PostGE2025 Padre Kitima: Sisi tunamiliki Hospitali, waliletwa majeruhi, wakasema wasitibiwe tunataka kuwaona Mochwari

PostGE2025 Padre Kitima: Sisi tunamiliki Hospitali, waliletwa majeruhi, wakasema wasitibiwe tunataka kuwaona Mochwari

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
I don't wish to interact with your level of comprehension and blatant disregard for human life
Umevaa suti na skuna au uko na boksa tu unachapa ujumbe kwa lugha ngeni ukiamini utaonekana wa maana
 
Samia usingizi anaupata kwa tabu sana ni vile tu hawezi kuzungumza ila nafsi yake itateseka hadi pale atakapokiri na kuomba msamaha hadhari na kufanya toba.

Samia utateseka hadi kifo chako
 
Inakuwa vigumu hata uanzie wapi kuchangia mada ya namna hii.

Hii kweli ni Tanzania iliyokuwa imejijengea heshima kubwa miongoni mwa mataifa juu ya uamini wake kuhusu ubinaadam wa kila mtu popote duniani?

Sasa hawa mashetani, bado mnawaba heshima ya kuwaita viongozi? Hawa ni viongozi wa kitu gani hawa?
Tamaa ya watu fulani wachache ambao sijui baada ya hali kuwa mbaya wao wanaweza kukimbia sasa je vipi kuhusu ndugu zao?
 
Aweke ushahidi tutaamini vipi na wao walikuwa ni wapinzani tangu DP WORLD anaingia mkataba?

Weka ushahidi mezani waliohusika wawajibishwe.

Kauli la kuchochea ghasia hazifai maana nchi haitakalika hii.

Kusanyeni ushahidi muwape hiyo tume iliyoundwa na si busara kuongea kwenye vyombo vya habari muda huu....lengo lenu ni Nini?
 
Back
Top Bottom