PostGE2025 Padre Kitima: Sisi tunamiliki Hospitali, waliletwa majeruhi, wakasema wasitibiwe tunataka kuwaona Mochwari

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Aweke ushahidi tutaamini vipi na wao walikuwa ni wapinzani tangu DP WORLD anaingia mkataba?

Weka ushahidi mezani waliohusika wawajibishwe.

Kauli la kuchochea ghasia hazifai maana nchi haitakalika hii.

Kusanyeni ushahidi muwape hiyo tume iliyoundwa na si busara kuongea kwenye vyombo vya habari muda huu....lengo lenu ni Nini?
Ntakuwa wa mwisho kuiamini ile tume
 
Aweke ushahidi tutaamini vipi na wao walikuwa ni wapinzani tangu DP WORLD anaingia mkataba?

Weka ushahidi mezani waliohusika wawajibishwe.

Kauli la kuchochea ghasia hazifai maana nchi haitakalika hii.

Kusanyeni ushahidi muwape hiyo tume iliyoundwa na si busara kuongea kwenye vyombo vya habari muda huu....lengo lenu ni Nini?
Lengo lao kuvuruga ujumbe wa mama kesho, huenda wamenusa mama atasema ni kiasi gani wanahusika na vurugu
 
hii vita bado mbichi sana haiwezi malizwa na vibabu vya dar
Screenshot_20251201_173851.jpg
 
Aweke ushahidi tutaamini vipi na wao walikuwa ni wapinzani tangu DP WORLD anaingia mkataba?

Weka ushahidi mezani waliohusika wawajibishwe.

Kauli la kuchochea ghasia hazifai maana nchi haitakalika hii.

Kusanyeni ushahidi muwape hiyo tume iliyoundwa na si busara kuongea kwenye vyombo vya habari muda huu....lengo lenu ni Nini?
Unamaanisha nini kwamba walikuwa wapinzani wa DP WORLD ?...
Unafikiri humu ndani kila mtu LOFA?....
 
Daah hawa jamaa sijui waliwaza nini kufanya hivyo maana hiyo mambo haiishi leo wala kesho wamefanya kitu cha kijinga katika maisha yao na ni watu wasiostahili kuongoza jamii ya watu waliostarabika washatuharibia Nchi hao wasizwa daah kama Goma tu sasa..
 
Wameamua kuongea leo kwa kuwa Samia ataongea kesho, kama walivyoongea baada ya Samia kuhutubia bunge,almuradi pawe na tafrani za kimaoni
usiwapangie watu cha kufanya wewe ulipoondolewa marinda yako ukiwa madrasa nani kakuuza zaidi unatamba na ilo tobo lako mtaani
 
Lengo lao kuvuruga ujumbe wa mama kesho, huenda wamenusa mama atasema ni kiasi gani wanahusika na vurugu
Hawa watu sio wazuri,kanisa linachochea ghasia Kwa Nini hawjaongea siku zote na kama wanaushahidi waipe tume inayochunguza.
 
Daah hawa jamaa sijui waliwaza nini kufanya hivyo maana hiyo mambo haiishi leo wala kesho wamefanya kitu cha kijinga katika maisha yao na ni watu wasiostahili kuongoza jamii ya watu waliostarabika washatuharibia Nchi hao wasizwa daah kama Goma tu sasa..
Au siyo!
 
Attachments

  • 2025_11_29_13_15_34.mp4
    50 MB
Kuna mtu alisema pesa za kujenga barabara zilifanyiwa lobbying zikaende kujenga bugando THE BIG SHOW
Akili zenu mnazijuwa wenyewe, wewe na huyo BIG TRASH.
Mnayoyasimamia nyinyi yasipodhibitiwa nchi hii itakuwa mbovu zaidi kuliko hata Sudan.

Mategemeo mliyoyaweka kwa Samia kuwafikisha huko mnakotaka gharama zake ndiyo hizi za mwanzomwanzo; lakini waTanzania hawataruhusu ushetani huo ndani ya taifa lao.
 
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, amesema kuwa wakati wa maandamano kuliletwa majeruhi waliokuwa wameumia, lakini baadhi ya askari walizuia wapewe matibabu wakidai “tunataka kuwaona mochwari.”

Ameeleza kuwa, kwa kuwa Kanisa Katoliki linamiliki hospitali mbalimbali, wamekuwa mashahidi wa kile kilichotokea, ikiwemo kupokea miili ya watu waliopoteza maisha kutokana na kupigwa risasi za moto.
Huyo ndio kasisi mkatoliki hapepesi macho kama wale wavaa kobazi. *****
 
Back
Top Bottom