata baada ya tarehe 29. Yani ilikuwa kama ni witch hunting. Unazunguka unapiga risasi hovyo tu, watu wanaangalia mpira unaua.

Yaani I think Ujinga na Jeuri iliwajaa mno akili ikawatoka, Cha kushangaza mpaka sasa haijawarudi wajue kauli za kusema na kutatua tatizo.

Hawa ndio viongozi wataweza kutuongoza na kuleta maendeleo? Sidhani.
 
Haya siyo matatizo ya vijana,haya ni kisingizio tu, akina kitima Wana sababu zao
Wewe unaishi na kukutana na vijana wapi?

Wao wana mpaka ibada za vijana. Wanaishi nao.

Wakati ambao nyie mnaficha, Katoliki wana Data zote za watu MLIOWAUA.

Katoliki wana data taarifa ambazo nyie hamtakaa mzipate, kwa akili zenu za kupika data za kufurahishana.

Screenshot_20251201_204001_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom