Padri Henry Rimisho wa Kanisa Katoliki atunukiwaa PhD ya Architecture

Padri Henry Rimisho wa Kanisa Katoliki atunukiwaa PhD ya Architecture

Dini ya mnyazi mungu.ni ukristo Peke yake.
Soma AYA YA 11.
muwe mnasoma maandiko yenu .ili muache KUMKASHIFU MUNGU WENU.
Unazungumzia dini ya Mnyazi Mungu, dini ya haki
Screenshot_20211206-115749.jpg
 
Nambeni ufafanuzi anawezaje kufanya hayo yote ya Uanajeshi na Upadri?
Kiufupi huyo sio mwanajeshi, bali alihitajika kwenda South Sudan kwa ajili ya kutoa huduma ya kiroho, hivyo alipewa hadhi ili aendane na wale Machaplain wa kijeshi. Kwa Tanzania hio haiwezekani kwani hadi sasa haipo rasmi majeshini.
Na hata hao waliokuwa kina Augostino Ramadhan walianzia jeshini lakini baadae(kuacha/kustaafu) ndipo wakajiingiza kwenye upadri/uchungaji lakini sio kuwa wachungaji wakiwa jeshini.
Huyo jamaa sio komandoo pia ni kitu ambacho kwa nchi yetu hakiwezekani labda kama ni komandoo wa jeshi la wokovu.
Na kama angekuwa ni mwanajeshi kweli wa JWTZ kwanini asiweke army number yake?
 
Kapewa uanajeshi kama zawadi tu yeye alienda kule kama mchungaji tu
Kuna wale Machaplain, ambao huwa ni wanajeshi kitu ambacho kwenye jwtz hakipo rasmi, hivyo kuhitajika kwake kwenda kutoa huduma za kiroho kulisababisha apewe tu hadhi lakini yeye kachukulia serious! Nchi kama Afrika kusini ndio zinao hao Machaplain. [emoji1474]
 
Msipotoshe umma kwa uelewa wenu mdogo juu ya maswala ya kijeshi huyu father alipata mafunzo rasharasha ya kijeshi yaani hata mafunzo ya mgambo yako juu yake kupewa hizo nguo na wasudani kusini Haina maana tayari ni mwanajeshi , mtu Toka kujiunga na Jeshi huchukua miaka 15 kua na cheo cha Major hapo kahudhuria kozi nyingi tu za kijeshi achilia mbali miezi 18 hadi 20 ya ukomando kupiga kareti sio komando jamani hizo mtaani wengi tu wanazipiga pia father hajui kuvaa mavazi yanayofanana na Jeshi ni kosa naona wanamheshimu tu kutokana na title yake ya upadre vinginevyo angechukuliwa hatua
Ngoja siku ziende, one day utasikia wamemwita akajieleze vizuri. Maana alichokifanya ni kuvunja sheria za nchi.
 
Huyu mkatoliki padri wa shirika mitume wa yesu yaani Apostles of Jesus (AJ) anaitwa Henry Rimisho pia ni lecturer hapo hapo Ardhi university

HONGERA, NI PADRI, COMMANDO, ENGINEER, LECTURER NK

Anaandika Brother Valerian Komu Valerian
____________
Komandoo wa JWTZ, Padre, Architect Henry Rumisho Mmsionary wa Apostles of Jesus; akiwa kwenye graduation pale Ardhi University Leo ambapo atatunukiwa PhD in Architecture.

Baadhi ya Mapadre wa Kanisa katoliki hujifunza na kuwa tayari kufanya kazi za kichungaji kwa askari walioko mstari wa Mbele vitani, wanajulikana kama Military Ordinariate, hufanya mazoezi na kupanda katika vyeo vya kijeshi sawa na wanajeshi wengine

Fr.Rumisho alihudumu uwanja wa vitani huko Dafour Sudan Nk.

Lakini pia Yeye ni Talented Comandoo, ana uwezo wa kufanya mazoezi magumu ya kikomandoo.

Ukiacha masomo yaliyomwezesha kuwa Padre, ana Bachelor degree, Masters, na leo anatunukiwa PhD zote za Architecture.

Pia ni Professional Architect aliyesajiliwa na Board ya AQRB.

Lakini ni Lecturer..School of Architecture , Ardhi University.
Ana karama nyingi.

Cc castongo naomba mchango ktk hili nafahamu wewe ni mtaalamu zaidi
View attachment 2033006View attachment 2033007
View attachment 2033020View attachment 2033023
Kuna uwezekano akawa pia kwenye kundi la 'wasiojulikana'.
 
Ngoja siku ziende, one day utasikia wamemwita akajieleze vizuri. Maana alichokifanya ni kuvunja sheria za nchi.
Je, wanajeshi waliowahi ku-graduate kabla yake kwa ngazi ya elimu ya juu walivaaje?
 
Je, wanajeshi waliowahi ku-graduate walivaaje?
Ni kinyume na utaratibu kuchanganya mavazi ya kijeshi na mavazi mengine yoyote, ndio maana hata hao wanajeshi wanaograduate kama wamesomea uraiani watavaa mavazi ya kiraia, kama mafunzo hayo yalitolewa jeshini watavaa kijeshi ama kiraia kulingana na maelekezo yatakayotolewa. Lakini hawachanganyi mavazi.
 
Na ndio sheria inavyosema au hawakuwahi tu kufanya hivyo? Hivi nguo za ndani mfano vest, boxer, bra nazo ni za kijeshi?
 
Na ndio sheria inavyosema au hawakuwahi tu kufanya hivyo? Hivi nguo za ndani mfano vest, boxer, bra nazo ni za kijeshi?
Hapana, Namaanisha vazi linaloonekana nje, halitakiwi kuchanganywa na vazi jengine lolote la kiraia.
Mfano mzuri kwani aliyekuwa rais wa Tanzania awamu ya 4 si ni mwanajeshi? Je alipotunukiwa shahada yake ya uzamivu alivaa kijeshi?
Na wapo wengi tu wanajeshi waliotunukiwa shahada zao lakini wala huwezi kuwatambua kwasababu wala hawavai/hawatovaa mavazi ya kijeshi wakati wakitunukiwa.
 
Kwa nini anavaa sare za jeshi?
Sio mwanajeshi wa JWTZ tusipotoshe ni Apostle of Jesus shirika lililoanzishwa Afrika la mapadri na tena hili shirika liliwahi pigwa ban na Papa liko kwenye rehabilitation sasa hivi...
Aina hiyo ya wanajeshi wanahudumia wanajeshi na familia zao yani ni maparoko wa jeshi ...sio waajiriwa wa jeshi ... MABEYO hamtambui huyu kapteni
 
Kuna wale Machaplain, ambao huwa ni wanajeshi kitu ambacho kwenye jwtz hakipo rasmi, hivyo kuhitajika kwake kwenda kutoa huduma za kiroho kulisababisha apewe tu hadhi lakini yeye kachukulia serious! Nchi kama Afrika kusini ndio zinao hao Machaplain. [emoji1474]
Yes kachukulia serious sana yaan mpaka leo anavaa magwanda nje ya nguo za kipadre
 
Back
Top Bottom