Aliyemtishia ndiye aliyempiga?.. kitima alimuona aliyempiga
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, amesema tukio la yeye kushambuliwa na watu wasiojulikana linafahamika vizuri na vyombo vya dola, na kwamba hatua zaidi kuhusu uchunguzi na haki zipo katika vyombo hivyo vya usalama.
"Vyombo vya dola vimekuja kunihoji, nimewaeleza niliyodhani kwa wakati ule waliyahitaji. Wenyewe wanajua, wanalijua hili tukio vizuri… mbele ya Mungu wanalijua vizuri," amesema Padri Kitima.
Ameeleza kuwa haitakuwa vyema kwa vyombo vya dola kufanya kwa Watanzania wengine kile alichokumbana nacho yeye, na ameonesha masikitiko...

- Waufukweni
- padri kitima vyema vyombo vya dola
- Replies: 9
- Forum: Jukwaa la Siasa