dump
JF-Expert Member
- Mar 23, 2020
- 642
- 958
Mm sio mkathoric lakini nili mukubali kwa alivyo jiuzulu.Papa Benedict ndio papa msomi kuliko wote alikataa kukinajisi kitu Cha mtume Petrol kwa kujiuzulu akizugia ugonjwa kuliko kuliweka kanisa chini ya Masonic.
Aliona amtii Mungu kuliko mwanadamu.