Padri Dkt Vicent Mpwaji Ateuliwa Kuwa Askofu Msaidizi Jimbo Kuu La Dar Es Salaam

Punguza mihemko mkuu.
Siasa na mambo ya utume wapi na wapi!
 
Ila ukweli lazima tuuseme.
Mapadre wengi wamekengeuka na kufata mambo ya watu wa mataifa.

Kuna padre huko lake zone anasumbua sana.
Ni mlevi, mzinzi na dhurumati.
Padre anamiliki bar na ukumbi wa starehe.
Padre anavamia viwanja vya watu kibabe na kuanza kujenga kisa ana hela za kuhonga maafsa wa polisi!
Je, huyu nae tuendelee kumuita mteule na mchunga kondoo wa Bwana ikiwa anazua migogoro na mafarakano ktk jamii anayoitumikia?
 
Kosa ni lake..
Je ni kanisa limetuma kufanya hayo?!
Atahukumiwa yeye binafsi
 
Ndo ujue intelegensia ya roma ilivyo kubwa mtu yuko vatcan huko anamjua mtu yuko bongo kwetu
 
Kosa ni lake..
Je ni kanisa limetuma kufanya hayo?!
Atahukumiwa yeye binafsi
Je, ndani ya mfumo wa kanisa hakuna namna kuwawajibisha watawa kama huyu?
Je, hakuna namna ya kuvuliwa wito wake endapo itathibitika kwamba ni kweli amekuwa akijihusisha na mambo kama hayo? Make huyu ninaye mzungumzia hapa hadi mke anae kampaki pahala sehemu ya mbali na maeneo yake ya kazi.
 
Ni vyema kuandaa damu changa ili kuja kuliongoza kanisa takatifu katoliki la Mitume
 
Hivi mashekh wenyewe huwa wanateuliiwa na nani na elimu zao ziko vipi?
Wanateuliwa na baraza la maulamaa ELIMU hata ukijua ARIFU tu inatosha ila.hii n kwa tanzania TU

Ukienda kama Qatar turkey sheikh inatakiwa awe walau ana masters katika.eneo.lake la dini kama sharia tajweed na bachelor degree ya ELIMU ya mazingira yaan kama.engineering public relation na mengineyo
 
Anaitwa nani na yupo parish ipi
Inawezekana Askofu na viongozi wake hawana taarifa na ushahidi
 
Anaitwa nani na yupo paroshi ipi
Inawezekana Askofu na viongozi wake hawana taarifa na ushahidi
... Chagula.
Huyo hana kesi moja. Ana madudu kibao ambayo yapo reported kwa Askofu wa jimbo la Geita.
Amekuwa akijihusisha na mambo ya hovyo zaidi ya muongo.
Waumini na watu baki wamekuwa wakiripoti madudu yake tena kwa ushahidi, lakini kanisa huishia kumuhamisha mara parokia hii mara ile na pote anapoenda huendelea na yake ya hovyo.
Chakujiuliza, why uongozi haumchukulii hatua kali zaidi za kinidhamu?!
 
Ila ukweli lazima tuuseme.
Mapadre wengi wamekengeuka na kufata mambo ya watu wa mataifa.
Jamii ya watu hawakengeuki?!
Nimpe mfano!!

Then kanisa au mafundisho yake yanafundisha kukengeuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…