Padre Ngowi awaitisha wananchi likiwamo jeshi lao kuilinda nchi

Padre Ngowi awaitisha wananchi likiwamo jeshi lao kuilinda nchi

Avue joho aingie siasani...asijifiche kwenye kichaka cha dini..
 

View: https://youtu.be/ciDVwS2EKj0?si=CiCirydlWlLtOcDD

Padri Ndowi amezungumza kwa uchungu sana juu ya yanayoendelea. Amemtia moyo Dr Kitima aendelee kusimamia haki kwa kuwa Mungu anapenda haki.
Amesema wazee wetu hawakutuachia Tanzania tunayoishi sasa
Amesema yupo tayari kufa na haogopi chochote


Madhila yote haya yanafanyika kwa Wapenda Haki ni kwa sababu waTanzania wameikataa CCM 'na mambo yake yote.'

CCM inapoteza kabisa mvuto!
CCM imepoteza kabisa ushawishi!
 
Wazee gan anaosema? Pia hao wazee hata hiyo dini hawatuachia aache zake kila atavuna alichopanda awe mpole tu kwan haamini kama kuna malipo baada ya kifo?
 
Back
Top Bottom