PostGE2025 Padre Kitima: Nilishauriwa na watu nisiende kumzika Jenista

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huyu Kitima ni kirusi ndani ya Kanisa Katoliki Tanzania. Ameigeuza TEC kuwa taasisi ya harakati za kisiasa badala ya chombo cha imani.

Huyu si mnasema ana PhD na amenyooka, sasa kwanini miaka yote Vatican wasimpe UASKOFU?? Wanapata uaskofu mapadre wana degree moja au 2.
Nawewe ni mmoja wa washauri sa100?
Au ni chawa tu wa kutumiwa kama ped?

Vatican unachakuwashauri wewe ?
 
Dah!
Mbona habari kama hizi zinakupa matumaini sana wewe nguruwe; kana kwamba hujui kinachoendelea sasa hivi chini ya mwovu Samia Suluhu Hassan?

Mbona hujaweka taarifa yao kuhusu sifa walizompa Samia Suluhu Hassan na Genge lake, ili habari yako iwe ya mizania?

Sasa nikuulize; kweli huna wasiwasi juu ya hao nguruwe wapya wanaoingizwa bandani ili kuchukua nafasi yako utakapogeuzwa kuwa kitoweo?

Mtu ulionekana kuwa na akili nzuri; kumbe yalikuwa ni pambo tu la muda mfupi!
Ukiona mtu anatumia lugha ya matusi au kejeli, tambua umemzidi uwasilishaji wa hoja.
 
Hata raia yeyote ambaye ni muumini anaweza kumuandikia Pope juu ya suala lolote la kiroho au kiutawala
Kwa nguruwe kama wewe uliyejitambulisha hadhi yako waziwazi,, nina uhuru wa kutumia lugha yoyote.

nilishakujulisha mara kadhaa juu ya hili.

Hata hivyo, sioni hoja yoyote tena katika maandishi yako; bali ni takataka tupu.
 
Wewe huna traffic ya kupost comments humu bila kunijibu mimi. Mimi ni kama maji, post zangu na comments zina mvuto sana wa kufikirisha. Mimi siepukiki ni kama maji tu, usipoyaoga utayanywa. Sijali matusi yako kwa vile Biblia imetoa mwongozo kwenye Mithali 26:4
 
Nguruwe umegeuka na kuwa "maji" Matukio haya yamewaathiri vibaya sana; na bado!
 
Mwanaharakati ni nani? Dini kwa ufahamu wako ni nini, ipo kwa lengo gani? Kwanini dini zingine zinaitwa dini za haki na ukweli? Unategemea kiongozi wa dini ya kweli na haki asitetee haki na ukweli?

Mwanaharakati ni yule yeyote anaye fanya mambo yake kwa msingi wa hisia, chuki, uchochezi pasi na kufata taratibu za kiserikali na kidini.

Dini kilugha ni njia na Kisheria ni njia inayompeleka mtu katika kufaulu hapa duniani na kesho akhera.

Sababu Kuna dini za kishetani na uongo na upotevu.

Haki na ukweli hutetewa kwa kufata taratibu za muongozo ya kiutume na unabii na si chuki, uchozei na mihemko kama wafanyavyo viongozi wa TEC.
 
Yesu Christo, Mtume Muhammad wangekuwepo leo wangekubaliana na uovu mnaoufanya au wangekemea kwa nguvu zao zote uovu wenu?

Nguzo kuu ya dini zote za kweli ni ukweli na haki. Nguzo kuu za watu wakweli, serikali zinazojitambua ni haki na ukweli.

Serikali ya sasa ni ya kishetani ndio maana inapinga ukweli na haki kwa kutumia kodi zetu na kuwalipa nyie kutetea uongo, uonevu, wizi, dhuluma, wauaji, watekaji, watesaji, mafisadi.

Inasema amani wala haijui amani ya kweli ni nini? Jifunze hapo chini kuhusu tofauti yaamani ya kweli, utulivu, uvumilivu na haki.
 
Baadhi ya viongozi wa dini na serikali wanajitia upofu kwamba hawajui kipi ni muhimu kipi kinakuja kwanza. Nimeelezea hapa kidogo kuhusu tofauti ya amani na haki.

Haki ndio kitu cha kwanza, ndio kila kitu, hasa haki za msingi. Amani ni moja ya kipengele kimoja ndani ya haki.
Binadamu yoyote akizaliwa tu popote duniani ana haki za msingi kama haki ya kuishi, kuabudu, kuongea, kulindwa mali zake, utu wake, akikamatwa kufikishwa mahakamani mara moja.

Binadamu wameweka mfumo unaitwa serikali wa kuchagua watu wachache kupitia uchaguzi huru, ulio wazi kati yao kuzilinda hizi haki zao pamoja na kodi zao, maliasili zao ziwanufaishe raia wote. Haki nyingi zinalindwa na katiba.

Sasa ukiwa na serikali iliyojaa ufisadi, hailindi watu, utu wao, maisha yao, mali zao,maliasili zao,kodi zao hakuna haki hapo.

Serikali inayoiba chaguzi na kuweka ndugu zao (nepotism), na washikaji wahuni, mafisadi, (Kleptocracy) haifanyi chaguzi halali ina maana hakuna haki kwenye hiyo nchi japo unaweza kusema kuna utulivu, uvumilivu amani hasi(negative peace)sababu bado hakuna vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Ukraine na Urusi wakisitisha kupigana kwa muda unaweza kusema kuna utulivu(amani) ila kimsingi hakuna amani wala haki. Sawa na Israel na Palestine wamesitisha kupigana lakini unaweza kusema kuna utulivu (amani) ili hakuna haki hadi pale mambo yote ya msingi yaliyosababisha vita kutatuliwa kama ardhi, fidia, kukiri makosa, kuondoa chanzo cha ugomvi. Kujua ukweli wangapi waliwawa, kwa sababu gani, nani alitoa amri kwa sheria na sababu zipi n.k.

Tanzania kwa sasa hatupigani wenyewe kwa wenyewe, kwa hiyo unaweza kusema kuna uvumilivu. utulivu(amani hasi) ila hakuna haki.

Haki zote za msingi hazipatikani Tanzania kama chaguzi huru, mahakama huru, kulinda utu, maisha ya watu, maliasili za taifa, kutumia kodi vizuri, teuzi zinazofuata vigezo.

Mtu anaweza kutekwa, kuteswa, kupotezwa, kodi zinachezewa na familia chache, maliasili za taifa zinauzwa kama njugu lakini wananchi wametulia hiyo ni amani ya uongo, amani hasi (fake, negative peace)

Ukiwa na serikali inayotenda haki kwa wote automatically unakuwa na amani ya kweli (positive peace).

Serikali ya Samia inasisitiza tuendelee na amani ya kuigiza, waendelee kufanya uhuni wowote wanaotaka bila kuulizwa chochote na yoyote.

Una kitu nice
 
Back
Top Bottom