PostGE2025 Padre Kitima: Sisi tunamiliki Hospitali, waliletwa majeruhi, wakasema wasitibiwe tunataka kuwaona Mochwari

PostGE2025 Padre Kitima: Sisi tunamiliki Hospitali, waliletwa majeruhi, wakasema wasitibiwe tunataka kuwaona Mochwari

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ninakubalije bila Ushahidi?

Halafu usihamishe mjadala, hapa nimetaka ushahidi kuwa pesa za ujenzi wa barabara zimepelekwa kujenga hospitali ya Bugando
Umetaka!?.. umetaka kama nani,falla nini!?
 
Tusubiri tamko la masheikh wanaomiliki madrasa na ndevu tu.
Bora wao wamiliki madrasa na ndevu kuliko kumiliki mahekalu na kuishi na nyege maisha yako yote

Mwishowe wanaishia kupiga punyeto tuh teh teh teh

Then wanaitwa wasomi...teh teh
 
However brings a plan, Shoot to kill alikosea sana naamini Pressure Kwa Viongozi wetu walio approve ilikuwa juu sana lakini the guy who proposed that way ametengenisha sana taifa

The best way apa Baadhi ya Viongozi wa Kipolisi watolewe kafara Kwa kukamatwa na Sheria iwabane for a while ili kaka taifa tupatie utengano, The CinC bado ni Mzuri sana na atatuvusha ila Hawa walio advice Kupitia hii Njia ngumu wawe taken aisee na Justice iwe served kwa masilahi ya Umma
 
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, amesema kuwa wakati wa maandamano kuliletwa majeruhi waliokuwa wameumia, lakini baadhi ya askari walizuia wapewe matibabu wakidai “tunataka kuwaona mochwari.”

Hivi kwanini yale mnayaita maandamano ? Huu uongo mbona mnaueneza sana ?

Hapo ndio shida inapoanzia.
 
Bakwata watapinga

Bakwata na watu waadilifu wote lazima wapinge, kuhusiana na madai ya kuwa yale yalikuwa maandamano.

Ule ulikuwa ni uasi, na ugaidi. Kwanini huyo Kitima na wenzake hawakakuemea Yale maelekezo yaliyotolewa juu ya kuchoma sheli, vituo vya mwendokasi na uharibifu mwingine ? Ndio maana watu wanafika mbali na kusema huenda wao wanahusika na ugaidi ule.

Halafu walivyo wanafiki wanajadili matokeo na kuacha chanzo. Huu ni ushetani wenyewe.
 
Tusubiri tamko la masheikh wanaomiliki madrasa na ndevu tu.

Masheikh lazima wajibu, sababu hawataki ujinga na uchochezi unao fanywa na Hawa viongozi wa Kikatoliki.

Tena safari hii, wamepotea njia.
 
Aweke ushahidi tutaamini vipi na wao walikuwa ni wapinzani tangu DP WORLD anaingia mkataba?

Weka ushahidi mezani waliohusika wawajibishwe.

Kauli la kuchochea ghasia hazifai maana nchi haitakalika hii.

Kusanyeni ushahidi muwape hiyo tume iliyoundwa na si busara kuongea kwenye vyombo vya habari muda huu....lengo lenu ni Nini?
Hawa lengo lao ni vurugu, na uzuri tumeshawajua kitambo.

Kazi wanayo safari hii.
 
i just love the boldness of this man of GOD.

However brings a plan, Shoot to kill alikosea sana naamini Pressure Kwa Viongozi wetu walio approve ilikuwa juu sana lakini the guy who proposed that way ametengenisha sana taifa

The best way apa Baadhi ya Viongozi wa Kipolisi watolewe kafara Kwa kukamatwa na Sheria iwabane for a while ili kaka taifa tupatie utengano, The CinC bado ni Mzuri sana na atatuvusha ila Hawa walio advice Kupitia hii Njia ngumu wawe taken aisee na Justice iwe served kwa masilahi ya Umma
Viongozi wa kipolisi wakitolewa kafara kama unavyo shauri, je wanapokea amri kutoka kwa nani?? It's obvious CinC. Kama order ya 'shoot to kill' haikutolewa na CinC au hakuwa na ufahamu kama kuna order ya aina hiyo, basi ni moja ya sababu kubwa kuachia kiti cha urais.

