BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,197
- 8,667
Ulitaka aseme bi chura mitano tena?Huyu Mzee Ni Muongo na Mzushi sana. Kifua na moyo wake umejazwa na uchonganishi,Udini na chuki binafsi tu kwa serikali hii ya Rais Samia.kila siku anajitahidi kupandikiza chuki tu kwa watu ili waichukie serikali ya Rais Samia.
Mnatukwaza sana sisi tusio bias!Huyu Kitima ni kirusi ndani ya Kanisa Katoliki Tanzania. Ameigeuza TEC kuwa taasisi ya harakati za kisiasa badala ya chombo cha imani.
Huyu si mnasema ana PhD na amenyooka, sasa kwanini miaka yote Vatican wasimpe UASKOFU?? Wanapata uaskofu mapadre wana degree moja au 2.
Mwambieni Kitima kazi ya kumtangaza kristo imemshinda!! Amfuate ndugu yake Lissu kwenye Siasa!! Mtu wa hovyo sana!Hilo Bichwa umejaza mikundu ?.
Kwahiyo kama alishauriwa na watu asiende, ulitaka akae kimya ??
Kwenye siasa za haki atapiga vile vile. Sasa sijui utasemajeHuyu jamaa avue tu joho aingie siasa!! Kiongozi wa dini wa hovyo sana!
Huyu ni miongoni mwa mapadre wa hovyo sijapata kuona,mimi naiheshimu hiyo dini yake vinginevyo ningemuumbua kwa kuzaa na mke wa mtu,anyway sitasema ntakaa kimyaKatibu Mkuu wa Barala La Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padre Dkt. Charles Kitima akizungumza jana Disemba 19, 2025 wakati wa akimtambulisha Naibu Katibu Mkuu mpya wa Baraza hilo huku akimshukuru aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Baraza hilo Padre Dkt. Chesco Msaga C.PP.S kwa kuwa msaada kwake hata pale ambapo yeye (Kitima) alishindwa kwenda baadhi ya maeneo kwa sababu ya hofu aliyonayo ya kudhurika.
Bekitatu wa Sultan Mbowe upo?Huyu jamaa avue tu joho aingie siasa!! Kiongozi wa dini wa hovyo sana!
Hoja yako ni mfu.Huyu Kitima ni kirusi ndani ya Kanisa Katoliki Tanzania. Ameigeuza TEC kuwa taasisi ya harakati za kisiasa badala ya chombo cha imani.
Huyu si mnasema ana PhD na amenyooka, sasa kwanini miaka yote Vatican wasimpe UASKOFU?? Wanapata uaskofu mapadre wana degree moja au 2.
Yule shetani wa Kizimkazi ametuharibia sana nchi. Hatupaswi kuishi kwa hofu kwenye nchi yetu wenyewe!Katibu Mkuu wa Barala La Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padre Dkt. Charles Kitima akizungumza jana Disemba 19, 2025 wakati wa akimtambulisha Naibu Katibu Mkuu mpya wa Baraza hilo huku akimshukuru aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Baraza hilo Padre Dkt. Chesco Msaga C.PP.S kwa kuwa msaada kwake hata pale ambapo yeye (Kitima) alishindwa kwenda baadhi ya maeneo kwa sababu ya hofu aliyonayo ya kudhurika.
Aliyesema tutawachinja WAKRISTO naye vipiHuyu jamaa avue tu joho aingie siasa!! Kiongozi wa dini wa hovyo sana!
yes lazima awe makini,Katibu Mkuu wa Barala La Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padre Dkt. Charles Kitima akizungumza jana Disemba 19, 2025 wakati wa akimtambulisha Naibu Katibu Mkuu mpya wa Baraza hilo huku akimshukuru aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Baraza hilo Padre Dkt. Chesco Msaga C.PP.S kwa kuwa msaada kwake hata pale ambapo yeye (Kitima) alishindwa kwenda baadhi ya maeneo kwa sababu ya hofu aliyonayo ya kudhurika.
