Huyu jamaa avue tu joho aingie siasa!! Kiongozi wa dini wa hovyo sana!Katibu Mkuu wa Barala La Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padre Dkt. Charles Kitima akizungumza jana Disemba 19, 2025 wakati wa akimtambulisha Naibu Katibu Mkuu mpya wa Baraza hilo huku akimshukuru aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Baraza hilo Padre Dkt. Chesco Msaga C.PP.S kwa kuwa msaada kwake hata pale ambapo yeye (Kitima) alishindwa kwenda baadhi ya maeneo kwa sababu ya hofu aliyonayo ya kudhurika.
Hilo Bichwa umejaza mikundu ?.Huyu jamaa avue tu joho aingie siasa!! Kiongozi wa dini wa hovyo sana!
Huyu Kitima ni kirusi ndani ya Kanisa Katoliki Tanzania. Ameigeuza TEC kuwa taasisi ya harakati za kisiasa badala ya chombo cha imani.Katibu Mkuu wa Barala La Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padre Dkt. Charles Kitima akizungumza jana Disemba 19, 2025 wakati wa akimtambulisha Naibu Katibu Mkuu mpya wa Baraza hilo huku akimshukuru aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Baraza hilo Padre Dkt. Chesco Msaga C.PP.S kwa kuwa msaada kwake hata pale ambapo yeye (Kitima) alishindwa kwenda baadhi ya maeneo kwa sababu ya hofu aliyonayo ya kudhurika.
Huyu jamaa avue tu joho aingie siasa!! Kiongozi wa dini wa hovyo sana!
Kwahiyo ulitaka asiseme we vipi.Huyu jamaa avue tu joho aingie siasa!! Kiongozi wa dini wa hovyo sana!
Usiwafundishe Vatican wana utaratibu wao.Huyu Kitima ni kirusi ndani ya Kanisa Katoliki Tanzania. Ameigeuza TEC kuwa taasisi ya harakati za kisiasa badala ya chombo cha imani.
Huyu si mnasema ana PhD na amenyooka, sasa kwanini miaka yote Vatican wasimpe UASKOFU?? Wanapata uaskofu mapadre wana degree moja au 2.
We qumer amekukosea nini KITIMA ?Huyu jamaa avue tu joho aingie siasa!! Kiongozi wa dini wa hovyo sana!
Kafiran na dada yako Wan AmeiHuyu Mzee Ni Muongo na Mzushi sana. Kifua na moyo wake umejazwa na uchonganishi,Udini na chuki binafsi tu kwa serikali hii ya Rais Samia.kila siku anajitahidi kupandikiza chuki tu kwa watu ili waichukie serikali ya Rais Samia.
Sheikh Sharifu Majini alikuwa kama wewe kabla hajapigwa risasi ya takoni. Chawa mnaishi tu ila kuna siku nguo zitalowekwa kwenye maji ya moto.Huyu Mzee Ni Muongo na Mzushi sana. Kifua na moyo wake umejazwa na uchonganishi,Udini na chuki binafsi tu kwa serikali hii ya Rais Samia.kila siku anajitahidi kupandikiza chuki tu kwa watu ili waichukie serikali ya Rais Samia.
Wewe ndo ungefanya mpango wa kuwashauri hao viongozi wako ving'ang'anizi waachie madaraka make HAWAPO KIHALALI HAPO OFSINI.Huyu jamaa avue tu joho aingie siasa!! Kiongozi wa dini wa hovyo sana!
Ondoa mihasira yako hapa weweKafiran na dada yako Wan Amei
Acheni maneno ya Uzushi na uongo uongo kutaka kuichafua serikali yetu.Sheikh Sharifu Majini alikuwa kama wewe kabla hajapugwa risasi ya takoni. Chawa mnaishi tu ila kuna siku nguo zitalowekwa kwenye maji ya moto.
Sifa za padre kuchaguliwa kuwa askofu katika Kanisa Katoliki ni muhimu sana na zinajumuisha mambo yafuatayo:Usiwafundishe Vatican wana utaratibu wao.
Huyu Kitima ni mhamasishaji wa maandamno tu na vurugu za uchaguziHuyu ndio kiongozi wa dini aliyekemea utekaji na utu wa Mtanganyika bila aibu wala kupepesa macho kwa ukweli kutoka moyoni... Watawala polepole yuko wapi???..mpaka mseme kama mlimchinja na kuywa damu yake..
We unadhani watu wote ni walamba matrako ya watawala kama wewe, na nani kakudanganya sirikali ya samuya inapendwa na walio wengi?!Huyu Mzee Ni Muongo na Mzushi sana. Kifua na moyo wake umejazwa na uchonganishi,Udini na chuki binafsi tu kwa serikali hii ya Rais Samia.kila siku anajitahidi kupandikiza chuki tu kwa watu ili waichukie serikali ya Rais Samia.