Kwahiyo huwezi mtenganisha CinC na ukatili wa hali ya juu kabisa kufanyika katika ardhi ya Tanganyika. Unampiga raia risasi ya moto?? Halafu unakataza asitibiwe?? Huu ni zaidi ya ukatili kwa binadamu.
 
Mwamba amejitoa.. hoogopi kifo tena.
Wacha tushuhudie.
 
Bakwata na watu waadilifu wote lazima wapinge, kuhusiana na madai ya kuwa yale yalikuwa maandamano.

Ule ulikuwa ni uasi, na ugaidi. Kwanini huyo Kitima na wenzake hawakakuemea Yale maelekezo yaliyotolewa juu ya kuchoma sheli, vituo vya mwendokasi na uharibifu mwingine ? Ndio maana watu wanafika mbali na kusema huenda wao wanahusika na ugaidi ule.

Halafu walivyo wanafiki wanajadili matokeo na kuacha chanzo. Huu ni ushetani wenyewe.
Hivi unaelewa maana ya uasi?? Kupoka madaraka ya wananchi kuchagua viongozi wanaowataka wao, huo ni uasi wa kiwango cha juu.

Hivi unaelewa maana ya ugaidi?? Kuteka, kupoteza na kuua raia wanaokukosoa au wasiokubaliana na wewe, huo ni ugaidi kabisa.

Una uhakika hawakujadili chanzo?? Chanzo cha haya yote ni kuteka, kuua, kupoteza na kubambikia raia kesi za kubumba. Kudai tume huru ya uchaguzi, katiba inayotokana na wananchi na utawala wa sheria.

Acheni kuona watu ni wajinga hawajui nini wanataka.
 
Viongozi wa kipolisi wakitolewa kafara kama unavyo shauri, je wanapokea amri kutoka kwa nani?? It's obvious CinC. Kama order ya 'shoot to kill' haikutolewa na CinC au hakuwa na ufahamu kama kuna order ya aina basi ni moja ya sababu kubwa kuachia kiti cha urais.

Kwahiyo huwezi mtenganisha CinC na ukatili wa hali ya juu kabisa kufanyika katika ardhi ya Tanganyika. Unampiga raia risasi ya moto?? Halafu unakataza asitibiwe?? Huu ni zaidi ya ukatili kwa binadamu.
Mkuu with all respect, Naamini hii order imekuwa approved tu may be Bila general Concern what might happen after, Kama umekuwa kwenye leadership najua utanielewa let the CinC punish those who advised her, Kwasababu any attempt to remove her it will bring more Chaos the best options nadhani Kwa sasa ni wale waliokuwa kwenye nafasi ya kumshauri na wanajulikana publicly wawe removed kwenye nafasi zao
 
Hivi serikali inapovuliwa nguo namna hii!?? What Next!!!?
 
Masheikh lazima wajibu, sababu hawataki ujinga na uchochezi unao fanywa na Hawa viongozi wa Kikatoliki.

Tena safari hii, wamepotea njia.
Maswali toka kwa watanzania ni haya yafuatayo;
1.Ni nani aliagiza watu wapigwe risasi na kuuawa vile?
2.Wapigaji risasi wale ni wakina nani na wapo wapi?
3.Ni kwanini uchaguzi ufanyike kwa namna OVU kwa kiwango kile?
4.Watu waliokufa wapo wapi?
5.Wataongozaje taifa la watu wasiowataka?
6.Ni nani anayeteka na kuua watanzania?
Waliotekwa wapo wapi?

Kwa kuwa mashiekh hamuwezi kuhoji hayo maswali, basi tusaidieni kuyajibu.
 
Back
Top Bottom