PostGE2025 Padre Kitima: Vijana si wajinga, kusema wamenunuliwa ili kuandamana si sahihi

PostGE2025 Padre Kitima: Vijana si wajinga, kusema wamenunuliwa ili kuandamana si sahihi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Yaani hilo ndilo linalonishangaza Mimi. Waziri mkuu ameongea juzi na huyu ni mmojawapo aliyeenda kumuona. Sijui walichoongea lakini Nina uhakika alimsihi kujizuia kutoa kauli zenye kuleta taharuki zaidi. Kama hiyo haitoshi, Raisi anaongea kesho. Sasa ghafla huyu anakuja na hoja zake hizi ambazo ndani yake sioni dalili yoyote ya viashiria vya amani Bali ni vurugu zaidi. Nilifikiri viongozi wa dini kazi ni kukemea tu lakini naona hawa wanatoa mpaka hukumu nini kifanyike. Inashangaza.

Nimesikitishwa sana na hili na linaleta hisia zangu zoote nilizokuwa nazo kuwa kweli kabisa........UDINI!!!!!
Udini ni upi hapo? Watu mnaakili za ajabu sana. Huyu kitima mbona alimkosoa sana JPM enzi zake na alikemea utekaji mbele ya JPM bila uoga kwani JPM alikua muislam?

Yes maybe the timing is wrong ila amenyoosha maelezo na kuongea ukweli.
 
Karibu sana!!

Kuandamana tare 9/12 ni lazima. Samia na genge lake wanajifanya kuwa hawajui kuwa waandamanaji wa Tanganyika sio mbumbumbu bali ni wasomi wazuri kuliko Samia mwenyewe hivyo wanasoma nyaraka za serikali na kuona ushenzi wa sera za serikali hii!! Mfano matumizi ya hovyo ya mapato ya serikali yanayotaka na kodi kama yanavyooneshwa kwenye bajeti!! Serikali inatenga matrioni ya shillings kununua magari ya bei mbaya wakati vijana wamejaa vijiweni bila ajira au ajira za ubababaishaji !! Mambo haya ndio yanayopandisha hasira za vijana kuikataa hii serikali: halafu mnasingizia kuwa Samia hakubaliki kwa sababu ya dini yake!! Ukweli ni kwamba ni kiongozi dhaifu anayeng'ang'ania madaraka ili hali hakubaliki!
Samia ni mbaguzi na ndio chanzo cha mpasuko ndani ya nchi hii ; serikali yake amewajaza watu wa visiwani wenzake mpaka huko vijijini bara. Baraza lake la Mawaziri hivyo hivyo, Wizara zote nyeti ameteua sio wazenj tu bali ndugu zake ; mfano Wizara za FEDHA.ULINZI, AFYA, ELIMU. MALIASILI, USAFIRISHAJI licha ya kuwajaza wengine wengi huko serikalini!
Hizi ni baadhi ya sababu zinazowafanya WATANGANYIKA waandamane tareha 9/12 na wamkatae Samia na serikali yake haramu.
 
Hivi hawa TEC wanataka nini' haswa?!!!!!😡😡😡😡😡😡😡
Kwa nini tatizo unaloona wewe ni TEC, na huoni taarifa inayowasilishwa.

Ndiyo maana watu wa aina yako katika jamii ni hatari sana, bila kujali imani yako ni ipi.

Baadhi yenu mmekuwa na chuki za kutisha sana juu ya taasisi, hata kama mambo yanayozungumziwa ni maswala muhimu ya wote ndani ya taifa..

Hili ni tatizo kubwa, na mwelekeo ni kama mpo tayari kuwa "Boko Haramu" wa hapa hapa Tanzania.!
 
Karibu sana!!
Screenshot_20251201-123111~2.png
 
Well said!

Kungekuwa na kulipwa,na uharibifu ungefanana maana muwezeshaji angetoa muongozo unaofanana.

NB:Kama kwa Gwajima kumeporwa,kuna uwezekano maduka yaliyoporwa wakati wa vurugu ni haohao jamaa ukizingatia walikuwa wenyewe mitaani usiku kutokana na curfew
 
Yaani hilo ndilo linalonishangaza Mimi. Waziri mkuu ameongea juzi na huyu ni mmojawapo aliyeenda kumuona. Sijui walichoongea lakini Nina uhakika alimsihi kujizuia kutoa kauli zenye kuleta taharuki zaidi. Kama hiyo haitoshi, Raisi anaongea kesho. Sasa ghafla huyu anakuja na hoja zake hizi ambazo ndani yake sioni dalili yoyote ya viashiria vya amani Bali ni vurugu zaidi. Nilifikiri viongozi wa dini kazi ni kukemea tu lakini naona hawa wanatoa mpaka hukumu nini kifanyike. Inashangaza.

Nimesikitishwa sana na hili na linaleta hisia zangu zoote nilizokuwa nazo kuwa kweli kabisa........UDINI!!!!!
Kukimbilia neno UDINI hilo tunalitegemea, yaani mkishabanwa hoja hiyo ni kawaida yenu mbona...mashehe wa bar kwata wanajipanga tunasubiri kusikia ujinga wao!
 
Uzuri watanzania sio wajinga, elimu imetusaidia kumjua adui yetu
 
Hivi hawa TEC wanataka nini' haswa?!!!!!😡😡😡😡😡😡😡
Wanataka ukweli japo hapo amefafanua kuwa yeye si msemaji TEC na hayo ni maoni yake binafsi, hebu jikite kwenye hoja zake na ukosoe pale aliposema uongo.
 
Hivi hawa TEC wanataka nini' haswa?!!!!!😡😡😡😡😡😡😡
Ukweli ufahamike, na wauaji na wezi wa kura wawajibike. Kama ni kukaa kimya wameshakaa sana, na matokea yake ni watu kutekwa, na kuwekewa viongozi wasiochaguliwa na umma. Una lingine kwa msaada zaidi? Ama miidhani mtaendelea kupora chaguzi miaka yote na watu wakae kimya tu?
 
MNAFIKI MKUBWA WE!!

Jibu lipo wazi tu, wanataka Shari.....inaonekana wenzetu wamejiandaa.
Kusema ukweli ndiyo kutaka shari? Kwani lazima nao wawe wanafiki kama BAKWATA? Mbona sheikh Ponda na mashehe wengine wametoa maoni yanayofanana na ya TEC?
 
Back
Top Bottom