Padri Henry Rimisho wa Kanisa Katoliki atunukiwaa PhD ya Architecture

Padri Henry Rimisho wa Kanisa Katoliki atunukiwaa PhD ya Architecture

Kapewa uanajeshi kama zawadi tu yeye alienda kule kama mchungaji tu
Duh,maajabu ya Musa sasa hayo..

IMG-20211205-WA0023.jpg

IMG-20211205-WA0025.jpg

IMG-20211205-WA0024.jpg
 
Kuna brother wa kitaa Sengerema anaitwa Bosco Mosha (Maneno anaifahamu hii familia), kwasasa yupo Glasgow kule group la home huyu Padre ni classmate wake alisoma naye Uru Seminary, na akiwa Padre kabatiza watoto wa Bosco. Kweli ni Padre wa hilo shirika linalotajwa, sio Padre wa jimbo (kwa wakatoliki wanajua tofauti). Shirika lake lilimtuma South Sudan kutoa huduma ya kiroho na kule aliingizwa SPLA (Jeshi la Ukombozi la Sudani Kusini) na Garang. Then alipata basic training na kuwa Chaplain (mhudumu kiroho) kwenye Jeshi la South Sudan, vyeo hivyo alipandishwa hukohuko South Sudan, hopefully tunafahamu upandishwaji wa vyeo kwa SPLA ulikuwa wa mtindo gani, very politically kwa interest tofauti. Kwa taarifa za brother Bosco hata hizo uniform ni za South Sudan (SPLA). Ila hana uhakika wa cheo cha Meja, sio Komando ila anapenda kucheza Karate na Kung-fu kama part ya mchezo na kujiweka fit.
 
Kabisa katoliki la Rumi ni kabisa linaloendeshwa kijeshi....na shirika lake kubwa la ujasusi DUNIANI kunaitwa Jesuits ....hawa watu sio wa mchezo....
 
Sio mwanajeshi wa JWTZ tusipotoshe ni Apostle of Jesus shirika lililoanzishwa Afrika la mapadri na tena hili shirika liliwahi pigwa ban na Papa liko kwenye rehabilitation sasa hivi...
Aina hiyo ya wanajeshi wanahudumia wanajeshi na familia zao yani ni maparoko wa jeshi ...sio waajiriwa wa jeshi ... MABEYO hamtambui huyu kapteni
 
Kama hujui Ujasusi wa dola ya Vatican huwezi ukaelewa haya mambo
 
Sio mwanajeshi wa JWTZ tusipotoshe ni Apostle of Jesus shirika lililoanzishwa Afrika la mapadri na tena hili shirika liliwahi pigwa ban na Papa liko kwenye rehabilitation sasa hivi...
Aina hiyo ya wanajeshi wanahudumia wanajeshi na familia zao yani ni maparoko wa jeshi ...sio waajiriwa wa jeshi ... MABEYO hamtambui huyu kapteni
... kwa hiyo huo ukamondoo na cheo cha kijeshi (major) anaodaiwa kuwa navyo sio vya kweli?
 
Back
Top Bottom