Unakifahamu vizuri cheo chake cha Katibu Mtendaji wa Baraza la Maaskofu nchini Tanzania, yaani TEC? Hakika unahitaji kuonewa huruma.Nyinyi mnadai Kitima amenyooka na ni mpigania haki. Nami nauliza kwa nini pamoja na usomi wake ameishia kuwa padre wa kawaida tu??
Huyu ana kasoro zake kubwa
Toa location...Wanataka maiti wakazifufue?
Mnakasirika sana miambiwa mnateka na kuua watu?Huyu jamaa avue tu joho aingie siasa!! Kiongozi wa dini wa hovyo sana!
Huyu jamaa avue tu joho aingie siasa!! Kiongozi wa dini wa hovyo sana!
Wewe kweli punguano. Haya weka hapa kauli yoyote ya Fr. Kitima kuhamasisha maandamano.Huyu Kitima ni mhamasishaji wa maandamno tu na vurugu za uchaguzi
Kama vile inavyofanywa bakwata taasisi ya watoa roho, wanajinadi kuchinja watu na wamekaa kimya bila kukanusha, nionyeshe wapi TEC wametangaza watachinja watu?Huyu Kitima ni kirusi ndani ya Kanisa Katoliki Tanzania. Ameigeuza TEC kuwa taasisi ya harakati za kisiasa badala ya chombo cha imani.
Huyu si mnasema ana PhD na amenyooka, sasa kwanini miaka yote Vatican wasimpe UASKOFU?? Wanapata uaskofu mapadre wana degree moja au 2.
we mbwa koko jitie kidole ulambe afu ujipige kifua useme wew ni chawa mjinga toka dunia iumbweHuyu Mzee Ni Muongo na Mzushi sana. Kifua na moyo wake umejazwa na uchonganishi,Udini na chuki binafsi tu kwa serikali hii ya Rais Samia.kila siku anajitahidi kupandikiza chuki tu kwa watu ili waichukie serikali ya Rais Samia.
Wewe bwege mimi nakifahamu cheo, TEC yenyewe na maaskofu pia. Hata mimi nimepita seminary japo sikufika daraja la upadreUnakifahamu vizuri cheo chake cha Katibu Mtendaji wa Baraza la Maaskofu nchini Tanzania, yaani TEC? Hakika unahitaji kuonewa huruma.
Ni wewe tu ndiye mgeni na mwenendo wa Fr Kitima hapa mjini. Huyu ana kadi ya CHADEMA na amekuwa hata anatumia ofisi za TEC kwa mikutano ya CHADEMAWewe kweli punguano. Haya weka hapa kauli yoyote ya Fr. Kitima kuhamasisha maandamano.
Kipimo cha uweza wa akili ya mtu ni maandishi yake.Huyu jamaa avue tu joho aingie siasa!! Kiongozi wa dini wa hovyo sana!
Je mfano angekuwa anamsifia samia napo ungeongea?Mwambieni Kitima kazi ya kumtangaza kristo imemshinda!! Amfuate ndugu yake Lissu kwenye Siasa!! Mtu wa hovyo sana!
Una sababu ya msingi ya kuniita bwege? Nimekuuliza maswali yangu kistaarabu kabisa. Watch your back young man! Kama huwezi kunijibu kwa kujenga hoja, basi ni bora ukatulia. Hata mimi matusi ninayamudu vizuri tu.Wewe bwege mimi nakifahamu cheo, TEC yenyewe na maaskofu pia. Hata mimi nimepita seminary japo sikufika daraja la upadre
Japo siwezi thibitisha lakini kwa watu wa singida na ngono, huenda ni kweliyes lazima awe makini,
amefanya ngono na wake za watu sana huyo padre fuska
Si waende kwa kondoToa location...
Nilitaka kukuhakikishia kuwa ninajuwa ninachokisimamia. Kitima ana matatizo ya kimaadili na uaminifuUna sababu ya msingi ya kuniita bwege? Nimekuuliza maswali yangu kistaarabu kabisa. Watch your back young man! Kama huwezi kunijibu kwa kujenga hoja, basi ni bora ukatulia. Hata mimi matusi ninayamudu vizuri tu.
Kwa hiyo kila Padre aliyesoma, au mwenye umri mkubwa basi ni lazima awe Askofu! Mnafikiri Mapadre wa Katoliki wapo kwa ajili ya kuwa Maaskofu, badala ya kulitumikia Kanisa! Mnahuzunisha sana.Kwa nini bado ni padre na so askofu kwa hizo sifa tele apewazo na umri Tate Mkuu
The problem is that, what you call government do exist without the lawful mandate.Acheni maneno ya Uzushi na uongo uongo kutaka kuichafua serikali yetu.
Issue ni kwamba nyinyi mnamsifia kuwa ni PhD na ni msema ukweli na mtetea haki. Ndiyo maana na sisi twasema kama huyu ana sifa zote hizo kwanini hapewi UASKOFU?Kwa hiyo kila Padre aliyesoma, au mwenye umri mkubwa basi ni lazima awe Askofu! Mnafikiri Mapadre wa Katoliki wapo kwa ajili ya kuwa Maaskofu, badala ya kulitumikia Kanisa! Mnahuzunisha sana.