zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Udini ni upi hapo? Watu mnaakili za ajabu sana. Huyu kitima mbona alimkosoa sana JPM enzi zake na alikemea utekaji mbele ya JPM bila uoga kwani JPM alikua muislam?Yaani hilo ndilo linalonishangaza Mimi. Waziri mkuu ameongea juzi na huyu ni mmojawapo aliyeenda kumuona. Sijui walichoongea lakini Nina uhakika alimsihi kujizuia kutoa kauli zenye kuleta taharuki zaidi. Kama hiyo haitoshi, Raisi anaongea kesho. Sasa ghafla huyu anakuja na hoja zake hizi ambazo ndani yake sioni dalili yoyote ya viashiria vya amani Bali ni vurugu zaidi. Nilifikiri viongozi wa dini kazi ni kukemea tu lakini naona hawa wanatoa mpaka hukumu nini kifanyike. Inashangaza.
Nimesikitishwa sana na hili na linaleta hisia zangu zoote nilizokuwa nazo kuwa kweli kabisa........UDINI!!!!!
Yes maybe the timing is wrong ila amenyoosha maelezo na kuongea ukweli.