PostGE2025 Padre Kitima: Sisi tunamiliki Hospitali, waliletwa majeruhi, wakasema wasitibiwe tunataka kuwaona Mochwari

PostGE2025 Padre Kitima: Sisi tunamiliki Hospitali, waliletwa majeruhi, wakasema wasitibiwe tunataka kuwaona Mochwari

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, amesema kuwa wakati wa maandamano kuliletwa majeruhi waliokuwa wameumia, lakini baadhi ya askari walizuia wapewe matibabu wakidai “tunataka kuwaona mochwari.”

Ameeleza kuwa, kwa kuwa Kanisa Katoliki linamiliki hospitali mbalimbali, wamekuwa mashahidi wa kile kilichotokea, ikiwemo kupokea miili ya watu waliopoteza maisha kutokana na kupigwa risasi za moto.
The lady must go!
 
Tanzania hakuna Udini ila wahuni wanatengeneza mazingira kwa sababu wao wapo kwenye udini na wanatutumia waislamu kwa sababu wengi wao Elimu Dunia ni shida ila kwa sisi ambao Elimu zote zipo hatuwezi kuyumbishwa na hao jamaa..
Udini upo,uliasisiwa na nyerere, katika kusimika mfumo katoliki ndani ya serikali ilitakiwa kudhibiti elimu maana ndiyo kigezo cha kushika nyadhifa serikalini,ndipo wizara ya elimu ilishikwa na wakristo tu hadi padre chiwanga akawa waziri,mpaka 1988 malima alipokua waziri wa elimu, kipindi chote hicho waliokua wakifaulu kwa wingi ni watu wa dini hiyo
 
Wameamua kuongea leo kwa kuwa Samia ataongea kesho, kama walivyoongea baada ya Samia kuhutubia bunge,almuradi pawe na tafrani za kimaoni
Samia hana jipya.

Na hakuna jipya ataongea kesho.

Akili yake ni ndogo sana na kazungukwa na Haji Omar Kheir ambaye hajui chochote zaidi ya kuua.
 
Hii kauli ilishitua dunia toka kwenye tarifa ya cnn ya mr.madowo yaani unaambiwq na kule mwanza manesi walikatazwa kutubu majeruhi,yaaa huu ni zaidi ya ushetani kukataza majeruhi wasipate matibabu,ndio maana dunia imechukia sana huu uongozi
 
WANAMILIKI SERIKALI GANI WEZI TUH HAO,FEDHA ZA KUENDESHEA HOSPITAL ZENYEWE ZINATOKA SERIKALINI WANA NINI CHA MAANA HAWA WAVAA MAGAUNI?
 
Itakuwa Bugando hiyo!! Imagine waliopitia utaratibu wa P3,si walimaliziwa juu kwa juu!

Yaani kuna maagizo kabisa yalitolewa kutoka mahali fulani hao watu wafe by any means.

Hiyo tume haiwezi kumulika huu upande wataenda kule walikoelekezwa kuwatafutia ugaidi akina Fulani.
 
Back
Top Bottom