Mhujumu Uchumi
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,541
- 3,521
Msanii toka kitambo yule, na kawashika kisawa sawa wafuasi wake, hata baada ya kucheza picha la ngono na zaidi ya nusu ya wafuasi wake kuitazama lakini bado wanajiita wakristo, acha aendelee kuwatafuna kondoo na kuwaibia hela anazoziita sadakaJe, tapeli gwajima atajifukuza mwenyewe?
Kama kitu hujui uliza. Pengo bado ni cardinal ila Rwachi ni askofu mkuu na askofu wa jimbo kuu la DarHii barua ni ya uongo cardinal pengo Alisha staafu kwa Sasa cardinali ni Rwaichi Kama sijakosea
Acha ujingaAtaandikiwaje pengo ikiwa Alisha staafu na kwa Sasa cardinali ni Rwaichi,hiyo barua nibya uongo
Hahaha mamlaka yake ya uteuzi inaanzia wapi? Tuanzie hapo kwanzaJe, tapeli gwajima atajifukuza mwenyewe?
Kwani vipi?ujinga wangu uko wapi?Acha ujinga
Rwaichi sio Cardinal lakini pia sijaona katika barua hii popote majina ya watu uliyoyataja yakijitokeza.. Soma tena barua TafadhaliHii barua ni ya uongo cardinal pengo Alisha staafu kwa Sasa cardinali ni Rwaichi Kama sijakosea
Uko Sahihi..Pengo bado ni Cardinal..Rwaichi ni Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Dar...Hiyo barua hapo ujaiona au?barua kaandikiwa pengo
Ukiwa askofu mkuu wa jimbo katoliki dar lazima uwe cardinal refer kwa cardinal aliyepita kabla ya pengoAlistaafu madaraka ya jimbo kuu la Dar es Salaam, ila bado yeye ni askofu na pia Kardinali. Halafu si kwamba kila anayekuwa askofu wa Jimbo kuu la Dar es Salaam basi lazima awe Kardinali.
Mhashamu cardinal polycarp pengo ni cheo au ni jina?Rwaichi sio Cardinal lakini pia sijaona katika barua hii popote majina ya watu uliyoyataja yakijitokeza.. Soma tena barua Tafadhali
Mkuu, Pengo ni Kardinali, na Ruwa'ichi sio Kardinali. Usichanganye ukadhani Uaskofu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam kwamba ndio UkardinaliHii barua ni ya uongo cardinal pengo Alisha staafu kwa Sasa cardinali ni Rwaichi Kama sijakosea
Umeshakosea tayariHii barua ni ya uongo cardinal pengo Alisha staafu kwa Sasa cardinali ni Rwaichi Kama sijakosea
Kwani hiyo imeandikwa na cardinal?Alafu Pengo bado ni cardinal hajastaafuHii barua ni ya uongo cardinal pengo Alisha staafu kwa Sasa cardinali ni Rwaichi Kama sijakosea
We kweli kilaza, barua inaonyesha hapo kabisa amesimamishwa we unatuletea upururu wako hapa eti amefukuzwa? Bawacha mna tatizo gani?Aisee sikujua kama pia wapo mapadre wa catholic, kanisa lenye heshima naye alitaka kwenda bungeni. Shame on you maccm!
Haya amefukuzwa aende vizuri huko CCM
View attachment 1523939
Hii barua ni ya uongo cardinal pengo Alisha staafu kwa Sasa cardinali ni Rwaichi Kama sijakosea
Kardinali huwa hastaafu, ukardinali ni hadhi atakua nayo Pengo maisha yake yote. Alistaafu uaskofu mkuu wa Dar, akarithiws na mh. Ruwaichi. Pia anabaki kuwa askofu milele ila sio msimamizi wa jimbo tena (= Archbishop emeritus) Ni vizuri pia kujua kardinali hana eneo maalum la kiutawala hivyo sio mkuu wa kanisa ktk nchi fulani.Tanzania haina Kadinali bado. Ruwaichi ni Askofu mkuu. Pia bado Pengo hajaagwa kwa misa takatifu!
Hii barua ni ya uongo cardinal pengo Alisha staafu kwa Sasa cardinali ni Rwaichi Kama sijakosea