Uchaguzi 2020 Padre wa Kanisa Katoliki aliyeomba Ubunge huko Kagera kupitia CCM asimamishwa rasmi kuendelea na wito

Uchaguzi 2020 Padre wa Kanisa Katoliki aliyeomba Ubunge huko Kagera kupitia CCM asimamishwa rasmi kuendelea na wito

Hii barua ni ya uongo cardinal pengo Alisha staafu kwa Sasa cardinali ni Rwaichi Kama sijakosea

Cardinal ni Rwaichi? Ulimchagua wew?
Sikiliza. Ruaich ni askof jimbo kuu dar.
Kadinal kwa Tanzania ni pengo.

But pia ujue kuwa kuwa Kadinal haimaanishi kuwa wew ndo mkuu wa Kanisa Katoliki ktk nchi. But ni unawakilisha jimbo lako ktk kumpiga kura Za papa Roma etc.

Kwa upande mwengine kila askofu anawajibika moja kwa moja kwa papa.

Kila askofu anamamlaka kamili ktk jimbo lake na hakuna wa kumhoji Zaid ya papa.
Ref. : yule askofu wa jimbo flan wkt wa korona yeye aluzuia wauminibwake kusali.

But pia hiyo barua Ina mhuri....
Nani wa kuhangaika kughushi mhuri ili aandike hii barua? Ina mashiko gani?
 
Ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu nzuri. Dr Slaa aliacha Upadre Katoliki, akawa Katibu Mkuu CHADEMA na kuoa.

Mnapodai Haki na Uhuru, mwe tayari kuheshimu maamuzi ya watu wengine na si kila jambo mlichukue kisiasa. AIBU
Slaa alianzia ccm,
 
Mbona barua inasema aliacha kazi kwa hiari yake mwenyewe. Habari ya kufukuzwa inakuja vipi. Mara nyingine muache kujitoa ufahamu nyie nyumbu. Hiyo kimsingi ni barua ya taarifa na kuthibitisha jamaa kuacha kazi.

Pia kila mty anao uhuru wa kuishi atakavyo. Hata kadinali anaweza kuamua kubadilisha mwelekeo wa maisha yake.
Wewe zombie soma uelewe, ni kweli aliacha kazi, lakini kabla ya kupokelewa barua yake ya kuacha kazi na kukubaliwa kuacha kazi ya upadre boss wake amemuona na kosa baada ya kutangaza kuingia siasa na akachukua hatua ya kumfukuza kazi
 
Slaa alianzia ccm,
Kuna tatizo la watu ama kwa makusudi au kutojua,,, kuipa kisogo historia ya watu na siasa nchi hii. Kwa jinsi Slaa anavyofahanika sikutegemea comment kama hiyo kutoka kwa jamaa
 
Back
Top Bottom