🚮Kuna mtu alisema pesa za kujenga barabara zilifanyiwa lobbying zikaende kujenga bugando THE BIG SHOW
Wacheni uzushi wa kijinga.
Hospitali ya Bugando ilianza kujengwa 1968. Kulikuwa na pesa gani za barabara ipi miaka hiyo??
🚮Kuna mtu alisema pesa za kujenga barabara zilifanyiwa lobbying zikaende kujenga bugando THE BIG SHOW
watu kama nyiny ndo mnasabab watu waandamane , kipi unatetea hapa?Wameamua kuongea leo kwa kuwa Samia ataongea kesho, kama walivyoongea baada ya Samia kuhutubia bunge,almuradi pawe na tafrani za kimaoni
suck my dickMan of God!!
kweny watu wajinga dunian , ww unaongoza , sijui kipi unashabikiaUmevaa suti na skuna au uko na boksa tu unachapa ujumbe kwa lugha ngeni ukiamini utaonekana wa maana
Umeona sehemu ambazo tume inachunguza, hizo mada zingefit wapi?Hawa watu sio wazuri,kanisa linachochea ghasia Kwa Nini hawjaongea siku zote na kama wanaushahidi waipe tume inayochunguza.
Pakinuka,wote tutapanga foleni mipakani kuingia nchi za watu,ila kitima TEC na lisu wataruka kwa ndege ughaibunikweny watu wajinga dunian , ww unaongoza , sijui kipi unashabikia
Haya mamb mnakoyapeleka mtakuja kuomba hifadh kweny nch za watu
Ile siyo siyo tume ni wauaji tu walewale.Sasa haya ndo ile tume inatakiwa ikachunguze
Ka senge vile, au ukute senge kweli wewe?Aweke ushahidi tutaamini vipi na wao walikuwa ni wapinzani tangu DP WORLD anaingia mkataba?
Weka ushahidi mezani waliohusika wawajibishwe.
Kauli la kuchochea ghasia hazifai maana nchi haitakalika hii.
Kusanyeni ushahidi muwape hiyo tume iliyoundwa na si busara kuongea kwenye vyombo vya habari muda huu....lengo lenu ni Nini?
Kwani hiyo hospital wanatibiwa wakatoliki pekee?Kuna mtu alisema pesa za kujenga barabara zilifanyiwa lobbying zikaende kujenga bugando THE BIG SHOW
So unakiri serikali kutumia Kodi kulipa kanisa mtaji?Kwani hiyo hospital wanatibiwa wakatoliki pekee?
Unafikiri kanisa na serikali Nani anahitaji sana msaada wa mwenzie kwenye huduma ya afya na elimu?
Kwa miaka mingi serikali ilishindwa kupeleka huduma hizo maeneo ambayo kanisa ilizifikisha.
Alafu tusihamishe magoli (mada).
Tujadili utekaji, kupiga risasi na kuzuia wasitibiwe.
BAKWATA kukataa hakuna mauwaji na ukataili uliofanyika 29/10, kukataza wengine wasikemee matendo hayo ya uovu.
Nipo pamoja na SHURA ya maimaam na TEC.
kwan mpk ss hapajanuka ?Pakinuka,wote tutapanga foleni mipakani kuingia nchi za watu,ila kitima TEC na lisu wataruka kwa ndege ughaibuni
Hakuna kitu, kelele tu,subiri panuke hakuna msosi unaoingia dar wala gari kutoka dar,mtaandamana kwa miguu kwenda Lindi na tanga mtokee msumbiji na kenya,mkishafika kambi za wakimbizi ndo mtatia akilikwan mpk ss hapajanuka ?
Aweke ushahidi tutaamini vipi na wao walikuwa ni wapinzani tangu DP WORLD anaingia mkataba?
Weka ushahidi mezani waliohusika wawajibishwe.
Kauli la kuchochea ghasia hazifai maana nchi haitakalika hii.
Kusanyeni ushahidi muwape hiyo tume iliyoundwa na si busara kuongea kwenye vyombo vya habari muda huu....lengo lenu ni Nini?
Umeshaona wakatoliki wanatii amri haram tena uhai ukiwa unahusika? Kule ngorongoro kuna maeneo serikali ilisitisha huduma zote za kijamii ili wamasai waondoke lakini huduma zote zinazotolewa na taasisi za wakatoliki ziliendelea kutolewaSo wakawatibu au walitii?
Kama mauaji ya mwembechaiUmeshaona wakatoliki wanatii amri haram tena uhai ukiwa unahusika? Kule ngorongoro kuna maeneo serikali ilisitisha huduma zote za kijamii ili wamasai waondoke lakini huduma zote zinazotolewa na taasisi za wakatoliki ziliendelea kutolewa
Sikiliza clip mpaka mwisho utapata jibu, 'Ndugu'.So wakawatibu au walitii?
Tanzania hakuna Udini ila wahuni wanatengeneza mazingira kwa sababu wao wapo kwenye udini na wanatutumia waislamu kwa sababu wengi wao Elimu Dunia ni shida ila kwa sisi ambao Elimu zote zipo hatuwezi kuyumbishwa na hao jamaa..Za nyerere kuhusu udini, akizodoa watu(g-55) dhidi ya mwinyi au kuhusu muungano?
Hakika🙆‍♂️Nchi inaongozwa na mashetani