PostGE2025 Padre Kitima: Nilishauriwa na watu nisiende kumzika Jenista

PostGE2025 Padre Kitima: Nilishauriwa na watu nisiende kumzika Jenista

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Japo siwezi thibitisha lakini kwa watu wa singida na ngono, huenda ni kweli
mmbaya mno huyo muungwana kwenye suala la ngono,
pale SAUT katoa marks za ngono sana kwa mabinti wanafunzi wa watu.

huku dar anapita sana na wake za waamini wake hasa wale aliowafungisha ndoa mwenyewe :NoGodNo:
 
Ulevi wa kupindukia umemfanya kitima kuwa mtu wa hovyo sana!! He is doing it too much mpaka anaonesha biasness kwa Samia na serikali!! Avue tu joho sasa apewe mic asimame kwenye majukwaa ya siasa!!
Hivi kweli mtu mwenye akili nzuri anaweza kumtetea Samia kwa lolote?
Kweli inahitaji mtu awe "biased" kujuwa na kutambua uovu mkubwa alionao Samia Suluhu?

Wewe tueleze hiyo 'biasness' aliyo nayo Padre Kitima juu ya Samia, ambayo haihusu uovu wa Samia. Ni lipi katika yooote aliyokwishasema Padre Kitima unaoana wewe kuwa ni mambo ya kuonyesha 'bias' kwa Samia na hayana ukweli wowote.

Sasa huo "ulevi" umetoka wapi hapa; maana huyo padre kila mara anaposema jambo haonyeshi kuwa mlevi, na wala kuwa ulevi wake ndio unaompa msukumo wa kusema anayoyasema.
Huyo Padre kazungumza jambo lolote lililokupa sababu ya kuhitimisha kuwa ulevi wake ndio umemfanya aseme aliyosema?Hebu eleza hayo wewe nasi tuyajue.

Alipoponea chupu chupu kuuliwa, Jumanne Mulilo alitangaza kwa mara ya kwanza kuwa huyo Padre alikuwa kwenye shughuli za vilevi; kuwa pengine ndiyo ilikuwa sababu ya yaliyompata. Leo wewe hapa nawe umekuja na habari hiyo hghiyo ya vilevi; lakini wengine tusiomfahamu hatuoni uhusiano wowote wa anayoyasema kuhusiana na ulevi; wala kuwa maswala ya kilevilevi.
Sababu zenu za kumtangazia ulevi ni nini; kwa vile hampendi anayoyasema?

Mwisho, mkuu 'Lusungo', inabidi niamini kuwa ule mpango wa ushiriki wa CHADEMA katika umoja na Genge la Samia wakati wa Mbowe pamoja na kusambaratishwa, bado mliokuwa na matumaini makubwa juu ya mpango huo bado hamkukata tamaa. Hili ndilo linaloelezea msimamo wako unaoendelea nao hadi sasa; ukipigania maslahi na fursa kuambulia chochote katika serikali HARAMU anayoiendeleza sasa Samia Suluhu Hassan.

Unasubiri kuteuliwa kuwa nani; mkuu wa mkoa au wilaya?
 
Issue ni kwamba nyinyi mnamsifia kuwa ni PhD na ni msema ukweli na mtetea haki. Ndiyo maana na sisi twasema kama huyu ana sifa zote hizo kwanini hapewi UASKOFU?

Kubali tu mkuu Tate Mkuu kuwa Fr Charles Kitima ana mapungufu makubwa especially lwenye uaminifu (usikute ana mahawara na watoto mtaani)
Sasa nyinyi ni sababu zipi mnazozikomalia kumhusu yeye; kama siyo taarifa zinazowaumiza mioyo yenu, taarifa ambazo ni za kweli.

Wewe unajuwa vigezo vinavyohusu mtu kuwa askofu?
Kwa maana hiyo hiyo unayolenga wewe; hao maaskofu waliomteua yeye kushika nafasi hiyo kwako na wao hawana sifa ya kuwa maaskofu kwa vigezo unavyotumia wewe?

Hawa watu hawazungumzii maswala ya kidini; lakini kila mara nyinyi mnayageuza yawe ya kidini kwa nini?
 
