Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Jeshini kuna mashehe?Wana Jamii From!
Bila yakupoteza muda naomba kufahamu jambo moja zito ambalo kwa uelewa wangu nimeshindwa lipatia majibu!
Hivi inawezekana vipi Mtumishi wa Mungu Padre awe mwanajeshi tena komandoo??
Picha hapo chini ni Padre Henry,ambaye ni mwanajeshi komandoo,ambaye katunukiwa PhD yake ya Architecture!
Haya sio mavazi ya JWTZ hayo mavazi ya Jeshi la Sudan kusini kule vyeo hupeana tu mfano hakuna nyota nne JWTZ huyo kavaa nyota nne ugumu na mda wa kozi ya komando , PhD , upandre , kadet , napandaji wa vyeo haiwezekani kwa mtu mmoja chanzo cha habari hakiko sahihi na habari hii imekanushwa alipewa vyeo vya heshima ambavyo hawezi kutoa komandi japo aliteuliwa na shirika lake kutoa huduma za kiroho kwa wanajeshi wa sudani kusiniAna umri gani mbona kama kama ameshafanyamambo mengi kuzidi umri wake
Ngerengere 92?Sio mwanajeshi wa JWTZ tusipotoshe ni Apostle of Jesus shirika lililoanzishwa Afrika la mapadri na tena hili shirika liliwahi pigwa ban na Papa liko kwenye rehabilitation sasa hivi...
Aina hiyo ya wanajeshi wanahudumia wanajeshi na familia zao yani ni maparoko wa jeshi ...sio waajiriwa wa jeshi ... MABEYO hamtambui huyu kapteni
Nimemkumbuka, Brigedia, Jaji mkuu, Mwanasheria mkuu wa serikali ya Zanzibar na mchungaji ,Augustino RamadhanPadri Henry Rimisho wa kanisa katoliki, jimbo la Moshi leo ametunukiwa shahada ya uzamivu katika usanifu majengo (PhD in Architecture) ya chuo kikuu cha Ardhi. Padri Rimisho ana shahada ya sayansi katika usanifu majengo (Bachelor of Science in Architecture) na Shahada ya umahiri katika usanifu majengo (Master of Architecture) zote kutoka chuo kikuu cha Ardhi.
Msipotoshe umma kwa uelewa wenu mdogo juu ya maswala ya kijeshi huyu father alipata mafunzo rasharasha ya kijeshi yaani hata mafunzo ya mgambo yako juu yake kupewa hizo nguo na wasudani kusini Haina maana tayari ni mwanajeshi , mtu Toka kujiunga na Jeshi huchukua miaka 15 kua na cheo cha Major hapo kahudhuria kozi nyingi tu za kijeshi achilia mbali miezi 18 hadi 20 ya ukomando kupiga kareti sio komando jamani hizo mtaani wengi tu wanazipiga pia father hajui kuvaa mavazi yanayofanana na Jeshi ni kosa naona wanamheshimu tu kutokana na title yake ya upadre vinginevyo angechukuliwa hatuaPadri Henry Rimisho wa kanisa katoliki, jimbo la Moshi leo ametunukiwa shahada ya uzamivu katika usanifu majengo (PhD in Architecture) ya chuo kikuu cha Ardhi. Padri Rimisho ana shahada ya sayansi katika usanifu majengo (Bachelor of Science in Architecture) na Shahada ya umahiri katika usanifu majengo (Master of Architecture) zote kutoka chuo kikuu cha Ardhi.
Wapo...Nimemkumbuka,Brigedia,Jaji mkuu,Mwanasheria mkuu wa serikali ya Zanzibar na mchungaji ,Augustino Ramadhan
Huyu sio mwajiriwa wa JWTZ , JWTZ haijawahi kua na mwajiriwa mtata kama huyu ni msomi ila anga za kijeshi anaonyesha uelewa mdogoAcha stori za vijiweni huyo padri AJ anasoma. Anachofanya jeshini soma hapa
Na hata ukienda nchi nyingine kama kenya wapo mapadri wa majimbo hivyo vidocumentary na story mnazopeana kuhusu jesuits ni matango pori.
I know work with them and entire church.
Tena huyu father anachafua taasisi hizi mbili yaani kanisa na JWTZhuyu sio mwajiriwa wa JWTZ , JWTZ haijawahi kua na mwajiriwa mtata kama huyu ni msomi ila anga za kijeshi anaonyesha uelewa mdogo
Inshort ni tapeliSio mwanajeshi wa JWTZ tusipotoshe ni Apostle of Jesus shirika lililoanzishwa Afrika la mapadri na tena hili shirika liliwahi pigwa ban na Papa liko kwenye rehabilitation sasa hivi...
Aina hiyo ya wanajeshi wanahudumia wanajeshi na familia zao yani ni maparoko wa jeshi ...sio waajiriwa wa jeshi ... MABEYO hamtambui huyu kapteni
Hana chochote tapeli uyo... kwa hiyo huo ukamondoo na cheo cha kijeshi (major) anaodaiwa kuwa navyo sio vya kweli?
Amekutapeli nini?
Hivi Kaombe ni Paroko wa Chang'ombe au Manzese? Nahisi tulikuwa naye safari ya Kilwa Kipatimu kwa Marehemu Fr Mbiku.Mapadre wamesoma kweli Paroko wangu Kaombe naye yupo vizuri kwa vitabu amebarikiwa mno
Hata kabla ya leo sehemu anazohudumu wanajua kuwa ni mjeshiBila kujianika leo, inawezekana alikuwa bonge moja la spy. Umzaniaye ndiye, siye.
Hiyo 2014 ye alikuwa anasoma level gani?Duuu, huyu jamaa hadi leo bado alikuwa anasoma tu hapo, nimemkuta 2009 chuo, nikapiga 5yrs nikamaliza tangu 2014, nikamuacha hapo, hadi leo 2021 alikuwa anateseka tu chuo?! Daaah
Mwanajeshi huwa haui mtu,mwanajeshi anaua adui.(Kamsemo kalitokea kwenye kesu ya Mbowe)Mwanajeshi kuua mtu vitani ni dhambi?
Kaombe paroko was chang'ombeHivi Kaombe ni Paroko wa Chang'ombe au Manzese? Nahisi tulikuwa naye safari ya Kilwa Kipatimu kwa Marehemu Fr Mbiku.