mmbaya mno huyo muungwana kwenye suala la ngono,Japo siwezi thibitisha lakini kwa watu wa singida na ngono, huenda ni kweli
Hivi kweli mtu mwenye akili nzuri anaweza kumtetea Samia kwa lolote?Ulevi wa kupindukia umemfanya kitima kuwa mtu wa hovyo sana!! He is doing it too much mpaka anaonesha biasness kwa Samia na serikali!! Avue tu joho sasa apewe mic asimame kwenye majukwaa ya siasa!!
Sasa nyinyi ni sababu zipi mnazozikomalia kumhusu yeye; kama siyo taarifa zinazowaumiza mioyo yenu, taarifa ambazo ni za kweli.Issue ni kwamba nyinyi mnamsifia kuwa ni PhD na ni msema ukweli na mtetea haki. Ndiyo maana na sisi twasema kama huyu ana sifa zote hizo kwanini hapewi UASKOFU?
Kubali tu mkuu Tate Mkuu kuwa Fr Charles Kitima ana mapungufu makubwa especially lwenye uaminifu (usikute ana mahawara na watoto mtaani)
Sio lazima aseme hivyo, bali asimame katika misingi ya dini yake. Kwa minajili hii inaonekana Ukristo ni dini dhaifu sana na isiyo na misingi makini.Ulitaka aseme bi chura mitano tena?
hivi wee chawa pimbi akili zako huwa unazihifadhi wapi?
Hasara kubwa hii kwa wana mbozi!
Shida yenu vijana mna matusi sana, mpaka mnakuwa na uwezo mdogo wa kujenga hoja, kukosoa na kufikiri.Hilo Bichwa umejaza mikundu ?.
Kwahiyo kama alishauriwa na watu asiende, ulitaka akae kimya ??
Wewe hapo ndo umejenga hoja?Sio lazima aseme hivyo, bali asimame katika misingi ya dini yake. Kwa minajili hii inaonekana Ukristo ni dini dhaifu sana na isiyo na misingi makini.
Kitima ni mwanaharakati, mchochezi wa vurugu na gaidi.
Wakristo wengi kwa viongozi wao wa dini ni kama maiti mbele ya muoshaji.
Kwa hayo aliyo yaongea kwa mtu makini Kuna maswali angeiiuliza :
1. Kulikuwa na haja gani ya yeye kusema hayo ?
2. Je Kuna waumini wowote huwa wanamuuuliza maswali magumu huyo Kitima au alisema yeye ni sawa tu ? Akiombwa ushahidi atatoa ?
3. Yesu anasemaje kuhusu kiongozi kuwa mchochezi na asiyejua ni aongee na wapi aseme ?
Kijana Jenga hoja au kosoa nilichokiandika au jibu maswali niliyo uliza.Wewe hapo ndo umejenga hoja?
kwahiyo kusema alishauriwa ni kesi ya ugaidi?
wee nae ni pimbi kiazi mbatata bogus pumpkin head
usije ni quote tena!
So mauti ya polepole ipo kwa kondo?? Kwa kua walimteka wenyewe wairudishe kwa nduguze wakazike..Si waende kwa kondo
Pumbavu huna akili. Kwamba hii ndio sababu asiseme ukweli? Huyu mama yako nchi imemshinda. Mlidhania kumuua shujaa ndio mmefanikiwa.Issue ni kwamba nyinyi mnamsifia kuwa ni PhD na ni msema ukweli na mtetea haki. Ndiyo maana na sisi twasema kama huyu ana sifa zote hizo kwanini hapewi UASKOFU?
Kubali tu mkuu Tate Mkuu kuwa Fr Charles Kitima ana mapungufu makubwa especially lwenye uaminifu (usikute ana mahawara na watoto mtaani)
Fr Charles Kitima ana mapungufu, period. Mimi ni Mkatoliki na ninafahamu mchakato na sifa zinazotakiwa.Sasa nyinyi ni sababu zipi mnazozikomalia kumhusu yeye; kama siyo taarifa zinazowaumiza mioyo yenu, taarifa ambazo ni za kweli.
Wewe unajuwa vigezo vinavyohusu mtu kuwa askofu?
Kwa maana hiyo hiyo unayolenga wewe; hao maaskofu waliomteua yeye kushika nafasi hiyo kwako na wao hawana sifa ya kuwa maaskofu kwa vigezo unavyotumia wewe?
Hawa watu hawazungumzii maswala ya kidini; lakini kila mara nyinyi mnayageuza yawe ya kidini kwa nini?
Nani shujaa? Yule Magufuli?? Labda shujaa wa misukule kama wewePumbavu huna akili. Kwamba hii ndio sababu asiseme ukweli? Huyu mama yako nchi imemshinda. Mlidhania kumuua shujaa ndio mmefanikiwa.
Huwa unapenda sana kujitangaza, kwa sababu zipi hasa; hivi huoni kuwa unakuwa na upungufu mkubwa sana?Fr Charles Kitima ana mapungufu, period. Mimi ni Mkatoliki na ninafahamu mchakato na sifa zinazotakiwa.
Huwa unapenda sana kujitangaza, kwa sababu zipi hasa; hivi huoni kuwa unakuwa na upungufu mkubwa sana?
Sasa unajificha nyuma ya dini, nani kakuuliza wewe. Hakuna "mkatoliki" anayediriki kujitokeza na kushangilia vifo vya waTanzania kama ulivyofanya wewe.
Hao wakatoliki inabidi wawe na tahadhari sana na watu wa aina yako tokea sasa kwenda mbele; maana ni wazi mmepania kwelikweli kuwapa joto ya jiwe iwapo kama Samia ataendelea kuwepo kwa muda kwenye utawala.
Wewe ni mmoja wa watu hatari sana dhidi ya hao maaskofu na wanaowaongoza.
Ni bora mara mia "upungufu" alionao Fr Kitima kuliko huu wako, na hasa hasa huyo mfugaji wako Samia na Genge lake lote.
Kama huwezi kuona tofauti za mapungufu hayo, sababu pekee ni kuwa wewe ni mfugo tu, nguruwe anayefugwa na Samia.
Kitima ni kiongozi wa dini au mwana harakati ?
Dini na harakati haziendi pamoja, sababu kimoja kinaenda kinyume na kingine.Dini ni nini, ipo kwa sababu zipi? Mwanaharakati ni nani?
Hivyo viwili haviwezi kwenda pamoja?
Wewe pia upo katika harakati hasi za kuangamiza Watanganyika kutetea ufisadi, watesaji, watekaji, wauaji kisa kulinda cheo, maslahi binafsi, umelamba asali.
Dini na harakati haziendi pamoja, sababu kimoja kinaenda kinyume na kingine.
HahahahaKwahiyo ulitaka asiseme we vipi.
Dah!