Mtimkavuorg
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 655
- 527
Mapadre wanasoma adi miaka 10
Duh!,niongeze swali hapo hadi kupewa daraja la upadre ni miaka mingapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!,niongeze swali hapo hadi kupewa daraja la upadre ni miaka mingapi?
Mbona SAUT wanagawa ovyo GPAsSi hulka ya Taasisi za Elimu Katoliki kugawagawa hovyo Uprofesa ama Phd..
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Keyword "Uprofesa ama PHD"..Mbona SAUT wanagawa ovyo GPAs
Mbona kigogo aliwahi kuwashukia kuwa wanafelisha Sana wanafunzi. Kwa mtu wa karibu wa SAUT anasoma pale sheria alinidokezea ya kwamba hekaheka ya pale sio mchezo.Mbona SAUT wanagawa ovyo GPAs
Jaji Ramadhani alikuwa vizuri; so inspirational. Ni sawa na Prof. Brigadier Gen. MD. Yadon Kohi former COSTECH DG.Brigedia Jenerali, Jaji, Padre, Canon Augustino Ramadhani RIP!
Kwa namna alivyotubeba wakatoliki. Ingependeza Chuo Kikuu cha Kanisa. Kimtunuki U-Profesa Mkuu bila masharti yoyote ili tuzidi kupata kimataifa.
View attachment 2034967
SAUT kukiwa na hekaheka SUA Kuna tetemekoMbona kigogo aliwahi kuwashukia kuwa wanafelisha Sana wanafunzi. Kwa mtu wa karibu wa SAUT anasoma pale sheria alinidokezea ya kwamba hekaheka ya pale sio mchezo.
Sio bongo. Hayo mambo peleka huko huko BujumburaWatu washamba sana Professor maana yake ni mwalimu wa chuo. Unaweza kuwa Professor bila hata kuwa na PHD mfano Obama, Al-Gore wamewahi kuwa Professor wa vyuo
Prof. Musukuma! Kwa mazingira ya Tz hilo linawezekana Mkuu? Kuwa prof. bila PhD?Watu washamba sana Professor maana yake ni mwalimu wa chuo. Unaweza kuwa Professor bila hata kuwa na PHD mfano Obama, Al-Gore wamewahi kuwa Professor wa vyuo
Sio kwamba haiwezikani mkuu, na wala sidharau uwezo wake wa kitaaluma ila hiyo hadhi ya "Ukomandoo"hebu fuatilia sifa za mtu kuwa komandoo halafu urudi hapa tena, ningesikia ni mkuu wa majeshi au ni komandoo mstaafu ningeelewa mapema tu.... kutilia shaka uwezo wa wengine mko vizuri! Kushindwa kwako una-justify kwamba haiwezekani?
😂😂😂😂😂Si upite pembeni wewe unayejua
Nyaanoko
Ni padri wa Jimbo la Moshi lakini huduma ndio anafanyia Jimbo la dar es salaam .Pia haudumu jimbo la Moshi. Ni jimbo la Dsm