The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Kwahiyo vijana wanafurahia kutekwa?Haya siyo matatizo ya vijana,haya ni kisingizio tu, akina kitima Wana sababu zao
Hivi una ndugu yako yeyote aliywahi kutekwa ukafeel uchungu wake?Haya siyo matatizo ya vijana,haya ni kisingizio tu, akina kitima Wana sababu zao
Wametekwa wangapi mpaka vijana nchi nzima kuamua kufanya vurugu siku ya uchaguzi, kuchoma moto miundombinu na mali za binafsi,kuua askari?Hivi una ndugu yako yeyote aliywahi kutekwa ukafeel uchungu wake?
Yaani wenye uchungu wa kutekwa ndugu ni vijana tu!?..tena vijana baadhi wa kimara, Arusha,mbeya, mwanza na mara!?K
Kwahiyo vijana wanafurahia kutekwa?
Akili za chooni na mavi kunuka, kwa hiyo vijana wanafurahia kutekwa, kitima ndio alietuma watu wauawe , kitima ndie aliemteka mdude , kitima ndie aliyeiba uchaguzi, kitima ndie aliemuua Ali kibao, kitima ndie aliyeweka ukoo wake wote ikulu?...mavi weweHaya siyo matatizo ya vijana,haya ni kisingizio tu, akina kitima Wana sababu zao
Matatizo ya vijana ni yapi?Haya siyo matatizo ya vijana,
Matatizo ya vijana ni ajiraMatatizo ya vijana ni yapi?
Kutekwa, kupotezwa na kuuwawa ni matatizo ya Watanzania wote na vijana wakiwemo!!!
Huo ndio ukweli.
Ni vijana tu ndiyo hawana ajira!!! Makundi yote ndani ya jamii Yana ajira stahiki, kweli? !!!ajira
Mavi mama yako, kitima na walevi wenzake wakimtumia kondoo wao lisu ndiye aliyewashawishi vijana wao kufanya vuruguAkili za chooni na mavi kunuka, kwa hiyo vijana wanafurahia kutekwa, kitima ndio alietuma watu wauawe , kitima ndie aliemteka mdude , kitima ndie aliyeiba uchaguzi, kitima ndie aliemuua Ali kibao, kitima ndie aliyeweka ukoo wake wote ikulu?...mavi wewe
Na huo ndo ukweli mchungu, Wana Shari yao waliyoiandaa..........ngoja tuone.Haya siyo matatizo ya vijana,haya ni kisingizio tu, akina kitima Wana sababu zao
'ajira stahiki' au ajira?.. ajira stahiki ni nini? ..shida ya vijana ajira,full stopNi
Ni vijana tu ndiyo hawana ajira!!! Makundi yote ndani ya jamii Yana ajira stahiki, kweli? !!!
Mavi ni ****** wa baba yako mwenye ulemavu wa akili na mama yako mwenye uchi mchafu..kwa upumbavu wao wametuletea zao la shahawa zao chafu kama wewe..takataka kabisaMavi mama yako, kitima na walevi wenzake wakimtumia kondoo wao lisu ndiye aliyewashawishi vijana wao kufanya vurugu
Ndiyo maana kwenye uapisho wa rais wakatuaminisha waliouawa wako mbinguni, maana wamepigana vita vitakatifu vya msalaba