The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Nanyinyi mlivyopora uchaguzi mlikuwa mnataka nini??Hivi hawa TEC wanataka nini' haswa?!!!!!π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘
Nanyinyi ccm na magenge yenu haramu na utawala wenu mnataka nini watanzania kwa kuwauwa na kupora uchaguzi??,naomba unijibu wewe agent wao wa kuzimuWanatutaka nini' TEC watanzania?!!!!!!!!
Wanatutakia haki, amani ya kweli, na seriakli sikivu inayowajibika kwa wananchi ikisimamia uhuru ulinzi wa haki ya kuishi ya mtanzania mmoja mmojaWanatutaka nini' TEC watanzania?!!!!!!!!
MNAFIKI MKUBWA WE!!Wanatutakia haki, amani ya kweli, na seriakli sikivu inayowajibika kwa wananchi ikisimamia uhuru ulinzi wa haki ya kuishi ya mtanzania mmoja mmoja
Onyesha kwenye maneno yao yote ni wapi wanapotaka jambo tofauti na hilo? Kwani serikali ikipiga u turn ikabadilika na kuanza kusimamia yanayosemwa itapungukiwa nini?MNAFIKI MKUBWA WE!!
We ndiye mnafikiMNAFIKI MKUBWA WE!!
Jibu lipo wazi tu, wanataka Shari.....inaonekana wenzetu wamejiandaa.
Yaani kwa busara kabisa kwa kipindi hiki, ili paswa kukaa kimya tu. Yaani ni kama vile wana tunashana misuri na serikali.Hivi hawa TEC wanataka nini' haswa?!!!!!π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘
Hujaelewa?basi huna akiliHivi hawa TEC wanataka nini' haswa?!!!!!π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘
Yaani hilo ndilo linalonishangaza Mimi. Waziri mkuu ameongea juzi na huyu ni mmojawapo aliyeenda kumuona. Sijui walichoongea lakini Nina uhakika alimsihi kujizuia kutoa kauli zenye kuleta taharuki zaidi. Kama hiyo haitoshi, Raisi anaongea kesho. Sasa ghafla huyu anakuja na hoja zake hizi ambazo ndani yake sioni dalili yoyote ya viashiria vya amani Bali ni vurugu zaidi. Nilifikiri viongozi wa dini kazi ni kukemea tu lakini naona hawa wanatoa mpaka hukumu nini kifanyike. Inashangaza.Yaani kwa busara kabisa kwa kipindi hiki, ili paswa kukaa kimya tu. Yaani ni kama vile wana tunashana misuri na serikali.
Ukweli ni kwamba kuna makosa kiuendeshaji lakini kujua nini cha kuongea kwa nyakati gani ni mhimu zaidi.
Mwisho hatuwezo kuwa viongozi wote kwa wakati mmoja.
Hivi hawa TEC wanataka nini' haswa?!!!!!π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘
Yaani hilo ndilo linalonishangaza Mimi. Waziri mkuu ameongea juzi na huyu ni mmojawapo aliyeenda kumuona. Sijui walichoongea lakini Nina uhakika alimsihi kujizuia kutoa kauli zenye kuleta taharuki zaidi. Kama hiyo haitoshi, Raisi anaongea kesho. Sasa ghafla huyu anakuja na hoja zake hizi ambazo ndani yake sioni dalili yoyote ya viashiria vya amani Bali ni vurugu zaidi. Nilifikiri viongozi wa dini kazi ni kukemea tu lakini naona hawa wanatoa mpaka hukumu nini kifanyike. Inashangaza.
Nimesikitishwa sana na hili na linaleta hisia zangu zoote nilizokuwa nazo kuwa kweli kabisa........UDINI!!!!!
MNAFIKI MKUBWA WE!!
Jibu lipo wazi tu, wanataka Shari.....inaonekana wenzetu wamejiandaa.
Kusema vijana wamenunuliwa eti kwa fedha $ million mbili toka Marekani ni uongo usio na haya ; it is a distraction! Marekani [ Ford Foundation} kama wangetaka kuisambaratisha serikali ya Samia wala isingechukua hata dakika tano!! Na wala wasingezifunga ofisi zao za USAID kwani majasusi wao ndio walikuwa wanapitia huko!!Anasema kusema vijana wamenunuliwa ni makosa na kuwakosea sana. Anasema vijana si wajinga kiasi hicho.
Ingawa, anaona kusema wamehamasishwa hilo halina mjadala kwani kulikuwa na uhamasishaji kabla ya Uchaguzi.
"Kusema vijana wamenunuliwa ili kuandamana si sahihi, wamehamasishwaje hiyo ni agenda nyingine kwa sababu huwezi kukataa kwamba wamehamasishwa, kuandmana tarehe 29 maana yake kuna mtu amehamasisha. Wamehamasishwaje kuingia barabarani mikoa zaidi ya mitano
Kumetokea mauaji ya watu, mamia hatuongelei watu wameuawa wawili watatu, mauaji makubwa kiasi hiki useme mtu amehongwa aandae maandamano, vijana si wajinga kiasi hicho. Hizo hela zinazotajwa ziligawanywa kwa mtindo upi kwa vijana wote wale waliokuwa wameandamana?
"Tusikatae ukweli kwamba vijana waliandamana kwa sababu gani? wanasema sababu ya kwanza ukiuliza vijana wanasema hatuko salama watu wanatekwa, watu wanapotezwa, watu wanauawa, ni zoezi lina zaidi ya miaka miwili hilo linaendelea vijana wamechoka kuvumilia"
Karibu sana!!