Padri Henry Rimisho wa Kanisa Katoliki atunukiwaa PhD ya Architecture

View attachment 2033297
Padri Henry Rimisho wa kanisa katoliki, jimbo la Moshi leo ametunukiwa shahada ya uzamivu katika usanifu majengo (PhD in Architecture) ya chuo kikuu cha Ardhi. Padri Rimisho ana shahada ya sayansi katika usanifu majengo (Bachelor of Architecture) na Shahada ya umahiri katika usanifu majengo (Master of Architecture) zote kutoka chuo kikuu cha Ardhi.

Baada ya miaka minne ya kusoma kwa bidii, kufanya tafiti na kuandika maandiko mengi ya kutaalamu, hatimaye leo ametunukiwa shahada ya uzamivu katika usanifu majengo (PhD in Architecture). Padri Rimisho ni Professional Architect aliyesajiliwa na Board ya Wasanifu Majengo na wakadiriaji majenzi (AQRB). Amesanifu majengo mengi ndani na nje ya nchi, pamoja na majengo ya jeshi. Pia ni Mhadhiri wa chuo kikuu cha Ardhi.

Kwa upande mwingine Padri Rimisho ni Askari wa jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) mwenye cheo cha Meja (cheo kinachofuata baada ya Kepteni). Pia ni Komandoo wa JWTZ (Millitary Ordinariate) na ameshiriki operesheni kadhaa za kijeshi nje ya nchi, ikiwemo operesheni ya kulinda amani ya Darfur.

Padri Rimisho ni Mmisionari wa shirika la Apostles of Jesus, ambaye ana shahada ya kwanza ya Falsafa (Bacholer degree in Philosophy) na Shahada ya Utaalimungu (Bachelor degree in Theology) kabla ya kubarikiwa kuwa Padri.

Kwahiyo Rimisho ni Padri, ni Meja wa JWTZ, ni Komandoo katika uwanja wa vita, na ni Msanifu mwenye shahada ya uzamivu (PhD) katika usanifu majengo. Kwa hiyo unaweza kumuita Rev.Fr.Dr.Major Henry Rumisho (PhD).

Kama uliwahi kusikia neno "Genius" basi tafsiri halisi ya neno hilo ni Padri Rimisho. Uwe Padri, uwe mwanajeshi, uwe Komandoo, uwe Msanifu majengo, uwe PhD holder, vyote kwa wakati mmoja sio kitu rahisi kabisa. Huu ni utumishi wa aina yake na ni watu wachache walioweza kuexplore karama zao zote kama Padri Rimisho. Hongera Rev.Fr.Dr.Major Henry Rumisho (PhD), Hongera kanisa katoliki, Hongera JWTZ.!

Credit @malisa_gj
Hizo sio sare za JWTZ

USSR
 
jambo la pekee sana amefanya
 
Huo mbona siyo mshati wa jombo letu ukiutilia maanani Sana Kama wa bondeni.
 
Sio kamandoo huyo kaghushi.Hizo ni sare za wanajeshi wa sudan.Anapenda sana sifa huyu
 
Yap.. makao makuu yao yapo lang'ata nairobi na pia kwa bongo shule yao ni Uru Seminary kilimanjaro
Na hapo Moshi town Wana nyumba zao Chaka Fulani hivi huwezi tambua ila coz nilikuwa mtumishi wa misa Christ the King cathedral nikiwa primary school niliweza kuwatambua na kuwa nao karibu currently I know many of them well including aliyekuwa Jimbo la Dar now Ngara, aliyeshutumiwa siyo raia mwisho Serikali ikamwomba msamaha now Ngara are among of many I know, rc is strong army since b4 Christ so no wonderful to see Fr. Rumishi in combat uniform even the followers of Jesus were soldiers
Currently sijapoteza kitu coz hao jamaa walinipa skills za maana ktk maisha ya Leo na nimejiambania nilipo
 
Jamaa ana kofia tatu
Padre arch na mwanajeshi na katika picha naona katupia zote [emoji2][emoji2][emoji2][emoji122][emoji122][emoji122][emoji123][emoji123][emoji123]
Anaendeshaje shughuli za upadri na jeshi? eg, Alianza kuwa padri kwanza halafu akaruhusiwa kujiunga na jeshi! au alianza kuwa mwanajeshi halafu akaruhusiwa kusomea upadri? na kwa miaka mingapi, kwa ruhusa ya aina gani?
 
Ndo Ishawezekana 😂
Kuna brother wa kitaa Sengerema anaitwa Bosco Mosha (Maneno anaifahamu hii familia), kwasasa yupo Glasgow kule group la home huyu Padre ni classmate wake alisoma naye Uru Seminary, na akiwa Padre kabatiza watoto wa Bosco. Kweli ni Padre wa hilo shirika linalotajwa, sio Padre wa jimbo (kwa wakatoliki wanajua tofauti). Shirika lake lilimtuma South Sudan kutoa huduma ya kiroho na kule aliingizwa SPLA (Jeshi la Ukombozi la Sudani Kusini) na Garang. Then alipata basic training na kuwa Chaplain (mhudumu kiroho) kwenye Jeshi la South Sudan, vyeo hivyo alipandishwa hukohuko South Sudan, hopefully tunafahamu upandishwaji wa vyeo kwa SPLA ulikuwa wa mtindo gani, very politically kwa interest tofauti. Kwa taarifa za brother Bosco hata hizo uniform ni za South Sudan (SPLA). Ila hana uhakika wa cheo cha Meja, sio Komando ila anapenda kucheza Karate na Kung-fu kama part ya mchezo na kujiweka fit, kilichozua mjadala ni andishi la kipotoshaji la Malisa...😄😄
 
PIA KASOMEA UNINJA NA ANA MKANDA MWEKUNDU WA KARATE
 
Attachments

  • VID-20211205-WA0017.mp4
    4 MB
  • VID-20211205-WA0016.mp4
    3.4 MB
Wana Jamii From!

