kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,323
- 12,594
Sawa makubazi MrSio kamandoo huyo kaghushi.Hizo ni sare za wanajeshi wa sudan.Anapenda sana sifa huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa makubazi MrSio kamandoo huyo kaghushi.Hizo ni sare za wanajeshi wa sudan.Anapenda sana sifa huyu
Sindo basi tena. Familia haitaextend tena.... ukapata huruma ya nini?
Duh,maajabu ya Musa sasa hayo..Kapewa uanajeshi kama zawadi tu yeye alienda kule kama mchungaji tu
Kuna brother wa kitaa Sengerema anaitwa Bosco Mosha (Maneno anaifahamu hii familia), kwasasa yupo Glasgow kule group la home huyu Padre ni classmate wake alisoma naye Uru Seminary, na akiwa Padre kabatiza watoto wa Bosco. Kweli ni Padre wa hilo shirika linalotajwa, sio Padre wa jimbo (kwa wakatoliki wanajua tofauti). Shirika lake lilimtuma South Sudan kutoa huduma ya kiroho na kule aliingizwa SPLA (Jeshi la Ukombozi la Sudani Kusini) na Garang. Then alipata basic training na kuwa Chaplain (mhudumu kiroho) kwenye Jeshi la South Sudan, vyeo hivyo alipandishwa hukohuko South Sudan, hopefully tunafahamu upandishwaji wa vyeo kwa SPLA ulikuwa wa mtindo gani, very politically kwa interest tofauti. Kwa taarifa za brother Bosco hata hizo uniform ni za South Sudan (SPLA). Ila hana uhakika wa cheo cha Meja, sio Komando ila anapenda kucheza Karate na Kung-fu kama part ya mchezo na kujiweka fit.Duh,maajabu ya Musa sasa hayo..
View attachment 2033857
View attachment 2033858
View attachment 2033859
Nimefanya naye mission nyingi tu sudan na lebanon.Duh...
Ningependa kujua cv yake kijeshi
Kapigana vita gani
Ova
Vya kaisari mpe kaisari na vya Mungu mpe MunguSijajua padri ambae Ni komando anaitekelezaje amri ya kutokuua.
Depo umeingia lini? 😳Nimefanya naye mission nyingi tu sudan na lebanon.
Silencer killer..Sijajua padri ambae Ni komando anaitekelezaje amri ya kutokuua.
Ebwana ehhNimefanya naye mission nyingi tu sudan na lebanon.
Sio dhambi maana Mungu wa majeshi Ndio kiongozi wa vitaMwanajeshi kuua mtu vitani ni dhambi?
Mapendo daimaMungu ni mwema wakati wote
Wakati wote Mungu ni mwema
... wamechagua kuvuna pamoja na Bwana fungu lililo jema.
... kwa hiyo huo ukamondoo na cheo cha kijeshi (major) anaodaiwa kuwa navyo sio vya kweli?Sio mwanajeshi wa JWTZ tusipotoshe ni Apostle of Jesus shirika lililoanzishwa Afrika la mapadri na tena hili shirika liliwahi pigwa ban na Papa liko kwenye rehabilitation sasa hivi...
Aina hiyo ya wanajeshi wanahudumia wanajeshi na familia zao yani ni maparoko wa jeshi ...sio waajiriwa wa jeshi ... MABEYO hamtambui huyu kapteni