Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Kiukweli inasikitisha sana kila mpenda haki hawezi kufurahia mwenendo wa kinachoendelea nchini.Wauaji nao hufa, tena hufa kizembe
View: https://youtu.be/ciDVwS2EKj0?si=CiCirydlWlLtOcDD
Padri Ndowi amezungumza kwa uchungu sana juu ya yanayoendelea. Amemtia moyo Dr Kitima aendelee kusimamia haki kwa kuwa Mungu anapenda haki.
Amesema wazee wetu hawakutuachia Tanzania tunayoishi sasa
Amesema yupo tayari kufa na haogopi chochote
Siasa nini.Avue joho aingie siasani...asijifiche kwenye kichaka cha dini..
Mbona wewe umejificha kwenye kichaka cha Useremala?Avue joho aingie siasani...asijifiche kwenye kichaka cha dini..
kumbe kusimamia haki unatakiwa uwe mwana siasaAvue joho aingie siasani...asijifiche kwenye kichaka cha dini..
tulia wewe upate sindanoAvue joho aingie siasani...asijifiche kwenye kichaka cha dini..
Kwako ChoiceVariable na huyu naye inabidi aundiwe zengwe la kuuliwa.
View: https://youtu.be/ciDVwS2EKj0?si=CiCirydlWlLtOcDD
Padri Ndowi amezungumza kwa uchungu sana juu ya yanayoendelea. Amemtia moyo Dr Kitima aendelee kusimamia haki kwa kuwa Mungu anapenda haki.
Amesema wazee wetu hawakutuachia Tanzania tunayoishi sasa
Amesema yupo tayari kufa na haogopi chochote
kwani Tlaatlaah anasemaje?😎😜kumbe kusimamia haki unatakiwa uwe mwana siasa