Padri Dkt Vicent Mpwaji Ateuliwa Kuwa Askofu Msaidizi Jimbo Kuu La Dar Es Salaam

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,933
FB_IMG_1783766543459.jpg

FB_IMG_1783766538387.jpg

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Baba Mtakatifu Leo XIV amemteua Mheshimiwa Padre Vincent Lawrence Mpwaji wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, leo Julai 11, 2026.

Mhashamu Askofu mteule Padre Vincent Lawrence Mpwaji alizaliwa Juni 05 mwaka 1978 Jimbo Katoliki Morogoro.

Baada ya masomo yake ya upadre, alipata daraja Takatifu la upadre Julai 07 mwaka 2008 Jimbo Kuu la Dar es Salaam, na kuhudumu katika nafasi mbalimbali za utume ndani ya Jimbo kuu la Dar es Salaam.

Alipata Shahada ya Uzamivu katika Teolojia kutoka Chuo Kikuu cha Kipapa, Gregorian Roma-Italia.
Hadi uteuzi wake Askofu mteule Mpwaji alikuwa Chancellor wa Jimbo kuu la Dar es Salaam na Paroko Msaidizi wa Kanisa kuu la Mtakatifu Yosefu, Dar es Salaaam.

.
 
View attachment 3626933
View attachment 3626934

Mungu amuongoze ili afanye kazi yake kwa mafanikio
 
wow, habari imekamilika, kila kitu kiko sawa hakuna swali linabakia kwani umri wake umetajwa, alipozaliwa, alichosomea, hii ndiyo professionalism and compentence kama kuna waliokuwa wanatafuta tofauti competence vs incompetence ya ccm, hiyo ndiyo tofauti na habari za serikali wakitoa zinaacha maswali kibao.

kama serikali ya tanzagiza ingefanya kazi kwa ufanisi na mpangilio kama Christians leo hii tungekuwa mbali sana kimaendeleo.

hongera sana …
 
wow, habari imekamilika, kila kitu kiko sawa hakuna swali linabakia kwani umri wake umetajwa, alipozaliwa, alichosomea, hii ndiyo professionalism and compentence kama kuna waliokuwa wanatafuta maana ya competence vs incompetence ya ccm, hiyo ndiyo tofauti na habari za serikali wakitoa zinaacha maswali kibao.

kama serikali ya tanzagiza ingefanya kazi kwa ufanisi na mpangilio kama Christians leo hii tungekuwa mbali sana kimaendeleo.

hongera sana …
Hakika💯%
 
Back
Top Bottom