Huyu Mzee Ni Muongo na Mzushi sana. Kifua na moyo wake umejazwa na uchonganishi,Udini na chuki binafsi tu kwa serikali hii ya Rais Samia.kila siku anajitahidi kupandikiza chuki tu kwa watu ili waichukie serikali ya Rais Samia.
Hapana.. kinachopigwa ni utekaji, mauaji, mazingira ya uchaguzi mkuu..Agenda hizi zilianza kabla ya uchaguzi mkuu.. Pia wananchi wanahitaji kujua maiti za waliotekwa na kuuwawa ziko wapi?? Maiti ya polepole ipo wapi??Huyu Kitima ni mhamasishaji wa maandamno tu na vurugu za uchaguzi
Inalazimu nasi tukuulize uzuri unaouona wewe katika maswala ya Samia Suluhu Hassan na Genge lake; maana inaonyesha kuwa kumbe tatizo linalokusumbua halikuishia kwa Mbowe kutokuwa kiongozi wa CHADEMA.Huyu jamaa avue tu joho aingie siasa!! Kiongozi wa dini wa hovyo sana!
Uchambuzi wa matamko yake unaonyesha kuwa yeye ndiye anayetambulika zaidi kuliko hata Rais wa TEC, Askofu Wolfgang Pisa wa Jimbo la Lindi, au maaskofu wengine kama Askofu Eusebius Nzigilwa wa Mpanda. Vyombo vya habari kama BBC, Vatican News viliripoti kuhusu "padri mpinzani wa serikali" kama Kitima, wakati maaskofu wengine walibaki nyuma ya pazia la kanisa.Mnatukwaza sana sisi tusio bias!
Great thinkers mmeingia kwenye mikondo ya machawa wasioweza kujenga hoja sasa!
Ubaya wa huyu padre ni kusimulia mikasa ya hovyo kabisa iliyofanywa na vyombo vya dola kwa maagizo ya Samia?
Ama labda kuna jambo jingine kafanya huyu mtumishi wa Mungu?
Liwekeni wazi kosa lake.
Wote wa hovyo tu!Aliyesema tutawachinja WAKRISTO naye vipi
Ulevi wa kupindukia umemfanya kitima kuwa mtu wa hovyo sana!! He is doing it too much mpaka anaonesha biasness kwa Samia na serikali!! Avue tu joho sasa apewe mic asimame kwenye majukwaa ya siasa!!Inalazimu nasi tukuulize uzuri unaouona wewe katika maswala ya Samia Suluhu Hassan na Genge lake; maana inaonyesha kuwa kumbe tatizo linalokusumbua halikuishia kwa Mbowe kutokuwa kiongozi wa CHADEMA.
Tueleze wewe mambo mazuri sana yanayokoga roho yako katika utawala wa Samia.
Nyinyi mnadai Kitima amenyooka na ni mpigania haki. Nami nauliza kwa nini pamoja na usomi wake ameishia kuwa padre wa kawaida tu??Hoja yako ni mfu.
Kutetea haki ndani ya jamii ni moja ya majukumu ya TEC! Na siyo Padre Dr. Kitima. Na kuhusu Mapadre wenye PhD, siyo Dr. Kitima tu! Wapo wengi wametapakaa kote nchini, na hata nje ya nchi wakifanya utume na uinjilishaji!
Kwa hizi akili zako, ungejiuliza ni kwa nini ccm mmekubali kumpa madaraka ya juu mtu mwenye elimu ya kuunga unga huku mkiwa na PhD na Maprofesa kibao tu wa jalalani!
Wanataka maiti wakazifufue?Hapana.. kinachopigwa ni utekaji, mauaji, mazingira ya uchaguzi mkuu..Agenda hizi zilianza kabla ya uchaguzi mkuu.. Pia wananchi wanahitaji kujua maiti za waliotekwa na kuuwawa ziko wapi?? Maiti ya polepole ipo wapi??
Kwa hiyo akisimulia madhila anayokutana nayo katika kutimiza wajibu wake,ikiwemo jaribio la kuondoa UHAI wake, wewe linakukera? Au wewe ndo ulitumwa kumuua?Huyu jamaa avue tu joho aingie siasa!! Kiongozi wa dini wa hovyo sana!