Padri Dkt Vicent Mpwaji Ateuliwa Kuwa Askofu Msaidizi Jimbo Kuu La Dar Es Salaam

Taarifa yako irefushe tatizo imekaa kama hearsay mfano ana makosa mengi mwanzo ulisema Mwanza now imekuwa Geita hata parokia hutaji

Na ni mda gani umereport umeona kenya wamesimamishwa mapadri 6 ni mchakato pia unahusisha proceeding nyingi na inatakiwa uongee kwa uwazi
 
Jamii ya watu hawakengeuki?!
Nimpe mfano!!

Then kanisa au mafundisho yake yanafundisha kukengeuka?
Mkuu usikwepeshe ukweli kwa kuuliza vijimaswali uchwara ambavyo majibu yake ni mepesi.

Upadre ni wito.
Yampasa aishi katika mienendo ya kitume na kichungaji.
Waamini wanapotenda dhambi bila shaka huenda kutubu na kuungama mbele ya Padre.

Padre anapojifunua kwa matendo ya hovyo kwa waumini, je, waumini watavaa unyenyekevu na aibu ya kukiri dhambi zao kwa Paroko muovu?
 
Upadre ni wito.
Yampasa aishi katika mienendo ya kitume na kichungaji.
Waamini wanapotenda dhambi bila shaka huenda kutubu na kuungama mbele ya Padre.
Pia nao huangama?!
Next qn
 
Wapi nimeitaja Mwanza?
Kama wewe ni mkatoliki, bila shaka unaelewa mipangilio ya kijimbo sio lazima ifuate mipaka/mtiririko wa mikoa.
Geita nimeitaja coz ndiyo jimbo la huko though hii case ipo kwenye vijiji vilivyopo mkoa wa Mwanza.
Na haya malalamiko tayari yameripotiwa kwenye ofsi ya mkuu wa jimbo.
Ndiyo maana nayaandika hapa kwa kifupi.

Kwahiyo mkuu elewa tu kwamba hili suala lipo on process coz it is a reported case.
 
Bfo mimi..
Nakwepesha ukweli sorry nisaidie kuuweka sawa huo ukweli..
Ubarikiwe
 
Bado unazunguka sema ni wapi?!
 
Paragraph ya mwisho umesema lipo on process unataka uwajibishwaji inabidi usubiri sasa
 
Paragraph ya mwisho umesema lipo on process unataka uwajibishwaji inabidi usubiri sasa
Uwajibishwa inabidi uwepo ndiyo maana huyu Padre ana cases za utovu wa maadili na ukiukwaji wa miiko ya kitume kwa muda mrefu tu.

Awali walikuwa wakimhamisha hamisha pindi malalamiko yanapokuwa mengi. Baadae akaenda kusoma nje lakini aliporudi akaendeleza matendo yake maovu.
So ifikie mahala mamlaka inayosimamia maadili ya watawa iwe na nguvu ya kimaamzi ili kulinda heshima ya kanisa.

Bila shaka mkuu una tambua ya kuwa kwenye jamii wapo watu wamezaliwa kuwa sturbbon na waonevu kwa wengine. Huyu ni mmoja wao. Joho la upadre lisimpe tiketi ya kunyanyasa raia halafu kanisa ikawa ngao kwake.
Huyu hana wito wa kuwa mchunga kondoo wa Bwana wala kusimama altaleni kuhubiri neno takatifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…