Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 5,146
- 15,927
Yule mama ni shetani incarnated. I've never seen such evil in a woman. Fuu*k!!
Huyo Mzee Sita leo mnamtumia kama sehemu muhimu aliyoongea wakati wa Uhai wake mawazo yake wahuni walikua wanayapotezea mno lete video za Mwalimu Nyerere mimi ni Muslim ila Padre Kitine yupo sawa sana kuliko wale masheihk ubwabwa..Au siyo!
Atahukumiwa kunyongwa kwa kuning'inizwa miguu juu kichwa chini; na wewe nguruwe wake utapelekwa kushuhudia kifo hicho toka mwanzo hadi mwisho. Hapo utapata uwezo wa kuja hapa kutueleza uzuri wa kifo alichopitia Samia Suluhu Hassan.Kufa vibaya kukoje,na kufa vizuri kukoje
Asante boldKatibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, amesema kuwa wakati wa maandamano kuliletwa majeruhi waliokuwa wameumia, lakini baadhi ya askari walizuia wapewe matibabu wakidai “tunataka kuwaona mochwari.”
Ameeleza kuwa, kwa kuwa Kanisa Katoliki linamiliki hospitali mbalimbali, wamekuwa mashahidi wa kile kilichotokea, ikiwemo kupokea miili ya watu waliopoteza maisha kutokana na kupigwa risasi za moto.
Za nyerere kuhusu udini, akizodoa watu(g-55) dhidi ya mwinyi au kuhusu muungano?Huyo Mzee Sita leo mnamtumia kama sehemu muhimu aliyoongea wakati wa Uhai wake mawazo yake wahuni walikua wanayapotezea mno lete video za Mwalimu Nyerere mimi ni Muslim ila Padre Kitine yupo sawa sana kuliko wale masheihk ubwabwa..
Hawa watu sio wazuri,kanisa linachochea ghasia Kwa Nini hawjaongea siku zote na kama wanaushahidi waipe tume inayochunguza.
Haiongozwi, inatawaliwa.Nchi inaongozwa na mashetani
Hiyo ni siasa aulete huo ushahidi...huyu anamiliki card ya chadema tunamjua vizurii sanaKatibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, amesema kuwa wakati wa maandamano kuliletwa majeruhi waliokuwa wameumia, lakini baadhi ya askari walizuia wapewe matibabu wakidai “tunataka kuwaona mochwari.”
Ameeleza kuwa, kwa kuwa Kanisa Katoliki linamiliki hospitali mbalimbali, wamekuwa mashahidi wa kile kilichotokea, ikiwemo kupokea miili ya watu waliopoteza maisha kutokana na kupigwa risasi za moto.
Mbona Masheikh wa BAKWATA wansongea kila siku?Wameamua kuongea leo kwa kuwa Samia ataongea kesho, kama walivyoongea baada ya Samia kuhutubia bunge,almuradi pawe na tafrani za kimaoni
Hiyo tume haiaminiki. Baadhi ya wajumbe wake ni watuhumiwa kama aliyewateuakama wanaushahidi waipe tume inayochunguza.
Mama huyu ambae hana kumbukumbu?Lengo lao kuvuruga ujumbe wa mama kesho, huenda wamenusa mama atasema ni kiasi gani wanahusika na vurugua
Hawa ni watawala, kiongozi huchaguliwa na wananchi hawa ni majambazi.Inakuwa vigumu hata uanzie wapi kuchangia mada ya namna hii.
Hii kweli ni Tanzania iliyokuwa imejijengea heshima kubwa miongoni mwa mataifa juu ya uamini wake kuhusu ubinaadam wa kila mtu popote duniani?
Sasa hawa mashetani, bado mnawaba heshima ya kuwaita viongozi? Hawa ni viongozi wa kitu gani hawa?
Nahisi kitu kama hichoJicho la kijasusi limeona mbali kati ya tatehe 7-8 Kuna video nyingi zitaachiwa mbaya zaidii ya zilizoonekana
Mwigulu wakati anaongea watu walilipwa bilioni tano mlimdai ushahidi?Aweke ushahidi tutaamini vipi na wao walikuwa ni wapinzani tangu DP WORLD anaingia mkataba?
Weka ushahidi mezani waliohusika wawajibishwe.
Kauli la kuchochea ghasia hazifai maana nchi haitakalika hii.
Kusanyeni ushahidi muwape hiyo tume iliyoundwa na si busara kuongea kwenye vyombo vya habari muda huu....lengo lenu ni Nini?
uvccmu vilaza , kasema waliwatibuSo wakawatibu au walitii?
Una chembechembe za kuingiliwa kinyume na maumbileKuchomoka wapi?