Pota
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 2,042
- 776
Hii barua ni ya uongo cardinal pengo Alisha staafu kwa Sasa cardinali ni Rwaichi Kama sijakosea
Cardinal ni Rwaichi? Ulimchagua wew?
Sikiliza. Ruaich ni askof jimbo kuu dar.
Kadinal kwa Tanzania ni pengo.
But pia ujue kuwa kuwa Kadinal haimaanishi kuwa wew ndo mkuu wa Kanisa Katoliki ktk nchi. But ni unawakilisha jimbo lako ktk kumpiga kura Za papa Roma etc.
Kwa upande mwengine kila askofu anawajibika moja kwa moja kwa papa.
Kila askofu anamamlaka kamili ktk jimbo lake na hakuna wa kumhoji Zaid ya papa.
Ref. : yule askofu wa jimbo flan wkt wa korona yeye aluzuia wauminibwake kusali.
But pia hiyo barua Ina mhuri....
Nani wa kuhangaika kughushi mhuri ili aandike hii barua? Ina mashiko gani?