Taarifa yako irefushe tatizo imekaa kama hearsay mfano ana makosa mengi mwanzo ulisema Mwanza now imekuwa Geita hata parokia hutaji... Chagula.
Huyo hana kesi moja. Ana madudu kibao ambayo yapo reported kwa Askofu wa jimbo la Geita.
Amekuwa akijihusisha na mambo ya hovyo zaidi ya muongo.
Waumini na watu baki wamekuwa wakiripoti madudu yake tena kwa ushahidi, lakini kanisa huishia kumuhamisha mara parokia hii mara ile na pote anapoenda huendelea na yake ya hovyo.
Chakujiuliza, why uongozi haumchukulii hatua kali zaidi za kinidhamu?!
Na ni mda gani umereport umeona kenya wamesimamishwa mapadri 6 ni mchakato pia unahusisha proceeding nyingi na inatakiwa uongee kwa uwazi