PostGE2025 Padre Kitima: Nilishauriwa na watu nisiende kumzika Jenista

PostGE2025 Padre Kitima: Nilishauriwa na watu nisiende kumzika Jenista

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nyinyi mnadai Kitima amenyooka na ni mpigania haki. Nami nauliza kwa nini pamoja na usomi wake ameishia kuwa padre wa kawaida tu??

Huyu ana kasoro zake kubwa
Unakifahamu vizuri cheo chake cha Katibu Mtendaji wa Baraza la Maaskofu nchini Tanzania, yaani TEC? Hakika unahitaji kuonewa huruma.
 
Huyu jamaa avue tu joho aingie siasa!! Kiongozi wa dini wa hovyo sana!


Wewe inaonekana una uwendazimu kiasi hata cha kutoutambua uwendawazimu wako, maana unaandika upuuzi ambao kwa namna yoyote ile haihusiani na hoja halisia.

Kwa akili yako hata papa leo hii akisema kuua binadamu si jambo jema, utasema avue joho aende kwenye siasa. Yaani mtu asipokuwa mwanasiasa, kwa akili yako, hastahili kukemea uovu/dhambi/dhuluma?
 
Huyu Kitima ni kirusi ndani ya Kanisa Katoliki Tanzania. Ameigeuza TEC kuwa taasisi ya harakati za kisiasa badala ya chombo cha imani.

Huyu si mnasema ana PhD na amenyooka, sasa kwanini miaka yote Vatican wasimpe UASKOFU?? Wanapata uaskofu mapadre wana degree moja au 2.
Kama vile inavyofanywa bakwata taasisi ya watoa roho, wanajinadi kuchinja watu na wamekaa kimya bila kukanusha, nionyeshe wapi TEC wametangaza watachinja watu?
 
Huyu Mzee Ni Muongo na Mzushi sana. Kifua na moyo wake umejazwa na uchonganishi,Udini na chuki binafsi tu kwa serikali hii ya Rais Samia.kila siku anajitahidi kupandikiza chuki tu kwa watu ili waichukie serikali ya Rais Samia.
we mbwa koko jitie kidole ulambe afu ujipige kifua useme wew ni chawa mjinga toka dunia iumbwe
 
Unakifahamu vizuri cheo chake cha Katibu Mtendaji wa Baraza la Maaskofu nchini Tanzania, yaani TEC? Hakika unahitaji kuonewa huruma.
Wewe bwege mimi nakifahamu cheo, TEC yenyewe na maaskofu pia. Hata mimi nimepita seminary japo sikufika daraja la upadre
 
Wewe kweli punguano. Haya weka hapa kauli yoyote ya Fr. Kitima kuhamasisha maandamano.
Ni wewe tu ndiye mgeni na mwenendo wa Fr Kitima hapa mjini. Huyu ana kadi ya CHADEMA na amekuwa hata anatumia ofisi za TEC kwa mikutano ya CHADEMA
 
Mzalendo yoyote sasa hivi ni adui wa Genge la Samia. Usiongelee utekaji, mauaji, watu kupotea, kutupwa magereza, kuiba chaguzi.
 
Wewe bwege mimi nakifahamu cheo, TEC yenyewe na maaskofu pia. Hata mimi nimepita seminary japo sikufika daraja la upadre
Una sababu ya msingi ya kuniita bwege? Nimekuuliza maswali yangu kistaarabu kabisa. Watch your back young man! Kama huwezi kunijibu kwa kujenga hoja, basi ni bora ukatulia. Hata mimi matusi ninayamudu vizuri tu.
 
Una sababu ya msingi ya kuniita bwege? Nimekuuliza maswali yangu kistaarabu kabisa. Watch your back young man! Kama huwezi kunijibu kwa kujenga hoja, basi ni bora ukatulia. Hata mimi matusi ninayamudu vizuri tu.
Nilitaka kukuhakikishia kuwa ninajuwa ninachokisimamia. Kitima ana matatizo ya kimaadili na uaminifu
 
Acheni maneno ya Uzushi na uongo uongo kutaka kuichafua serikali yetu.
The problem is that, what you call government do exist without the lawful mandate.

This is the crux of the matter and not the Roman priest. The Roman priest is just used as a scapegoat to mask the truth.
 
Kwa hiyo kila Padre aliyesoma, au mwenye umri mkubwa basi ni lazima awe Askofu! Mnafikiri Mapadre wa Katoliki wapo kwa ajili ya kuwa Maaskofu, badala ya kulitumikia Kanisa! Mnahuzunisha sana.
Issue ni kwamba nyinyi mnamsifia kuwa ni PhD na ni msema ukweli na mtetea haki. Ndiyo maana na sisi twasema kama huyu ana sifa zote hizo kwanini hapewi UASKOFU?

Kubali tu mkuu Tate Mkuu kuwa Fr Charles Kitima ana mapungufu makubwa especially lwenye uaminifu (usikute ana mahawara na watoto mtaani)
 
Back
Top Bottom