Padre Ngowi awaitisha wananchi likiwamo jeshi lao kuilinda nchi

Padre Ngowi awaitisha wananchi likiwamo jeshi lao kuilinda nchi

Avue joho aingie siasani...asijifiche kwenye kichaka cha dini..
Mbona kwenye kuhamasisha watu walinde amani huwa hamsemi wavue majoho au wanapo washinikiza waumini kupiga kura huwa hamsemi wavue majoho? Acheni ujinga na ubinafsi tendeni haki maku nyie mnataka watu wahubiri amani lakini hamtaki wahubiri haki?kwani kuna amani bila haki.?
 
Wala hatamani kufa, Na si ktk akili za binadamu wa kawaida kutamani kufa hata awe ktk Hali ngumu kias gani
 
Back
Top Bottom