Ulitaka aseme bi chura mitano tena?
hivi wee chawa pimbi akili zako huwa unazihifadhi wapi?

Hasara kubwa hii kwa wana mbozi!
Sio lazima aseme hivyo, bali asimame katika misingi ya dini yake. Kwa minajili hii inaonekana Ukristo ni dini dhaifu sana na isiyo na misingi makini.

Kitima ni mwanaharakati, mchochezi wa vurugu na gaidi.

Wakristo wengi kwa viongozi wao wa dini ni kama maiti mbele ya muoshaji.

Kwa hayo aliyo yaongea kwa mtu makini Kuna maswali angeiiuliza :

1. Kulikuwa na haja gani ya yeye kusema hayo ?
2. Je Kuna waumini wowote huwa wanamuuuliza maswali magumu huyo Kitima au alisema yeye ni sawa tu ? Akiombwa ushahidi atatoa ?
3. Yesu anasemaje kuhusu kiongozi kuwa mchochezi na asiyejua ni aongee na wapi aseme ?
 
Hilo Bichwa umejaza mikundu ?.

Kwahiyo kama alishauriwa na watu asiende, ulitaka akae kimya ??
Shida yenu vijana mna matusi sana, mpaka mnakuwa na uwezo mdogo wa kujenga hoja, kukosoa na kufikiri.

Kitima ni kiongozi wa dini au mwana harakati ?

Kwani ilikuwa ni lazima aseme hadharani ? Kulikuwa na haja gani au lengo lake ni nini ? Mbona kiongozi wenu ni zwazwa sana kiasi hiki ?

Kuna muda ukweli ukiuweka mahala si pake unaonekana mwendawazimu na usijua nini maana ya hekima.
 
Sio lazima aseme hivyo, bali asimame katika misingi ya dini yake. Kwa minajili hii inaonekana Ukristo ni dini dhaifu sana na isiyo na misingi makini.

Kitima ni mwanaharakati, mchochezi wa vurugu na gaidi.

Wakristo wengi kwa viongozi wao wa dini ni kama maiti mbele ya muoshaji.

Kwa hayo aliyo yaongea kwa mtu makini Kuna maswali angeiiuliza :

1. Kulikuwa na haja gani ya yeye kusema hayo ?
2. Je Kuna waumini wowote huwa wanamuuuliza maswali magumu huyo Kitima au alisema yeye ni sawa tu ? Akiombwa ushahidi atatoa ?
3. Yesu anasemaje kuhusu kiongozi kuwa mchochezi na asiyejua ni aongee na wapi aseme ?
Wewe hapo ndo umejenga hoja?
kwahiyo kusema alishauriwa ni kesi ya ugaidi?
wee nae ni pimbi kiazi mbatata bogus pumpkin head

usije ni quote tena!
 
Wewe hapo ndo umejenga hoja?
kwahiyo kusema alishauriwa ni kesi ya ugaidi?
wee nae ni pimbi kiazi mbatata bogus pumpkin head

usije ni quote tena!
Kijana Jenga hoja au kosoa nilichokiandika au jibu maswali niliyo uliza.

Kutukana hakujawahi kuwa suluhisho zaidi ya uhayawani.
 
Issue ni kwamba nyinyi mnamsifia kuwa ni PhD na ni msema ukweli na mtetea haki. Ndiyo maana na sisi twasema kama huyu ana sifa zote hizo kwanini hapewi UASKOFU?

Kubali tu mkuu Tate Mkuu kuwa Fr Charles Kitima ana mapungufu makubwa especially lwenye uaminifu (usikute ana mahawara na watoto mtaani)
Pumbavu huna akili. Kwamba hii ndio sababu asiseme ukweli? Huyu mama yako nchi imemshinda. Mlidhania kumuua shujaa ndio mmefanikiwa.
 
Sasa nyinyi ni sababu zipi mnazozikomalia kumhusu yeye; kama siyo taarifa zinazowaumiza mioyo yenu, taarifa ambazo ni za kweli.

