I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Vizuri.Hata kabla ya leo sehemu anazohudumu wanajua kuwa ni mjeshi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vizuri.Hata kabla ya leo sehemu anazohudumu wanajua kuwa ni mjeshi
Anadanganya watu komandoo kumbe komandoo wa yesuAmekutapeli nini?
Yaani Padre wa RC akafungue kanisa lake?? Una akili timamu kweli?Huyu akafungue kanisa huko Ethiopia au kwa Wakongo kwa magaidi awahubirie waache usumbufu
Hakuna mwanajeshi apoKwani akipewa vyeo vya jeshi na jeshi la Sudan ndio sio mwanajeshi? Kwanini asobae kijeshi wakati ni mwanajeshi kweli?
Kuna watu hata miaka kumi jeshini hawana ila ni mamajor.Msipotoshe umma kwa uelewa wenu mdogo juu ya maswala ya kijeshi huyu father alipata mafunzo rasharasha ya kijeshi yaani hata mafunzo ya mgambo yako juu yake kupewa hizo nguo na wasudani kusini Haina maana tayari ni mwanajeshi , mtu Toka kujiunga na Jeshi huchukua miaka 15 kua na cheo cha Major hapo kahudhuria kozi nyingi tu za kijeshi achilia mbali miezi 18 hadi 20 ya ukomando kupiga kareti sio komando jamani hizo mtaani wengi tu wanazipiga pia father hajui kuvaa mavazi yanayofanana na Jeshi ni kosa naona wanamheshimu tu kutokana na title yake ya upadre vinginevyo angechukuliwa hatua
... "padre"; hiyo title inatumika pia na Anglican. So, inawezekana.
Tapeli uyoHapo anachezea viberiti sioView attachment 2034722View attachment 2034723
Military combat hata diamond alivaa... kwenye mahafali jana ameonekana ndani ya military combat; je, ni uongo? Kwamba sio mwanajeshi?
Sio tapeli ni watu tu wameshindwa kuelewa
Huyu ni mtoa huduma za kiroho kwenye majeshi ... huko sudan 🇸🇩 atakua alikua anatoa hudumaHapo anachezea viberiti sioView attachment 2034722View attachment 2034723
Unajua maana ya kuchafua? Unauelewa na unachokitolea ufafanuzi?Tena huyu father anachafua taasisi hizi mbili yaani kanisa na JWTZ
Nadhani alikuwa anasoma masters, sina hakika sanaHiyo 2014 ye alikuwa anasoma level gani?
Kwa hiyo wewe ni kikombe mwingia mtungini.Ndo ukajuwa hayo unayejua,??????Au unamaanisha nnAsante sana ..lakini nikueleze... siri ya mtungi hujulikana kwa kikombe kinachingia mtungini
We acha tu unakuta na wengine wamekaa wamsikiliza tena kwa makini na sura za huzuni kabisa.Yaan mpaka unawaonea hurumaKuna siku nipo buguruni kwa madenge nikaona watu wametulia barabarani wanaangalia katv....
Bwana kuna anashusha hizo nondo za u'jesuit .
Yani full ujinga.
Nikawauliza anaishi wapi wakanionesha,
Nikasema ujinga ni mzigo[emoji1]