Padre Ngowi awaitisha wananchi likiwamo jeshi lao kuilinda nchi

Padri Ngowi anashangaa huo wajibu wa kikatiba kulinda mipaka unafanyikaje km kuna nchi iko ndani ya nchi..sasa ni jambo la kushangaza CDF mstaafu ni Board chair wa NCAA taasisi ambayo inasimamia eneo hilo hilo ambalo nchi moja iko ndani ya nchi nyingine..sijui nini kimewakuta maafisa wapiganaji wetu kuwa wanapangiwa kuwa wenyeviti wa bodi, baada ya kazi nzito ndani ya jeshi hivi bado mtu ana hamu ya kuwa chini ya mtu unaripoti kwake..? waacheni wapiganaji wapumzike uraiani! what do you want from them more..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…