Mbona kwenye kuhamasisha watu walinde amani huwa hamsemi wavue majoho au wanapo washinikiza waumini kupiga kura huwa hamsemi wavue majoho? Acheni ujinga na ubinafsi tendeni haki maku nyie mnataka watu wahubiri amani lakini hamtaki wahubiri haki?kwani kuna amani bila haki.?Avue joho aingie siasani...asijifiche kwenye kichaka cha dini..
Avue joho aingie siasani...asijifiche kwenye kichaka cha dini..
Shida huwa mnaishia humu humu ...mkiambiwa mtoke Kwa road mnaufyata kawa mbwa kaona chatuHuu msumari kwa mkuu wa majeshi lazima utaichanganya nchi.
Kuna ukombozi soon.
Tanganyika is back