Bila yakupoteza muda naomba kufahamu jambo moja zito ambalo kwa uelewa wangu nimeshindwa lipatia majibu!

Hivi inawezekana vipi Mtumishi wa Mungu Padre awe mwanajeshi tena komandoo??

Picha hapo chini ni Padre Henry,ambaye ni mwanajeshi komandoo,ambaye katunukiwa PhD yake ya Architecture!

Inawezekana ukafikiria vizuri au vibaya. Ila ni jambo zuri kwamba serikali iko hadi Misikitini na Makanisani. Wengine wanasema serikali ina mikono mirefu.
 
Huyu mkatoliki padri wa shirika mitume wa yesu yaani Apostles of Jesus (AJ) anaitwa Henry Rimisho pia ni lecturer hapo hapo Ardhi university

HONGERA, NI PADRI, COMMANDO, ENGINEER, LECTURER NK

Anaandika Brother Valerian Komu Valerian
____________
Komandoo wa JWTZ, Padre, Architect Henry Rumisho Mmsionary wa Apostles of Jesus; akiwa kwenye graduation pale Ardhi University Leo ambapo atatunukiwa PhD in Architecture.

Baadhi ya Mapadre wa Kanisa katoliki hujifunza na kuwa tayari kufanya kazi za kichungaji kwa askari walioko mstari wa Mbele vitani, wanajulikana kama Military Ordinariate, hufanya mazoezi na kupanda katika vyeo vya kijeshi sawa na wanajeshi wengine

Fr.Rumisho alihudumu uwanja wa vitani huko Dafour Sudan Nk.

Lakini pia Yeye ni Talented Comandoo, ana uwezo wa kufanya mazoezi magumu ya kikomandoo.

Ukiacha masomo yaliyomwezesha kuwa Padre, ana Bachelor degree, Masters, na leo anatunukiwa PhD zote za Architecture.

Pia ni Professional Architect aliyesajiliwa na Board ya AQRB.

Lakini ni Lecturer..School of Architecture , Ardhi University.
Ana karama nyingi.
View attachment 2033006View attachment 2033007

Kuna jamaa yangu mmoja aliwahi niambia! Baadhi ya Ma Padre ni majasusi! Nimeanza kuamini hili suala! Ndiyo maana unakuta padre mzungu yuko vijijini ndani ndani kabisa huko,anaishi nyumba haina hata umeme,maji shida,usafiri shida, Mawasiliano ya simu shida! Lakini yuko na anaishi huko hata miaka 10

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Usicheze na Kanisa Katoliki. Ni "brain" ya dunia.
 
Unamkumbuka Jaji Agustino Ramadhani?
Alikuwa Jaji(degree ya sheria),alikuwa mwanajeshi,na alisomea uchungaji,akawa padre wa Anglicans church.
Inawezekana sana.
Siku hizi kanisa katoriki,huwafata vijana waliopo vyuoni wanaosomea taaluma mbali mbali na kuwapa nafasi ya kuwa mapadre,unamaliza shahada yako ya uhandisi,ualimu,nk then unaenda kuwa padre!!!!
Kanisa halijawahi kuwafuata vijana mavyuoni kuwa mapadri hata kwenye jumuia tunazosali.

Mara zote kama ukijiona una talanta ya upadri, unaenda kanisani then paroko anakupa utaratibu.
 
Kuna brother wa kitaa Sengerema anaitwa Bosco Mosha (Maneno anaifahamu hii familia), kwasasa yupo Glasgow kule group la home huyu Padre ni classmate wake alisoma naye Uru Seminary, na akiwa Padre kabatiza watoto wa Bosco. Kweli ni Padre wa hilo shirika linalotajwa, sio Padre wa jimbo (kwa wakatoliki wanajua tofauti). Shirika lake lilimtuma South Sudan kutoa huduma ya kiroho na kule aliingizwa SPLA (Jeshi la Ukombozi la Sudani Kusini) na Garang. Then alipata basic training na kuwa Chaplain (mhudumu kiroho) kwenye Jeshi la South Sudan, vyeo hivyo alipandishwa hukohuko South Sudan, hopefully tunafahamu upandishwaji wa vyeo kwa SPLA ulikuwa wa mtindo gani, very politically kwa interest tofauti. Kwa taarifa za brother Bosco hata hizo uniform ni za South Sudan (SPLA). Ila hana uhakika wa cheo cha Meja, sio Komando ila anapenda kucheza Karate na Kung-fu kama part ya mchezo na kujiweka fit, kilichozua mjadala ni andishi la kipotoshaji la Malisa...😄😄
Alafu malisa katanguliza unyumbani kwamba ni padri wa jimbo moshi kumbe la ni padri wa shirika.
Ingawa kwenye andiko hilohilo anaoneka akimtaja kuwa ni wa shirika..

Sasa anashindwa elewa kuwa huwezi kuwa wa jimbo na wa shirika muda mmoja
 
Back
Top Bottom