Padre Ngowi awaitisha wananchi likiwamo jeshi lao kuilinda nchi

Padre Ngowi awaitisha wananchi likiwamo jeshi lao kuilinda nchi

Padre anavyoongea ukimwangalia vizuri anaonekana kama ana mtindio wa ubongo kama fuse fulani kwenye akili haipo
..ukiacha historia ya malezi yake kulelewa na wazazi waliofanya wajibu kulinda nchi hadi wakastaafu salama..sifa ambayo naamini wewe huna, Padri Ngowi anakuelimisha maana ya ubinadamu wako na sababu ya wewe kuletwa duniani, km bado huelewi, wewe ndio hauko sawa kichwani.
 
Padre anavyoongea ukimwangalia vizuri anaonekana kama ana mtindio wa ubongo kama fuse fulani kwenye akili haipo

Ukisikia mguno, jiwe la gizani limempata.

Ukiona manyoya, ujuwe kaliwa.
 
Padre anavyoongea ukimwangalia vizuri anaonekana kama ana mtindio wa ubongo kama fuse fulani kwenye akili haipo


Wewe jlivyoandika tu, inaonekana ni mwendawazimu halisi ambaye hana haya uwezo wa kutambua kuwa hana akili. Waulize majirani zako, jimsi ulivyo.

Huyu padre amewalenga watu wenye akili timamu, siyo wewe mwendawazimu.
 
Padre anavyoongea ukimwangalia vizuri anaonekana kama ana mtindio wa ubongo kama fuse fulani kwenye akili haipo
shule kengele rim ya gari ndo madhara yake haya
Elimu elimu elimu
wewe ni hasara kwa wazazi wako
 
Mjinga ni wewe usiona tatizo.
Tatizo liko hapa 👇 👇

Wajinga kama hao wamewahi hata kulipa Kodi zaidi ya kula Bure na kutembea na wake za watu wakijificha kwenye dini?

Wanampigania mtu wao waliompanga.

Haya majitu ndio yamekuwa yanawaleta watu makatili kuanzia huyo Nyerere mtakatifu wao aliyefeli kwenye Uchumi Hadi katili aliyekuwa anaweka watu wenye viroba.

Haya majitu yalikuwa kimya kisa muimini wao.
 
Back
Top Bottom