PostGE2025 Padre Kitima: Sisi tunamiliki Hospitali, waliletwa majeruhi, wakasema wasitibiwe tunataka kuwaona Mochwari

PostGE2025 Padre Kitima: Sisi tunamiliki Hospitali, waliletwa majeruhi, wakasema wasitibiwe tunataka kuwaona Mochwari

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Udini upo,uliasisiwa na nyerere, katika kusimika mfumo katoliki ndani ya serikali ilitakiwa kudhibiti elimu maana ndiyo kigezo cha kushika nyadhifa serikalini,ndipo wizara ya elimu ilishikwa na wakristo tu hadi padre chiwanga akawa waziri,mpaka 1988 malima alipokua waziri wa elimu, kipindi chote hicho waliokua wakifaulu kwa wingi ni watu wa dini hiyo

kwa hiyo suluhisho ndio kumkabidhi school failure ambaye hajawahi kanyaga college kuongoza wizara muhimu ya elimu badala ya highly educated “wakristo” ? …
 
Aweke ushahidi tutaamini vipi na wao walikuwa ni wapinzani tangu DP WORLD anaingia mkataba?

Weka ushahidi mezani waliohusika wawajibishwe.

Kauli la kuchochea ghasia hazifai maana nchi haitakalika hii.

Kusanyeni ushahidi muwape hiyo tume iliyoundwa na si busara kuongea kwenye vyombo vya habari muda huu....lengo lenu ni Nini?
Seems like hulifaham catholic, sio wapinzani kuanzia dp, kuanzia kipindi cha jk, jpm na kuendelea

Unless umepata smartphone juzi

Suala la bandari si Tec tu taasis kibao zilipinga, ila unawaona tec tu?

Tume hii hii ambayo raia hawana imani nayo?
 
Itakuwa Bugando hiyo!! Imagine waliopitia utaratibu wa P3,si walimaliziwa juu kwa juu!

Yaani kuna maagizo kabisa yalitolewa kutoka mahali fulani hao watu wafe by any means.

Hiyo tume haiwezi kumulika huu upande wataenda kule walikoelekezwa kuwatafutia ugaidi akina Fulani.
Wataishia kusema kuna NGOs zilifadhili maandamano. Lissu na Chadema walihusika. Hivyo Lissu anyongwe, au afungwe maisha. Mange, Maria Sarungi, Sativa, Nuruvazi sijui na Rachel Dangwa ndio walihimiza na kulipa watu waandamane, hivyo warudishwe. What a joke 🤣🤣🤣.

Eti hapa huyu mama ndio kaona katoa ujanjaaa!! Kuwa Watanzania wote milioni 70 hawatajua kuwa huu ni upumbavu na ni uongo wa kitoto, ila wanahisi wataamini. Basi kama Watanzania ni wajinga hivi mnavyodhani, international community itawaonaje? Hivi mnafikiri hawaujui ukweli wanasubiria hii tume inayotumwa na hili liMama. Tunaongozwa na watu wa aina ya kipekee sana chini yake huyu. Mpaka inatia hasira sana.
 
Hiyo Bugando inatibu Wakatoliki pekee au mpaka Waislam?

Waislam tuamke, kuna vitu vinaudhi na vinarudisha nyuma...tulishatoka huko
Kwamba serikali inatoa mtaji kwa mradi wa kanisa kisa mradi utahudumia wote,yaani serikali iipe bakwata mtaji wa kujenga irrigation scheme kisa italisha watu wa imani zote huku bakwata ikitia faida kibindoni!
 
Aweke ushahidi tutaamini vipi na wao walikuwa ni wapinzani tangu DP WORLD anaingia mkataba?

Weka ushahidi mezani waliohusika wawajibishwe.

Kauli la kuchochea ghasia hazifai maana nchi haitakalika hii.

Kusanyeni ushahidi muwape hiyo tume iliyoundwa na si busara kuongea kwenye vyombo vya habari muda huu....lengo lenu ni Nini?
Hiyo tume iliyoundwa inaenda kuchunguza nini?

1) Kuwajua walioua raia kwa risasi au Kujua idadi ya raia waliouawa?
 
Kwamba serikali inatoa mtaji kwa mradi wa kanisa kisa mradi utahudumia wote,yaani serikali iipe bakwata mtaji wa kujenga irrigation scheme kisa italisha watu wa imani zote huku bakwata ikitia faida kibindoni!
Ok, turudi kwenye basic za hoja yako ingawa ipo nje ya mada

Unaweza kuweka ushahidi hapa kuwa kuna hiyo lobbying ya pesa ya ukandarasi wa barabara ilipelekwa kujenga Bugando hospital?
 
Ok, turudi kwenye basic za hoja yako ingawa ipo nje ya mada

Unaweza kuweka ushahidi hapa kuwa kuna hiyo lobbying ya pesa ya ukandarasi wa barabara ilipelekwa kujenga Bugando hospital?
Ushahidi ni kitu gani?..umekubali MoU ipo na inafadhili miradi ya kibiashara ya kanisa?
 
Ushahidi ni kitu gani?..umekubali MoU ipo na inafadhili miradi ya kibiashara ya kanisa?
Ninakubalije bila Ushahidi?

Halafu usihamishe mjadala, hapa nimetaka ushahidi kuwa pesa za ujenzi wa barabara zimepelekwa kujenga hospitali ya Bugando
 
Back
Top Bottom