Wewe unajuwa vigezo vinavyohusu mtu kuwa askofu?
Kwa maana hiyo hiyo unayolenga wewe; hao maaskofu waliomteua yeye kushika nafasi hiyo kwako na wao hawana sifa ya kuwa maaskofu kwa vigezo unavyotumia wewe?

Hawa watu hawazungumzii maswala ya kidini; lakini kila mara nyinyi mnayageuza yawe ya kidini kwa nini?
Fr Charles Kitima ana mapungufu, period. Mimi ni Mkatoliki na ninafahamu mchakato na sifa zinazotakiwa.
 
Fr Charles Kitima ana mapungufu, period. Mimi ni Mkatoliki na ninafahamu mchakato na sifa zinazotakiwa.
Huwa unapenda sana kujitangaza, kwa sababu zipi hasa; hivi huoni kuwa unakuwa na upungufu mkubwa sana?
Sasa unajificha nyuma ya dini, nani kakuuliza wewe. Hakuna "mkatoliki" anayediriki kujitokeza na kushangilia vifo vya waTanzania kama ulivyofanya wewe.
Hao wakatoliki inabidi wawe na tahadhari sana na watu wa aina yako tokea sasa kwenda mbele; maana ni wazi mmepania kwelikweli kuwapa joto ya jiwe iwapo kama Samia ataendelea kuwepo kwa muda kwenye utawala.
Wewe ni mmoja wa watu hatari sana dhidi ya hao maaskofu na wanaowaongoza.

Ni bora mara mia "upungufu" alionao Fr Kitima kuliko huu wako, na hasa hasa huyo mfugaji wako Samia na Genge lake lote.

Kama huwezi kuona tofauti za mapungufu hayo, sababu pekee ni kuwa wewe ni mfugo tu, nguruwe anayefugwa na Samia.
 
Screenshot_20251222_192344_Instagram Lite.jpg
Screenshot_20251222_192411_Instagram Lite.jpg
Screenshot_20251222_192436_Instagram Lite.jpg
 
Kitima ni kiongozi wa dini au mwana harakati ?

Dini ni nini, ipo kwa sababu zipi? Mwanaharakati ni nani?
Hivyo viwili haviwezi kwenda pamoja?

Wewe pia upo katika harakati hasi za kuangamiza Watanganyika kutetea ufisadi, watesaji, watekaji, wauaji kisa kulinda cheo, maslahi binafsi, umelamba asali.
 
Dini na harakati haziendi pamoja, sababu kimoja kinaenda kinyume na kingine.
 
Dini na harakati haziendi pamoja, sababu kimoja kinaenda kinyume na kingine.

Mwanaharakati ni nani? Dini kwa ufahamu wako ni nini, ipo kwa lengo gani? Kwanini dini zingine zinaitwa dini za haki na ukweli? Unategemea kiongozi wa dini ya kweli na haki asitetee haki na ukweli?

Unajua Yesu Kristo, Musa, Paulo, Mtume Muhammad, Malcolm X, Martin Luther King, Desmond Tutu, Elijah Muhammad wangekuwepo leo Tanzania wangeitwa wanaharakati na Samia na genge lake, kwamba wasichanganye dini na siasa. Kwamba waache harakati?

Nina uhakika mngejaribu kuwateka, kuwatesa, kuwalawiti, kuwatupa magereza, ununio, na mapori ya mapwebande kuwasingizia uongo na kuwaua.
 
Dah!
Mbona habari kama hizi zinakupa matumaini sana wewe nguruwe; kana kwamba hujui kinachoendelea sasa hivi chini ya mwovu Samia Suluhu Hassan?

Mbona hujaweka taarifa yao kuhusu sifa walizompa Samia Suluhu Hassan na Genge lake, ili habari yako iwe ya mizania?

Sasa nikuulize; kweli huna wasiwasi juu ya hao nguruwe wapya wanaoingizwa bandani ili kuchukua nafasi yako utakapogeuzwa kuwa kitoweo?

Mtu ulionekana kuwa na akili nzuri; kumbe yalikuwa ni pambo tu la muda mfupi!
 
Back
Top Bottom