Padri Henry Rimisho wa Kanisa Katoliki atunukiwaa PhD ya Architecture

Padri Henry Rimisho wa Kanisa Katoliki atunukiwaa PhD ya Architecture

Kwa namna alivyotubeba wakatoliki. Ingependeza Chuo Kikuu cha Kanisa. Kimtunuku U-Profesa Mkuu bila masharti yoyote ili tuzidi kupata kimataifa.

IMG-20210909-WA0000.jpg
 
Brigedia Jenerali, Jaji, Padre, Canon Augustino Ramadhani RIP!
Jaji Ramadhani alikuwa vizuri; so inspirational. Ni sawa na Prof. Brigadier Gen. MD. Yadon Kohi former COSTECH DG.

Huyu Fr. Dr. Maj. Eng. Rimisho (PhD) naye anapita mule mule. Uprofesa kwake hauko mbali bora uzima. Halafu magenius kama hawa utashangaa huko kwenye madhehebu yao wanapigwa majungu balaa anaweza kuzeeka bila hata uongozi wa parish. Wala msishangae akija fuata njia ya Dr. Slaa.
 
Kwa namna alivyotubeba wakatoliki. Ingependeza Chuo Kikuu cha Kanisa. Kimtunuki U-Profesa Mkuu bila masharti yoyote ili tuzidi kupata kimataifa.

View attachment 2034967

Watu washamba sana Professor maana yake ni mwalimu wa chuo. Unaweza kuwa Professor bila hata kuwa na PHD mfano Obama, Al-Gore wamewahi kuwa Professor wa vyuo
 
Mbona kigogo aliwahi kuwashukia kuwa wanafelisha Sana wanafunzi. Kwa mtu wa karibu wa SAUT anasoma pale sheria alinidokezea ya kwamba hekaheka ya pale sio mchezo.
SAUT kukiwa na hekaheka SUA Kuna tetemeko
 
Watu washamba sana Professor maana yake ni mwalimu wa chuo. Unaweza kuwa Professor bila hata kuwa na PHD mfano Obama, Al-Gore wamewahi kuwa Professor wa vyuo
Sio bongo. Hayo mambo peleka huko huko Bujumbura
 
Watu washamba sana Professor maana yake ni mwalimu wa chuo. Unaweza kuwa Professor bila hata kuwa na PHD mfano Obama, Al-Gore wamewahi kuwa Professor wa vyuo
Prof. Musukuma! Kwa mazingira ya Tz hilo linawezekana Mkuu? Kuwa prof. bila PhD?
 
Contrary to popular belief, it is possible to become a college professor without a Ph.D. College professor requirements vary from school to school. Most often, schools require potential professors to have some kind of advanced degree, such as a Master of Science or a Master of Arts. In artistic fields, you will find it quite common that many professors have a Master of Fine Arts degree, which is a terminal degree and often requires a special capstone project very similar to a dissertation. However, a college professor’s salary may be lower if she has a Master of Arts degree instead of a Ph.D. or other doctoral degree.

 
... kutilia shaka uwezo wa wengine mko vizuri! Kushindwa kwako una-justify kwamba haiwezekani?
Sio kwamba haiwezikani mkuu, na wala sidharau uwezo wake wa kitaaluma ila hiyo hadhi ya "Ukomandoo"hebu fuatilia sifa za mtu kuwa komandoo halafu urudi hapa tena, ningesikia ni mkuu wa majeshi au ni komandoo mstaafu ningeelewa mapema tu.
 
Back
Top Bottom